Usikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.
Mimi ni mwafrika lkn nasema Afrika litabaki kuwa bara la giza kwa muda mrefu ujao unless tu change mentality thinking ya viongozi wetu kwamba wao ni kama miungu watu untouchables wanapokuwa madarakani.Sijalaumu chombo chochote cha habari ila nimetoa mtizamo wangu.
Nadhani mtizamo wa vyombo vya habari vya nje bado haujabadilika kwa nchi za Afrika, kwamba ni nchi zilizo na mtizamo wa kurudi nyuma.
Hivyo hata kama kuna siku watajaribu kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kiongozi yoyote yule wa Afrika, huo utakuwa bado ni unafiki wao uleule.
Kwa wale wanoendelea kuvaa sanamu na kushirikiana nao, wao waendelee hivyohivyo hio ni kawaida.
Ila kama wewe ni mwafrika, ukipata kauli au hoja ambayo inafikirisha kutoka kwa kiongozi wa Afrika, basi hata kama huielewi jaribu kutafakari, tena na tena bila kukimbilia sanamu na kuivaa.
yule judge wa Kenya hakukosea aliposema "Tanzania have a village elder sitting in the state house masquerading as president"Rais wetu Mpendwa Dr. Pombe on CNN tena kwa mabaya. Tumekuwa kichecho cha Dunia. Tena Front Page
https://www.cnn.com/2018/09/11/africa/tanzania-birth-control-magufuli-intl/index.html
'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country
Tanzanian President John Magufuli urges citizens to keep reproducing.
(CNN)Tanzania's President John Magufuli has told women in the East African nation to stop taking birth control pills because the country needs more people, according to local media reports.
"Women can now give up contraceptive methods," Magufuli said.
"Those going for family planning are lazy ... they are afraid they will not be able to feed their children. They do not want to work hard to feed a large family and that is why they opt for birth controls and end up with one or two children only," he said at a public rally on Sunday.
He was quoted in a local newspaper, The Citizen, as saying that those advocating for birth control were foreign and had sinister motives.
Magufuli urged citizens to keep reproducing as the government was investing in maternal health and opening new district hospitals.
Tanzania's anti-corruption crusader cracks down on opponents
The United Nations Population Fund (UNFPA) representative for Tanzania, Jacqueline Mahon, was present when Magufuli made his comments, reports said.
CNN has reached out to the UNFPA for comment but did not immediately receive a response.
"I have traveled to Europe and I have seen the effects of birth control. In some countries they are now struggling with declining population. They have no labor force," the Citizen newspaper quoted him as saying.
Follow CNN Africa on social media
Read the latest news from Africa and share your thoughts with us on Facebook, Twitter and Instagram
Tanzania's population is around 53 million people, and 70% of them living on less than $2 a day, according to a 2015 World Bank report.
"You have cattle. You are big farmers. You can feed your children. Why then resort to birth control?" he asked. "This is my opinion, I see no reason to control births in Tanzania," Magufuli, who has two children, said.
Opposition MP Cecil Mwambe criticized the President's comments, saying they were against the country's health policy.
President Magufuli is known as 'The Bulldozer' for his tough stance against corruption and his hardline policies, which include denying education to schoolgirls who become pregnant.
John Magufuli, the no-frills President who declared war on waste
In another development, the speaker of the Tanzanian parliament banned female lawmakers from wearing fake nails and eyelashes in parliament.
"With the powers vested in me by the Constitution of the United Republic of Tanzania, I now ban all MPs with false eyelashes and false finger nails from stepping into Parliament," Job Ndugai said, a day after Magufuli's comments.
The new rules also ban women MPs from wearing short dresses and jeans. Female visitors to parliament are also expected to adhere to the dress code.
Huyu jamaa (magu)ni mfyatuaji mzuri wa maneno! Anawapa kazi kubwa sana kutetea mifyatuko yake,maana hata kabla hamjamaliza kutetea hili mara anafyatua lingine hatari kuliko hilo,poleniUsikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.
Pole wewe unayefikiri kila mtu anamtetea.Huyu jamaa (magu)ni mfyatuaji mzuri wa maneno! Anawapa kazi kubwa sana kutetea mifyatuko yake,maana hata kabla hamjamaliza kutetea hili mara anafyatua lingine hatari kuliko hilo,poleni
Not only birth control or no control! But most important : Quality of that life; if you bring those children you must look after themRais wetu Mpendwa Dr. Pombe on CNN tena kwa mabaya. Tumekuwa kichecho cha Dunia. Tena Front Page
https://www.cnn.com/2018/09/11/africa/tanzania-birth-control-magufuli-intl/index.html
'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country
Tanzanian President John Magufuli urges citizens to keep reproducing.
