CNN: 'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country

CNN: 'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country

Usikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.

Tamko vs Maoni.
Utahangaika sana.

Bottom line, Mr. President akubali tu kuandaliwa hotuba asome.

Akapera zake hawezi, he becomes to emotional then unpresidential kauli zinatoka.

Most of the time akisoma hotuba, he comes out clean with no kauli tata.

Haya mamaaa, maoni binafsi , tamko you name it.

Matokeo ya utafit wa twaweza yalikuwa Maoni binafsi ya wananchi- yaheshimiwe aaaaaah
 
Sijalaumu chombo chochote cha habari ila nimetoa mtizamo wangu.

Nadhani mtizamo wa vyombo vya habari vya nje bado haujabadilika kwa nchi za Afrika, kwamba ni nchi zilizo na mtizamo wa kurudi nyuma.

Hivyo hata kama kuna siku watajaribu kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kiongozi yoyote yule wa Afrika, huo utakuwa bado ni unafiki wao uleule.

Kwa wale wanoendelea kuvaa sanamu na kushirikiana nao, wao waendelee hivyohivyo hio ni kawaida.

Ila kama wewe ni mwafrika, ukipata kauli au hoja ambayo inafikirisha kutoka kwa kiongozi wa Afrika, basi hata kama huielewi jaribu kutafakari, tena na tena bila kukimbilia sanamu na kuivaa.
Mimi ni mwafrika lkn nasema Afrika litabaki kuwa bara la giza kwa muda mrefu ujao unless tu change mentality thinking ya viongozi wetu kwamba wao ni kama miungu watu untouchables wanapokuwa madarakani.

Tutawalaumu tu wazungu lkn wenye matatizo ni sisi ngozi nyeusi. Hebu msome Trump uniambie anamekosea wapi kuhusu viongozi wetu wa Afrika.

=========!​
American President - Donald Trump explains his statement against Africans:

"If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you humans?

"If you sit on gold, diamond, oil, manganese, uranium... and your people don't have food, are you humans?

"If to stay in power, you buy weapons from strangers to kill your own citizens, are you humans?

"If your only social project is to stay in power for life, are you being human?

"If you despise and shoot your own citizens like game, who will respect them?"

"if you take all resources meant for development of your country for personal property are you humans?

" if you leave your country healthcare unattended and treat yourself abroad are you humans?

"Until your leaders think less of themselves and more about your people. You are not human but animal.
 
Rais wetu Mpendwa Dr. Pombe on CNN tena kwa mabaya. Tumekuwa kichecho cha Dunia. Tena Front Page

https://www.cnn.com/2018/09/11/africa/tanzania-birth-control-magufuli-intl/index.html

'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country

171106174324-magufuli-speech-exlarge-169.jpg

Tanzanian President John Magufuli urges citizens to keep reproducing.
(CNN)Tanzania's President John Magufuli has told women in the East African nation to stop taking birth control pills because the country needs more people, according to local media reports.
"Women can now give up contraceptive methods," Magufuli said.
"Those going for family planning are lazy ... they are afraid they will not be able to feed their children. They do not want to work hard to feed a large family and that is why they opt for birth controls and end up with one or two children only," he said at a public rally on Sunday.
He was quoted in a local newspaper, The Citizen, as saying that those advocating for birth control were foreign and had sinister motives.

Magufuli urged citizens to keep reproducing as the government was investing in maternal health and opening new district hospitals.

Tanzania's anti-corruption crusader cracks down on opponents

The United Nations Population Fund (UNFPA) representative for Tanzania, Jacqueline Mahon, was present when Magufuli made his comments, reports said.
CNN has reached out to the UNFPA for comment but did not immediately receive a response.
"I have traveled to Europe and I have seen the effects of birth control. In some countries they are now struggling with declining population. They have no labor force," the Citizen newspaper quoted him as saying.
Follow CNN Africa on social media
Read the latest news from Africa and share your thoughts with us on Facebook, Twitter and Instagram
Tanzania's population is around 53 million people, and 70% of them living on less than $2 a day, according to a 2015 World Bank report.
"You have cattle. You are big farmers. You can feed your children. Why then resort to birth control?" he asked. "This is my opinion, I see no reason to control births in Tanzania," Magufuli, who has two children, said.
Opposition MP Cecil Mwambe criticized the President's comments, saying they were against the country's health policy.
President Magufuli is known as 'The Bulldozer' for his tough stance against corruption and his hardline policies, which include denying education to schoolgirls who become pregnant.

