Inaelekea imepenya; pole sana, sina namna ya kukusaidia cuz' it's your choice!Sema angalia pia usije ukawa wewe ndio mjinga maana....
Nipe logic ya point yako are you sure wewe uko sahihi??? Wewe si mjinga??? Toa proof kupitia statement ya rais kuonyesha alichosema ni ujinga na wewe una akili kuliko wale wanaoiunga mkonoInaelekea imepenya; pole sana, sina namna ya kukusaidia cuz' it's your choice!
Leo ni siku ya saba hakuna kisa wala kifo kipyaMsimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona.
Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Waziri wa katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Rais Magufuli alieleza wasiwasi wake juu ya mashine hizo huku akitolea mfano jinsi sampuli kutoka kwenye papai, mbuzi na ndege aina ya kware zilivyotoa majibu kuonesha kwamba wahusika wana maambukizi ya Corona.
Kauli yake hiyo, imeripotiwa na vyombo vikubwa vya habari duniani, kuanzia televisheni za BBC, DW, CBS, VOA, AL Jazeera, Sky News, CNN na kadhalika, huku magazeti ya New York Times, Financial Times, Daily Mail, The Guardian, Times of India yakiipa uzito habari kuhusu alichokizungumza.
Shirika la Habari la Reuters, nalo pia limeiripoti habari hiyo kwa ukubwa katika vyombo vyake mbalimbali, na kuzidi kuifanya hotuba ya Magufuli kuwa mjadala unaoumiza vichwa vya wanasayansi duniani kote kuhusu ubora na ufanisi wa vifaa vinavyotumika kupima Corona duniani kote.
Vyombo hivyo vya kimataifa, ambavyo mara kwa mara hushutumiwa kuandika habari mbaya pekee kutoka barani Afrika, safari hii vimejikuta vikiizungumzia habari ya hotuba ya Rais Magufuli kwa uzuri kwa sababu alichokibaini kuhusu ufanisi wa mashine hizo, kinahitaji mjadala mpana wa kitaalamu.
Katika hafla ya kumwapisha Mwigulu, Rais Magufuli alieleza jinsi sampuli kadhaa zilivyopelekwa kwenye Maabara Kuu ya Taifa, bila ya wataalamu wa maabara hiyo kujua kuwa si za binadamu, kisha majibu yakatoka kwamba sampuli hizo zilizokuwa zimepewa majina ya binadamu, zilikuwa na Corona wakati kiuhalisia zilikuwa ni sampuli za papai, ndege kwale pamoja na mbuzi.
“…Papai lile lipo halijafa linaiva tu. Mbuzi yule yupo tu hajafa, fenesi lile lipo tu labda lije kuoza… kwa hiyo natoa wito kwa Watanzania msiwe na hofu…mbona mafua yamekuwepo lakini haya ni makali, nayo yatapita…,” alisema Rais Magufuli katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla hiyo.
Vyombo hivyo vimeendelea kumnukuu Rais Magufuli akisema: “…Lazima ugundue kuna mambo ya ajabu yanafanyika nchi hii. Ama wahusika wa maabara wamenunuliwa na mabeberu, ama hawana utaalamu jambo ambalo si kweli kwa kuwa maabara hii imetumika sana katika magonjwa mengine. Ama zile sampuli zinazoletwa maana vifaa vyote vinatoka nje, hivyo lazima kuna kitu fulani kinafanywa.”
Rais Magufuli, ambaye hadi sasa anatajwa kuwa rais kutoka nchi za Kiafrika anayeheshimika duniani kote kutokana na kuwa na misimamo isiyoyumbishwa, alisema kutokana na taarifa hizo anaamini kuna watu ambao walipewa majibu yasiyo sahihi kwamba wameambukizwa Corona wakati si kweli na kuongeza pengine kuna waliopoteza maisha kwa sababu ya hofu.
Rais Magufuli pia alivishutumu vyombo vya habari vya kimataifa kwa namna vinavyoripoti kuhusu janga hilo nchini Tanzania licha ya kuwa vyombo hivyo vipo katika maeneo ambayo yameathirika na ugonjwa huo kuliko hata Tanzania
Zaidi, soma: Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria - JamiiForums
Umenikumbusha mbali sana na hiyo stori ya mchizi wangu, ni yeye mwenyewe niliyemwambia nitampigia simu alinifuata akaniambia "we mbona unaharibu, oale kuna watu kwao wanaona simu kitu cha fahari sana halafu wewe unaongea kama utanipigia tu tupige story?
Kuhusu Sozigwa na backhanded compliment, inawezekana ali politicize, inawezekana alibaini mambo muhimu.
Lakini, kuhusu Magufuli, sidhani kwamba rahisi kujigamba kapima mapapai na mafenesi kwenye kipimo cha Covid-19 ni jambo la kusifia.
Kwanza kawavuruga watu kichizi, rais unaposema hizi tests mbovu, unatakiwa kuwapa watu alternative ya hizi test nzuri tumieni. Au tunaweka wanamaabara wazuri zaidi. Yeye kavuruga tu.
Mpaka kawapa sababu Wakenya wanakataa kuingiza ng'ombe wa Tanzania Kenya, wanasema mifugo ya Tanzania imepimwa na Magufuli na kukutwa na Covid-19. By the way kuna domestic cats wanepimwa wamekuwa wana hivi virusi.
Rais hata kama ana fanya uhakiki wa hizi testing procedures, anatakiwa kufanya methodically, kwa njia ambayo haitaleta mtafaruku, ananyata polepole, anaweka mtego, anagundua udhaifu, anauindoa udhaifu, anatangaza habari wakati kashamaliza kazi.