(CNN)Tanzania's President John Magufuli has told women in the East African nation to stop taking birth control pills because the country needs more people, according to local media reports.
"Women can now give up contraceptive methods," Magufuli said.
"Those going for family planning are lazy ... they are afraid they will not be able to feed their children. They do not want to work hard to feed a large family and that is why they opt for birth controls and end up with one or two children only," he said at a public rally on Sunday.
He was quoted in a local newspaper, The Citizen, as saying that those advocating for birth control were foreign and had sinister motives.
Magufuli urged citizens to keep reproducing as the government was investing in maternal health and opening new district hospitals.
Tanzania's anti-corruption crusader cracks down on opponents
The United Nations Population Fund (UNFPA) representative for Tanzania, Jacqueline Mahon, was present when Magufuli made his comments, reports said.
CNN has reached out to the UNFPA for comment but did not immediately receive a response.
"I have traveled to Europe and I have seen the effects of birth control. In some countries they are now struggling with declining population. They have no labor force," the Citizen newspaper quoted him as saying.
Follow CNN Africa on social media
Read the latest news from Africa and share your thoughts with us on Facebook, Twitter and Instagram
Tanzania's population is around 53 million people, and 70% of them living on less than $2 a day, according to a 2015 World Bank report.
"You have cattle. You are big farmers. You can feed your children. Why then resort to birth control?" he asked. "This is my opinion, I see no reason to control births in Tanzania," Magufuli, who has two children, said.
Opposition MP Cecil Mwambe criticized the President's comments, saying they were against the country's health policy.
President Magufuli is known as 'The Bulldozer' for his tough stance against corruption and his hardline policies, which include denying education to schoolgirls who become pregnant.
John Magufuli, the no-frills President who declared war on waste
In another development, the speaker of the Tanzanian parliament banned female lawmakers from wearing fake nails and eyelashes in parliament.
"With the powers vested in me by the Constitution of the United Republic of Tanzania, I now ban all MPs with false eyelashes and false finger nails from stepping into Parliament," Job Ndugai said, a day after Magufuli's comments.
The new rules also ban women MPs from wearing short dresses and jeans. Female visitors to parliament are also expected to adhere to the dress code.
Hutaki kuzaa au wewe ni mgumba? Tuna ardhi ya kutosha. Pia kasema kama huwezi kuwalisha usizae ila kama unauwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha basi endelea kupiga kazi mkuuThis a shame to our nation, yoyote angesema lkn asingekua Raisi wetu, inaonyesha Raisi kwamba hana international exposure.
Hata kama ni maoni yake, anajua yeye ni rais nchi yake ina sera ya uzazi wa mpango kulikuwa na ulazima gani yeye kusema public, huoni kwamba amemkwaza waziri wake wa afya na watendaji wake, impact yake ndiyo hii international media zimenasa ungesema wewe hata kijarida cha Jamvi la Wageni kisingeandika.Usikurupuke ukachangia kwa hisia alisema pale pale ni maoni yangu mimi. Hakutoa tamko sawa kijana.
Wananchi wanaozaa idadi ya watoto wanaowataka ndiyo wepi hao? Kuzaa watoto unaowataka kwa wakati unaotaka ndiyo uzazi wa mpango wenyewe ila tu uzaaji huo uendane na uwezo wako wa kuhudumia.Huu ni mjadala wa ajabu, maanake unaweza ukajikuta unaunga mkono pande zote za mjadala.
Sasa ngoja nikupe pendekezo. Mimi sipendi kuwa ombaomba, na sipendezwi kamwe kama nchi tuwe ombaomba kwa kila kitu tusaidiwe. Ni lazima kabisa tufike mahali tuseme, sasa basi, tujitegemee kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Lakini angalia pesa inayoingia nchini kwa madhumuni ya mpango huo wa kupunguza kizazi, ukiwa ni msaada tunaopewa.. Je hiyo hela inaweza kupelekwa kusaidia hao watoto wa mitaani kuliko kuielekeza kwa hawa ambao hawajazaliwa?
Na kwa vile sipendezwi nchi yangu kuwa ombaomba. Je, serikali inaweza kulazimishwa ili iweke mipango ya kuhakikisha kwamba wananchi wake wanaozaa watoto wanaowataka wao watakiwe pia na kuwezeshwa inapobidi, kuwa na uwezo wa kuwahudumia wakisaidiana na serikali? Maana yangu ni kuwa pawe na sera za wazi zinazotutaka kama taifa kulisimamia hili jambo.