John Magufuli, the no-frills President who declared war on waste

In another development, the speaker of the Tanzanian parliament banned female lawmakers from wearing fake nails and eyelashes in parliament.
"With the powers vested in me by the Constitution of the United Republic of Tanzania, I now ban all MPs with false eyelashes and false finger nails from stepping into Parliament," Job Ndugai said, a day after Magufuli's comments.
The new rules also ban women MPs from wearing short dresses and jeans. Female visitors to parliament are also expected to adhere to the dress code.
yule judge wa Kenya hakukosea aliposema "Tanzania have a village elder sitting in the state house masquerading as president"
 
Usikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.
Huyu jamaa (magu)ni mfyatuaji mzuri wa maneno! Anawapa kazi kubwa sana kutetea mifyatuko yake,maana hata kabla hamjamaliza kutetea hili mara anafyatua lingine hatari kuliko hilo,poleni
 
Rais wetu Mpendwa Dr. Pombe on CNN tena kwa mabaya. Tumekuwa kichecho cha Dunia. Tena Front Page

https://www.cnn.com/2018/09/11/africa/tanzania-birth-control-magufuli-intl/index.html

'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country

171106174324-magufuli-speech-exlarge-169.jpg

Tanzanian President John Magufuli urges citizens to keep reproducing.
(CNN)Tanzania's President John Magufuli has told women in the East African nation to stop taking birth control pills because the country needs more people, according to local media reports.
"Women can now give up contraceptive methods," Magufuli said.
"Those going for family planning are lazy ... they are afraid they will not be able to feed their children. They do not want to work hard to feed a large family and that is why they opt for birth controls and end up with one or two children only," he said at a public rally on Sunday.
He was quoted in a local newspaper, The Citizen, as saying that those advocating for birth control were foreign and had sinister motives.

Magufuli urged citizens to keep reproducing as the government was investing in maternal health and opening new district hospitals.

Tanzania's anti-corruption crusader cracks down on opponents

The United Nations Population Fund (UNFPA) representative for Tanzania, Jacqueline Mahon, was present when Magufuli made his comments, reports said.
CNN has reached out to the UNFPA for comment but did not immediately receive a response.
"I have traveled to Europe and I have seen the effects of birth control. In some countries they are now struggling with declining population. They have no labor force," the Citizen newspaper quoted him as saying.
Follow CNN Africa on social media
Read the latest news from Africa and share your thoughts with us on Facebook, Twitter and Instagram
Tanzania's population is around 53 million people, and 70% of them living on less than $2 a day, according to a 2015 World Bank report.
"You have cattle. You are big farmers. You can feed your children. Why then resort to birth control?" he asked. "This is my opinion, I see no reason to control births in Tanzania," Magufuli, who has two children, said.
Opposition MP Cecil Mwambe criticized the President's comments, saying they were against the country's health policy.
President Magufuli is known as 'The Bulldozer' for his tough stance against corruption and his hardline policies, which include denying education to schoolgirls who become pregnant.

John Magufuli, the no-frills President who declared war on waste

In another development, the speaker of the Tanzanian parliament banned female lawmakers from wearing fake nails and eyelashes in parliament.
"With the powers vested in me by the Constitution of the United Republic of Tanzania, I now ban all MPs with false eyelashes and false finger nails from stepping into Parliament," Job Ndugai said, a day after Magufuli's comments.
The new rules also ban women MPs from wearing short dresses and jeans. Female visitors to parliament are also expected to adhere to the dress code.
Not only birth control or no control! But most important : Quality of that life; if you bring those children you must look after them
 
This a shame to our nation, yoyote angesema lkn asingekua Raisi wetu, inaonyesha Raisi kwamba hana international exposure.
Hutaki kuzaa au wewe ni mgumba? Tuna ardhi ya kutosha. Pia kasema kama huwezi kuwalisha usizae ila kama unauwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha basi endelea kupiga kazi mkuu
 
Usikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.
Hata kama ni maoni yake, anajua yeye ni rais nchi yake ina sera ya uzazi wa mpango kulikuwa na ulazima gani yeye kusema public, huoni kwamba amemkwaza waziri wake wa afya na watendaji wake, impact yake ndiyo hii international media zimenasa ungesema wewe hata kijarida cha Jamvi la Wageni kisingeandika.

Kinachotakiwa mmshauri rais a control mdomo wake achague mambo ya kusema public vinginevyo kila siku mtakuwa wa kutetea ujinga na kuvilaumu vyombo vya habari au if ndivyo vilivyotamka.
 
