Unakosea kusema njia za asili hazna madhara kwa MTU aliyeamua kupanga uzazi na mkewe....mfano,abstinence method hii n ngumu kwa wanaume walio weng kulala na mkewe na asimguse kwa siku takriban sita(from 10-16days),hali hii huweza sababisha mwanaume kuchepuka na kumletea magonjwa kama ukimwi na mengne mkewe...condom is not flexible ktk kutumia kwa sababu inaounguza sexual pleasure hasa kama MTU alizoeabkutembea na mkewe bila kinga,kutumia condom huwa na ugumu fln na sio tu kwa ambao wameoa Bali pia wanaozin kabla ya kuoana,condom weng hupata ugumu kutumia...calendar method is not reliable maana hubadlka kila Mara kutokana na sababu mbalimbali ,hali inayoweza kusababisha ukampa mimba mkeo bila kutambua...withdrawal method yaan njia ya kuchomoa uume ukeni kabka ya kumwaga sio njia ya kutegemea maana kwanza n ngumu kuchomoa hasa mwanaume akishafika kileleni maana hapo ndipo utamu ulipo ,pia kikanisa sio vzur kumwagia chini mbegu zako,pia n ngumu sana kumwaga mbegu zote bila hata chache kumuingia mkeo so inaweza Fanya mkeo apate mimba bila nyie kupanga....
Sasa kwa madhara hayo bado unaona njia asilia n za kutegemea??
Kwa upande wa njia za kisasa madhara n makubwa zaidi ,najua unayajua hata sipaswi kuongea sana...
NB: Mm sifungaman na upande wowote ule maana ziwe za asili au za ulaya zina faida na hasara zake