Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Mungu hajaleta uzazi wa mpango ,huu n mpango wa kishetwani tu..Mungu pia haruhusu kulala na mwanamke asiye mkeo,huo n uzinzi any uasherati...njia hz za uzazi wa mpango zina baadhi ya complications ambazo n mbaya sana ...Bhc ty uombe mkeo asipate hata mojaSiyo mimi sikumsikiliza yeye bali yeye ndiyo hajataka kusikiliza kampeni ya uzazi wa mpango inataka nini. Uzazi wa mpango nia yake ni kila mtu azae watoto anaoweza kuwatunza kama una uwezo wa kutunza watoto 20 vizuri zaa tu. Sasa yeye anasema chapeni kazi na mfyatue watoto tu huu ni upuuzi, utazaaje bila kujipima na kujua uwezo wako wa kulea upoje? Na kwa mfano ukajua unauwezo wa watoto saba utazaaje saba bila usaidizi wa uzazi wa mpango je ukizidisha?
Tatizo hamjaelewa hata kampeni ya uzazi wa mpango ni nini, hatuwezi kuishi kwa kubahatisha tuenende kama mang'ombe sisi ni binadamu. Mungu ametupa utashi na Mungu wetu ni Mungu wa utaratibu lazima tuwe na mpango mkakati katika kila jambo. We have to plan everything maisha yetu lazima yaende kwa mpangilio mimi nilishakataa watoto wa bahati mbaya na wa kushitukizwa najua lini napata mtoto na nani. Siyo umekutana na mwanamke huko hata haeleweki mimba tayari.