Huu ni mjadala wa ajabu, maanake unaweza ukajikuta unaunga mkono pande zote za mjadala.
Sasa ngoja nikupe pendekezo. Mimi sipendi kuwa ombaomba, na sipendezwi kamwe kama nchi tuwe ombaomba kwa kila kitu tusaidiwe. Ni lazima kabisa tufike mahali tuseme, sasa basi, tujitegemee kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wetu.

Lakini angalia pesa inayoingia nchini kwa madhumuni ya mpango huo wa kupunguza kizazi, ukiwa ni msaada tunaopewa.. Je hiyo hela inaweza kupelekwa kusaidia hao watoto wa mitaani kuliko kuielekeza kwa hawa ambao hawajazaliwa?

Na kwa vile sipendezwi nchi yangu kuwa ombaomba. Je, serikali inaweza kulazimishwa ili iweke mipango ya kuhakikisha kwamba wananchi wake wanaozaa watoto wanaowataka wao watakiwe pia na kuwezeshwa inapobidi, kuwa na uwezo wa kuwahudumia wakisaidiana na serikali? Maana yangu ni kuwa pawe na sera za wazi zinazotutaka kama taifa kulisimamia hili jambo.

Complex social problems that call for solutions through national development strategies.

Tanzania ni nchi kubwa ya kutosha na inao utajiri tosha kuhimili zaidi ya watu million mia moja na zaidi. Bado tupo nusu tu hadi sasa. Ukikataa kuijaza kwa kuzaana sisi kwa sisi, tutasaidiwa kuijaza, tukitaka, tusitake na wahamiaji, haramu au halali, huo ndio ukweli wenyewe.
Wananchi wanaozaa idadi ya watoto wanaowataka ndiyo wepi hao? Kuzaa watoto unaowataka kwa wakati unaotaka ndiyo uzazi wa mpango wenyewe ila tu uzaaji huo uendane na uwezo wako wa kuhudumia.

Lazima tufike mahali tukubali tu kuwa dunia inakoelekea kila mtu azae watoto anaowamudu kwa kila kitu. Siku hizi extended family zinazidi kupungua huko tunakoelekea hata wazazi wataanza kuwakataa wajukuu. Kulea mtoto ni mzigo mzito sana hakuna mtu aliyetayari kulea watoto wa mwingine. Just imagine una Dada yako yupo nyumbani hajaolewa, anarukaruka huko analeta mtoto wa kwanza hajulikani hata baba ni nani, analeta wa pili, wa tatu, wa nne mpaka wa saba nyumbani kwa wazazi wake jamani huku ndiyo kuongeza nguvu kazi ya taifa kweli? Kwanini huyu dada asitumie uzazi wa mpango ili akaruke atakavyo maana kwa scenario hii huu ni uzaaji holela usio na mpangilio "bahati mbaya".

Wazo lako kuwa pesa za wahisani zitumike kuwasaidia hao watoto wenye dhiki limekosa mantiki. Hizo ni pesa za wahisani na wao wamezileta zitumike kwenye uzazi wa mpango baada ya kuona shida tunayoipata na jinsi huko baadaye hali itakavyokuwa mbaya.

Tatu, serikali haiwezi kuweka utaratibu wa kuwasaidia watu wanaozaa kwa sifa eti mtu mmoja watoto 12, haiwezi siyo kwamba haitaki haina uwezo huo kifedha na kama ikifanya hivyo itakuwa imeencourage watu kuzaa kwa fujo mwisho wa siku itaelemewa tu. Just imagine serikali ambayo hivi sasa haiwezi kutoa mkopo kwa hata nusu ya wanafunzi wa vyuo vikuu hao watoto tukifyatua watasomeshwa na nani? Lazima tuzae idadi tunayoweza kuisomesha mpaka chuo kikuu
 
Huu ni mjadala wa ajabu, maanake unaweza ukajikuta unaunga mkono pande zote za mjadala.
Sasa ngoja nikupe pendekezo. Mimi sipendi kuwa ombaomba, na sipendezwi kamwe kama nchi tuwe ombaomba kwa kila kitu tusaidiwe. Ni lazima kabisa tufike mahali tuseme, sasa basi, tujitegemee kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wetu.

Lakini angalia pesa inayoingia nchini kwa madhumuni ya mpango huo wa kupunguza kizazi, ukiwa ni msaada tunaopewa.. Je hiyo hela inaweza kupelekwa kusaidia hao watoto wa mitaani kuliko kuielekeza kwa hawa ambao hawajazaliwa?

