Achana na sera ya Marekani unajua lkn sera yetu ya taifa ni ya uzazi wa mpango ambayo rais wake anaipinga, hata kama ana mawazo tofauti ilikuwa busara kutosema mbele ya kamera.Nonsense. Unafahamu kwamba sera ya chama tawala nchini marekani The Republicans inakataza uzazi wa mpango? Au kwa vile Rais mweusi wa nchi ya kiafrika kasema mawazo yake kuhusu birth control ndo imekuwa "shame on your country"? Shame on you.
Mimi sija sema ! Ni yule bwana Thomas!Kwa hiyo unamini Mungu anaruhusu Kipindupindu+vita kwa watu wake sio?
"Those going for family planning are lazy ... they are afraid they will not be able to feed their children. They do not want to work hard to feed a large family and that is why they opt for birth controls and end up with one or two children only," he said at a public rally on Sunday.
Wamezaa kumi ndiyo hawa watoto wao wanakimbilia mjini kuwa mahouse girl na mahouse boy, wengine ndiyo hawa ombaomba. Sasa mtu kama huyu anayeombaomba na watoto watano alikuwa na ulazima gani wa kuzaa? Angefunga kizazi akatulia zake angeonekana hajakamilika? Kama mtu huna uwezo wa kutunza na kuhudumia its better ufe bila mtoto kuzaa its not mandatory. Hata biblia inaposema enendeni duniani mkazaliane haimaanishi kila mtu lazima azae, ndiyo maana kuna manabii na mitume wengi tu walikufa bila watoto.
Quinine, hivi yeye anao wangapi? Tuanzie hapo.kuna vingine havitakiwi kusemwa na kiongozi wa kitaifa kama yeye, kwanza ni against national health policy,
Imeandikwa; "enendeni mkazaliane mkaongezeke mkaijaze dunuia",....... waacheni watu wazaliane wapendavyo, kwani ni agizo la MUNGU na siyo agizo la wanadamu. Waacheni Watanzania wazaliane mpaka mayai ya uzazi yaishe, ninyi CNN hangaikeni na Rais wenu "chizi" Donald Trump!
Kwanini uvilaumu vyombo vya habari kwa kuandika habari, kwa nini usilaumu source yenyewe ambaye ni Magufuli kama asingesema CNN wangeandika nini.
Labda kama ni kuvilaumu tuvilaumu iwapo vitaandika habari ya uongo.
That's right. Ilikuwa hi busara to reserve his opinions kama kingozi wa nchi. Kinacho kera ni kwa baadhi ya watu na vyombo vya habari kukodoa macho as if Rais Magufuli amezungumza the unthinkable ulimwenguni. It's okay baadhi ya wamarekani, including Trump to oppose birth control na CNN au Al-Jazeera wasione ajabu lakini Magufuli akisema the same inakuwa international news, right??Achana na sera ya Marekani unajua lkn sera yetu ya taifa ni ya uzazi wa mpango ambayo rais wake anaipinga, hata kama ana mawazo tofauti ilikuwa busara kutosema mbele ya kamera.
Hilo la Mbeki, tusilibeze,alikuwa sahihi. Alisema "umaskini" wetu,ndo chanzo cha maambukizi mengi ya HIV. Aina na namna ya ufanyaji mapenzi , huduma za kiafya, vyoteWewe ndiye umekuwa kicheko kwao siyo sisi. Wao Trump wao anajichanganya kila siku mpaka Wamarekani wnyewe wanalalamika kuwa Trump hamnazo, sasa wewe unadhani kuna issue hapo? Udaku tu huu. Ungekuwa South Africa ambako Mbeki alidai haamini mapenzi ndio yanayosababisha maambukizi ya VVU, si ungekufa?
Imeandikwa; "enendeni mkazaliane mkaongezeke mkaijaze dunuia",....... waacheni watu wazaliane wapendavyo, kwani ni agizo la MUNGU na siyo agizo la wanadamu. Waacheni Watanzania wazaliane mpaka mayai ya uzazi yaishe, ninyi CNN hangaikeni na Rais wenu "chizi" Donald Trump!
Rais amesema "my opinions" yeye ni nani hasa asiwe na maoni binafsi?
Usikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.Mbona huwa mnasema kauli ya rais ni sheria??!.
Mbona maoni ya MTU binafsi kuhusu rais na serikali huwa yanaonekana ni kumdhalilisha rais na urais?
Mbona maoni ya wabunge kuhusu budget rais anayachukulia ni kupinga budget??.
Yeye ni top, with madaraka makubwa, litokalo kinywani mwake lina impact kubwa.
He started with fyatua thing in dar, akatetewa kwa kuwekewa maneno ambayo hajasema, this time around kakazia, amewaacha solemba watetezi wake.
acha maneno yako ndgThis a shame to our nation, yoyote angesema lkn asingekua Raisi wetu, inaonyesha Raisi kwamba hana international exposure.
Yeye magufuli anayejua kulima na kufuga huku tukimlisha yeye na familia yake yote maisha yake yote ana watoto 2 (wawili tu) huku anawadanganyaDuh. Tukiwa na watu kama ninyi tutakuwa tucopi kila kitu kwa wazungu.. Kisa international exposure.