The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
CNN ni chombo cha propaganda kisichokubalika hata kwao Marekani. Tukipuuuze.
KabisaICC haihitaji investigation yeyote. Ni verification ya videos tu mnahukumu
CDF ataifanya Tanzania kuwa kama Sudan!Huyu mbugira atapata tabu sana
ICC is loading 😀Who are you!!? 😁
😀😀😀Who are you!!? 😁
Huwezi kuua watu wengi hivyo ukabaki salama. Nature inakataa. Sio leo inaweza kuwa kesho lakini utalipiaPole mama Samia, hao ndio binadamu hata ukicheza kwenye Swimming Pool bado watakuambia unawatimulia vumbi, songa mbele kwa mapenzi ya Mungu aliyekuweka hapo kwenye kiti hicho. Ndiyo maana nabii Nuhu aliamua kuchukua wanyama kwenye safina akawaacha wanadamu. Wanadamu hawana shukran wapo kukosoa tu, wamesahau wema uliowatendea piga kazi mama songa mbele, hata mitume pia walidhihakiwa 🤲🤲
Exactly 💯ICC haihitaji investigation yeyote. Ni verification ya videos tu mnahukumu
Good to go!
Subiri uone🤣Kweli au?
Anawauliza wahisani "who are you?"Daaa ukiacha kiburi Cha kijinga kuanzia Sasa Hadi Samia anaingia kaburini ataishi maisha magumu sana, nchi yenye budget ya $23b eti Ina battle na mabeberu
Larry endelea kukabia juu mpaka afikishwe ICC.
Kashajaa kwenye mfumo bila kujua
Siku moja atakataa atasema hakusema yeye,tatizo huyu mama tulipigwa