Na kwa vile sipendezwi nchi yangu kuwa ombaomba. Je, serikali inaweza kulazimishwa ili iweke mipango ya kuhakikisha kwamba wananchi wake wanaozaa watoto wanaowataka wao watakiwe pia na kuwezeshwa inapobidi, kuwa na uwezo wa kuwahudumia wakisaidiana na serikali? Maana yangu ni kuwa pawe na sera za wazi zinazotutaka kama taifa kulisimamia hili jambo.

Complex social problems that call for solutions through national development strategies.

Tanzania ni nchi kubwa ya kutosha na inao utajiri tosha kuhimili zaidi ya watu million mia moja na zaidi. Bado tupo nusu tu hadi sasa. Ukikataa kuijaza kwa kuzaana sisi kwa sisi, tutasaidiwa kuijaza, tukitaka, tusitake na wahamiaji, haramu au halali, huo ndio ukweli wenyewe.
Tatizo letu ndiyo hilo kwamba tunafikiri kwa kuwa na nchi kubwa basi tuzae tuijaze. Tunataka tujaze kiasi kwamba kila sehemu kuwe na nyumba hahaha, hatujifikirii tutalima wapi? Tutafuga wapi? Kwanini hilo eneo kubwa tusiweke viwanda, tusiboreshe kilimo tuzalishe tuuze nje tuishi maisha mazuri hivi hivi tukiwa na idadi ya watu wa kawaida? Hivi mnafikiri tukiijaza hii nchi ndiyo tutaishi kwa raha nawaambia tutakuja kulana kama wanyama nawaambieni.

Nchi kama marekani ina eneo kubwa kuliko sisi lakini bado wana uzazi wa mpango tumewazidi nini?
 
Haya sio mabaya kuzaa ni asili yetu tuukubali ukweli, mimi sio timu Magu lkn ni ukweli mtupu sisi ni wakuzaana tu na tunaweza kweli
MALIZIA HAPO "Tunaweza kweli kweli".
HATA MM SIO TEAM MAGU NA KAMWE SITAKUWA LAKINI HUO NDIO UKWELI KWENYE HILO LA UZAZI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU.
 
Hutaki kuzaa au wewe ni mgumba? Tuna ardhi ya kutosha. Pia kasema kama huwezi kuwalisha usizae ila kama unauwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha basi endelea kupiga kazi mkuu
Mimi tuko pamoja katika hilo na JPM, tayari nna watoto 3 target ni 6. Ila Raisi wetu ange preseve opinioni yake kwasababu yeye sio mimi, family planning ni policy ya kitaifa na tunapata aid kwajiri ya hilo, raisi akipinga national policy ni contradiction kumbwa sana na wazungu ni wazuri kwa propaganda ana kua portrayed kama kituko for such a contradicting statement for ahead of state.
 
Quinine, hivi yeye anao wangapi? Tuanzie hapo.
Kuhusu 'visivyotakiwa kusemwa na kiongozi wa kitaifa....' inanikumbusha enzi za nyuma kidogo, wakati Tanzania ilipokuwa na heshima kubwa sana kimataifa licha ya umaskini (ufukara) wake mkubwa. Ukijitambulisha kuwa wewe unatokea Tanzania, kulikuwa na heshima fulani iliyokuwa inategemewa. Sasa mkuu Quinine, usijifiche kujitambulisha ukienda huko majuu kwa sababu kiongozi wako wa kitaifa kayasema yasiyotakiwa kusemwa!

Kwa namna ya ajabu, kwa hili ninamuunga mkono. Mambo mengine hayastahili kuyalembalemba ili ueleweke unasimamia wapi.
Aeleweke anasimamia wapi hahaha just hahaha! Hivi watanzania tutakuwa na uelewa wa hivi mpaka lini? Nani aeleweke au aeleweke kuwa ni mnafiki?

Rudi nyuma hii kauli siyo mara ya kwanza JPM kuitoa aliwahi kuitoa akihutubia Dar mtaa wa Lumumba August 12, 2016 iliathiri nini? Kwanza baada ya hiyo kauli ni Kama matangazo ya uzazi wa mpango yaliongezeka siku hizi kila redio haipiti dk 5 unasikia tangazo la uzazi wa mpango na wana maigizo mazuri sana.

Sasa kama Rais Magufuli mkuu wa nchi anaongea hivi kinachofanyika ni tofauti nje wanatucheka tu maana wanajua washamwaga pesa za uzazi wa mpango zinafanya kazi huku.