Complex social problems that call for solutions through national development strategies.
Tanzania ni nchi kubwa ya kutosha na inao utajiri tosha kuhimili zaidi ya watu million mia moja na zaidi. Bado tupo nusu tu hadi sasa. Ukikataa kuijaza kwa kuzaana sisi kwa sisi, tutasaidiwa kuijaza, tukitaka, tusitake na wahamiaji, haramu au halali, huo ndio ukweli wenyewe.
Tatizo letu ndiyo hilo kwamba tunafikiri kwa kuwa na nchi kubwa basi tuzae tuijaze. Tunataka tujaze kiasi kwamba kila sehemu kuwe na nyumba hahaha, hatujifikirii tutalima wapi? Tutafuga wapi? Kwanini hilo eneo kubwa tusiweke viwanda, tusiboreshe kilimo tuzalishe tuuze nje tuishi maisha mazuri hivi hivi tukiwa na idadi ya watu wa kawaida? Hivi mnafikiri tukiijaza hii nchi ndiyo tutaishi kwa raha nawaambia tutakuja kulana kama wanyama nawaambieni.Huu ni mjadala wa ajabu, maanake unaweza ukajikuta unaunga mkono pande zote za mjadala.
Sasa ngoja nikupe pendekezo. Mimi sipendi kuwa ombaomba, na sipendezwi kamwe kama nchi tuwe ombaomba kwa kila kitu tusaidiwe. Ni lazima kabisa tufike mahali tuseme, sasa basi, tujitegemee kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Lakini angalia pesa inayoingia nchini kwa madhumuni ya mpango huo wa kupunguza kizazi, ukiwa ni msaada tunaopewa.. Je hiyo hela inaweza kupelekwa kusaidia hao watoto wa mitaani kuliko kuielekeza kwa hawa ambao hawajazaliwa?
Na kwa vile sipendezwi nchi yangu kuwa ombaomba. Je, serikali inaweza kulazimishwa ili iweke mipango ya kuhakikisha kwamba wananchi wake wanaozaa watoto wanaowataka wao watakiwe pia na kuwezeshwa inapobidi, kuwa na uwezo wa kuwahudumia wakisaidiana na serikali? Maana yangu ni kuwa pawe na sera za wazi zinazotutaka kama taifa kulisimamia hili jambo.
Complex social problems that call for solutions through national development strategies.
Tanzania ni nchi kubwa ya kutosha na inao utajiri tosha kuhimili zaidi ya watu million mia moja na zaidi. Bado tupo nusu tu hadi sasa. Ukikataa kuijaza kwa kuzaana sisi kwa sisi, tutasaidiwa kuijaza, tukitaka, tusitake na wahamiaji, haramu au halali, huo ndio ukweli wenyewe.
MALIZIA HAPO "Tunaweza kweli kweli".Haya sio mabaya kuzaa ni asili yetu tuukubali ukweli, mimi sio timu Magu lkn ni ukweli mtupu sisi ni wakuzaana tu na tunaweza kweli
Mimi tuko pamoja katika hilo na JPM, tayari nna watoto 3 target ni 6. Ila Raisi wetu ange preseve opinioni yake kwasababu yeye sio mimi, family planning ni policy ya kitaifa na tunapata aid kwajiri ya hilo, raisi akipinga national policy ni contradiction kumbwa sana na wazungu ni wazuri kwa propaganda ana kua portrayed kama kituko for such a contradicting statement for ahead of state.Hutaki kuzaa au wewe ni mgumba? Tuna ardhi ya kutosha. Pia kasema kama huwezi kuwalisha usizae ila kama unauwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha basi endelea kupiga kazi mkuu
Aeleweke anasimamia wapi hahaha just hahaha! Hivi watanzania tutakuwa na uelewa wa hivi mpaka lini? Nani aeleweke au aeleweke kuwa ni mnafiki?Quinine, hivi yeye anao wangapi? Tuanzie hapo.
Kuhusu 'visivyotakiwa kusemwa na kiongozi wa kitaifa....' inanikumbusha enzi za nyuma kidogo, wakati Tanzania ilipokuwa na heshima kubwa sana kimataifa licha ya umaskini (ufukara) wake mkubwa. Ukijitambulisha kuwa wewe unatokea Tanzania, kulikuwa na heshima fulani iliyokuwa inategemewa. Sasa mkuu Quinine, usijifiche kujitambulisha ukienda huko majuu kwa sababu kiongozi wako wa kitaifa kayasema yasiyotakiwa kusemwa!
