Na mimi nimeishi nao nimesoma nao na nimefanyanao kazi kwao ni wabaguzi sana, lkn hatuwezi kuuficha udhaifu wetu kuwa sisi ni 'wajinga' compared to them, haiwezekani kama tunajua serikali inajua na rais anajua kuwa birth control ina athari still tunaendelea kupokea misaada yao na pills za mpango huo, who is fool then.
Afrika kama Afrika lazima tujitafakari kuanzia sisi wananchi wa kawaida hadi viongozi, tusipo change mind set zetu kwa kujitegemea kulinda maliasili zetu 'si kinafiki' tutaendelea kuwalaumu wazungu milele,
Badala ya kupambana na wazungu tupambane na viongozi wetu ma chief mangungo mamboleo wanaoziuza nchi zetu kwa mikataba ya kinyonyaji.
China hiyo inagawana Afrika kweupe tunaona kwanini hatustuki, baada ya miaka 20 ijayo tutakuja kuwalaumu wachina na vyombo vyao kama tunavyowalaumu wazungu leo.