Mimi naona ameidhalilisha nchi achilia mbali anachoongea hakina logic lakini pia anaongea kwa unafiki mkubwa, yaani anachoongea ni mawazo yake binafsi na siyo msimamo wa serikali, kauli yake ipo kinyume na sera ya afya halafu anaongea hivyo akitumia cheo cha Rais halafu anaongea mawazo binafsi. Huko nje kama hao CNN wanamnukuu kama Rais kana kwamba ni msimamo wa serikali kwa niaba ya wananchi this is shame.
 
Hutaki kuzaa au wewe ni mgumba? Tuna ardhi ya kutosha. Pia kasema kama huwezi kuwalisha usizae ila kama unauwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha basi endelea kupiga kazi mkuu
Kwa hiyo kwenu maisha ni chakula tu? Ukishakula ukishiba kinachofuata ni kupandana na kufyatuana tu? Aibu aibu aibu
 
Hii aibu gani hii? Huyo aliyemuambia Magu kuwa uzazi wa mpango ni kutokuzaa amempotosha. Uzazi wa mpango ni nyenzo ya kumpa binadamu freedom of choice inapokuja kwenye familia. Uzazi wa mpango unamsaidia mtu kuamua lini azae na idadi gani ya watoto na jinsia gani.

Lazima tukubali kuwa uzaaji usio na mpangilio umepitwa na wakati. Siyo kila tendo la ndoa lipelekee mimba mengine yatumike kama burudani. Mtu hutegemei unasikia wife anasema ana mimba lazima vizuizi vitumike na hata kama tutazaa watoto saba lazima kuwepo mpangilio siyo wa kwanza ana mwaka mmoja unapata wa pili no no no
Kwa issue ya jinsia ckubaliani na wewe kabisa: unawezaje kupanga jinsia ya mtoto
 
Watu waelimishwe kuzaa idadi ya watoto wanaoweza kuwatunza, hii shida ya kufyatua watoto na kuanza kutafuta lawama kwa ndugu kwa nini hawakusaidii kusomesha ni mambo ya kusikitisha sana. Vinginevyo tuwe na social security au mipango itakayowezesha kupunguza gharama za huduma muhimu kama afya, elimu, maji, umeme na kuboresha upatikanaji wa chakula na lishe bora kwa wote ili kupunguza utegemezi kwa watu wachache wenye kazi au biashara kuweza kusaidia ndugu zao wafyatuaji
Na wanakuwaga na lawama sana hawa wanaofyatua. Mimi huwa sijali ndugu yangu zaa at your own peril silazimiki kusaidia ndugu kisa ana watoto wengi. Lazima watu waelimishwe. Na umasikini siyo uvivu wakati mwingine ni kukosa fursa na kutokuwa na bahati. Utakuta mtu anajishughulisha na kujituma lakini ndiyo hivyo hajabahatika. Sasa kama hali yako ndiyo hiyo hairidhishi hapo upo mwenyewe unahangaika lakini wapi sasa ukizaa watoto kumi ndiyo watakukomboa? Kwanini usiangalie kutokana na hali duni uliyonayo zaa kwanza wawili au mmoja huku ukisikilizia Kama mambo yatakunyookea baadaye si utaongeza wengine?
 
Kwa hiyo kwenu maisha ni chakula tu? Ukishakula ukishiba kinachofuata ni kupandana na kufyatuana tu? Aibu aibu aibu
Aibu ni kwako! Chakula ndiyo kila kitu ukishiba then utakuwa na akili ya kufanya vitu vingine.
 
Mimi tuko pamoja katika hilo na JPM, tayari nna watoto 3 target ni 6. Ila Raisi wetu ange preseve opinioni yake kwasababu yeye sio mimi, family planning ni policy ya kitaifa na tunapata aid kwajiri ya hilo, raisi akipinga national policy ni contradiction kumbwa sana na wazungu ni wazuri kwa propaganda ana kua portrayed kama kituko for such a contradicting statement for ahead of state.
Mkuu acha kuwaza misaada kila mara hakuna misaada ya wazungu inayokuja bila kuwa na mission fulani. Ungeniambia watakataa kutukopesha hapo ningekuelewa misaada ni utumwa wa kiakili.
 
Yeye magufuli anayejua kulima na kufuga huku tukimlisha yeye na familia yake yote maisha yake yote ana watoto 2 (wawili tu) huku anawadanganya mamburula wa ccm akina YEHODAYA johnthebaptist na akina ISIS wafyatuane kama vichaa maana hawana hata akili za kulenga tundu la choo!
Hahaha hivi wamebaki wawili tu? Ukiondoa yule aliyefariki nawafahamu watatu jesca huyu wa kiume na yule wa kike mkubwa aliyeolewa
 
Back
Top Bottom