PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Upepo unapuliza sasa tunaona hadi firigisi za kuku
 
Ungekuwa wewe ungetumia njia gani kudhibiti ule uhalifu wa halaiki??
 
Kwa dunia ya sasa huwezi kudanganya, mifumo yote/mingi ya kidunia inamilikiwa na hawa wenzetu, wakitoa tahadhari wanajua nini kinaendelea, wakisema kitu sio wa kupuuzwa.

We have the worst regime our country has ever seen, led by a failure from top to the security services.

Inasikitisha sana!!
 
Hii report inatakiwa kuhifadhiwa
 
Una siku chache za kuendelea kuandika upuuzi huu. Nchi inaenda kurudi mikononi mwa Wananchi.
 
Ni rahisi kuongea hivyo kwa sababu walio uliwa sio wanao( chuki imekutawala sana mkuu) lkn vipi Sheria za nchi yetu zinaseje kuhusu hao unaowaita waharifu? Unaongeleaje report za watu kuuwawa wakiwa majumbani mwao?
 
Watanzania na watu wote waliopotelewa wapendwa wao hiyo kondo ni sehemu muhimu sana
 
In Trump's voice "FAKE NEWS"
 
Sihitaji kuhongwa hata senti tano. Bali jibu swali langu, ingekuwaje kama ule uhalifu usingedhibitiwa ndani ya muda mchache
Wanao andamana kukataa vitendo vya utekaji na ukweukwaji wa haki wamekua waharifu halafu wauaji na watekaji ndio wamekua watu wema!?
 
JK jamani.! Yani ndio anamalizia maisha yake kwa kusupport upuuzi kama huu? Hivi anajisikiaje kuwa kwenye jambo kama hili?
 
Watanzania wenzangu Huyu mwanamke ameuwa watanganyika hovyo kiasi hiki?
CNN world News imeweka wazi hakika samia wewe na wauwaji wenzako watanzania sasa tupo tayali kwa lolote ingieni mjionee wenye huyu shetani wa kizimkazi alicho kifanya kwenye ardhi hii




watanzania tutokeni kwa wingi 9/12/2025 tukamuondoe samia muuwaji na majambazi wenzake hatutakuogopeni hakika sasa watanganyika tupo tayali kwa lolote
 
Unajua sharti la mauaji kuitwa mauaji ya kimbari? Au darasani ulikua unamuangalia mwalimu kwenye rula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…