Kwa namna ya ajabu, kwa hili ninamuunga mkono. Mambo mengine hayastahili kuyalembalemba ili ueleweke unasimamia wapi.
Kwa hiyo kwenu maisha ni chakula tu? Ukishakula ukishiba kinachofuata ni kupandana na kufyatuana tu? Aibu aibu aibuHutaki kuzaa au wewe ni mgumba? Tuna ardhi ya kutosha. Pia kasema kama huwezi kuwalisha usizae ila kama unauwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha basi endelea kupiga kazi mkuu
Mna uwezo wa kuwatunza? hawa tulionao hata mkopo ya wanafunzi tumeshindwa kuwatimizia tumeanza kuwabagua kwa vigezo vya kozi.China inajivunia idadi yake ya watu; tuwe wengi tu ;
Kwa issue ya jinsia ckubaliani na wewe kabisa: unawezaje kupanga jinsia ya mtotoHii aibu gani hii? Huyo aliyemuambia Magu kuwa uzazi wa mpango ni kutokuzaa amempotosha. Uzazi wa mpango ni nyenzo ya kumpa binadamu freedom of choice inapokuja kwenye familia. Uzazi wa mpango unamsaidia mtu kuamua lini azae na idadi gani ya watoto na jinsia gani.
Lazima tukubali kuwa uzaaji usio na mpangilio umepitwa na wakati. Siyo kila tendo la ndoa lipelekee mimba mengine yatumike kama burudani. Mtu hutegemei unasikia wife anasema ana mimba lazima vizuizi vitumike na hata kama tutazaa watoto saba lazima kuwepo mpangilio siyo wa kwanza ana mwaka mmoja unapata wa pili no no no
Na wanakuwaga na lawama sana hawa wanaofyatua. Mimi huwa sijali ndugu yangu zaa at your own peril silazimiki kusaidia ndugu kisa ana watoto wengi. Lazima watu waelimishwe. Na umasikini siyo uvivu wakati mwingine ni kukosa fursa na kutokuwa na bahati. Utakuta mtu anajishughulisha na kujituma lakini ndiyo hivyo hajabahatika. Sasa kama hali yako ndiyo hiyo hairidhishi hapo upo mwenyewe unahangaika lakini wapi sasa ukizaa watoto kumi ndiyo watakukomboa? Kwanini usiangalie kutokana na hali duni uliyonayo zaa kwanza wawili au mmoja huku ukisikilizia Kama mambo yatakunyookea baadaye si utaongeza wengine?Watu waelimishwe kuzaa idadi ya watoto wanaoweza kuwatunza, hii shida ya kufyatua watoto na kuanza kutafuta lawama kwa ndugu kwa nini hawakusaidii kusomesha ni mambo ya kusikitisha sana. Vinginevyo tuwe na social security au mipango itakayowezesha kupunguza gharama za huduma muhimu kama afya, elimu, maji, umeme na kuboresha upatikanaji wa chakula na lishe bora kwa wote ili kupunguza utegemezi kwa watu wachache wenye kazi au biashara kuweza kusaidia ndugu zao wafyatuaji
Aibu ni kwako! Chakula ndiyo kila kitu ukishiba then utakuwa na akili ya kufanya vitu vingine.Kwa hiyo kwenu maisha ni chakula tu? Ukishakula ukishiba kinachofuata ni kupandana na kufyatuana tu? Aibu aibu aibu
Mkuu acha kuwaza misaada kila mara hakuna misaada ya wazungu inayokuja bila kuwa na mission fulani. Ungeniambia watakataa kutukopesha hapo ningekuelewa misaada ni utumwa wa kiakili.Mimi tuko pamoja katika hilo na JPM, tayari nna watoto 3 target ni 6. Ila Raisi wetu ange preseve opinioni yake kwasababu yeye sio mimi, family planning ni policy ya kitaifa na tunapata aid kwajiri ya hilo, raisi akipinga national policy ni contradiction kumbwa sana na wazungu ni wazuri kwa propaganda ana kua portrayed kama kituko for such a contradicting statement for ahead of state.
Hahaha hivi wamebaki wawili tu? Ukiondoa yule aliyefariki nawafahamu watatu jesca huyu wa kiume na yule wa kike mkubwa aliyeolewaYeye magufuli anayejua kulima na kufuga huku tukimlisha yeye na familia yake yote maisha yake yote ana watoto 2 (wawili tu) huku anawadanganya mamburula wa ccm akina YEHODAYA johnthebaptist na akina ISIS wafyatuane kama vichaa maana hawana hata akili za kulenga tundu la choo!