Siyo huyu anabwatuka tu, mara mabeberu, mara vipimo vibovu, mara kaugonjwa, anaonekana anataka ku confuse watu tu kwa kuwa hana mpango thabiti wa kukabiliana na janga hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mlivyo na ujinga wa kipaji cha kumsikiliza disco Jocker!!Ujinga ni kipaji pia!!
we mwenyewe umesoma kutokana na amani iliyojengwa na TANU na CCM kudadadeki.. halafu unatuletea Sijui umbumbu wako wa Nigrastractatract... acha ulofa ww!!Nigrastratatract
CCM Mpya inafurahia mtaji wa ujinga ndiyo nguvu yake, imewafanya watu mateka kwa kuwaaminisha uhuru ni sawa na utumwa na mwisho kabisa CCM Mpya inaamini utulivu na amani lazima watu wafe na siyo kupitia njia ya amani ya ushawishi au nguvu ya hoja.
Above Quotes from George Orwell's book titled 1984.
- ignorance is strength
- freedom is slavery
- war is peace
Short and clear, HAKUNA media yoyote kati ya hizo iliyomuunga mkono JPM! Zote zimeripoti alichoongea JPM; na pekee kilichoongozewa mbali na liyoongea JPM ni jinsi watu wanavyo-criticize suala zima la ufichaji takwimu, na jinsi Afrika ilivyo na maambukizi madogo huku waki-conclude vile vile kuna low testing level
Na kingine ni jinsi inavyoonekana tusivyo serious kulinganisha na majirani! In short, ukisoma katikati ya mstari utaona kilichopo ni kejeli kwa JPM kuliko kumuunga mkono!
Hizi habari za ubovu wa vipimo zilikuwepo kabla ya Magufuli kusema kapima mbuzi.
Ila kwa nchi walizoendelea kama South Korea na India nao wamevishtukia vipimo vya China.Unaweza ukakuta walitumia kama njia walizotumia Watanzania.Hizi habari za ubovu wa vipimo ,ilikuwepo kabla ya Magufuli kusema kapima mbuzi.
Tatizo ni pale mtu anapopima mafenesi, mapapai, mbuzi, ili kupima kipimo ambacho hakijatengenezwa kupima hivyo vitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kupima mafenesi na mbuzi labda ni extreme.Hizi habari za ubovu wa vipimo ,ilikuwepo kabla ya Magufuli kusema kapima mbuzi.
Tatizo ni pale mtu anapopima mafenesi, mapapai, mbuzi, ili kupima kipimo ambacho hakijatengenezwa kupima hivyo vitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
we mwenyewe umesoma kutokana na amani iliyojengwa na TANU na CCM kudadadeki.. halafu unatuletea Sijui umbumbu wako wa Nigrastractatract... acha ulofa ww!!
Nigrastratatract
CCM Mpya inafurahia mtaji wa ujinga ndiyo nguvu yake, imewafanya watu mateka kwa kuwaaminisha uhuru ni sawa na utumwa na mwisho kabisa CCM Mpya inaamini utulivu na amani lazima watu wafe na siyo kupitia njia ya amani ya ushawishi au nguvu ya hoja.
Above Quotes from George Orwell's book titled 1984.
- ignorance is strength
- freedom is slavery
- war is peace
Unaelewa kwamba vipimo vilitakiwa v8hakikiwe na serikali kabla havijaanza kutumika, na si baada ya kuanza kutumika.Ila kwa nchi walizoendelea kama South Korea na India nao wamevishtukia vipimo vya China.Unaweza ukakuta walitumia kama njia walizotumia Watanzania.
Nyie endeleeni kubisha,ila yeye aliamua kufanya upande wake kwa kutumia mbuzi,mapapai kujilizisha,mana mlivyo na NONGWA kama huko mbele ingekuja kugundulika vipimo vibovu mngeongea vilevile na kujipa unabii TULIJUA TULIJUA zingekuwa nyingi.
Hata USA nao walitumia kumpima Chui wakagundua ana Corona au kwa sababu kafanya Magufuli ndio isha kuwa nongwa au nao USA watakuwa wamekosea au vilaza ?
Tiger at New York's Bronx Zoo tests positive for coronavirus
Eti ni Rais anayeheshimika Duniani pote,Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona.
Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Waziri wa katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Rais Magufuli alieleza wasiwasi wake juu ya mashine hizo huku akitolea mfano jinsi sampuli kutoka kwenye papai, mbuzi na ndege aina ya kware zilivyotoa majibu kuonesha kwamba wahusika wana maambukizi ya Corona.
Kauli yake hiyo, imeripotiwa na vyombo vikubwa vya habari duniani, kuanzia televisheni za BBC, DW, CBS, VOA, AL Jazeera, Sky News, CNN na kadhalika, huku magazeti ya New York Times, Financial Times, Daily Mail, The Guardian, Times of India yakiipa uzito habari kuhusu alichokizungumza.
Shirika la Habari la Reuters, nalo pia limeiripoti habari hiyo kwa ukubwa katika vyombo vyake mbalimbali, na kuzidi kuifanya hotuba ya Magufuli kuwa mjadala unaoumiza vichwa vya wanasayansi duniani kote kuhusu ubora na ufanisi wa vifaa vinavyotumika kupima Corona duniani kote.
Vyombo hivyo vya kimataifa, ambavyo mara kwa mara hushutumiwa kuandika habari mbaya pekee kutoka barani Afrika, safari hii vimejikuta vikiizungumzia habari ya hotuba ya Rais Magufuli kwa uzuri kwa sababu alichokibaini kuhusu ufanisi wa mashine hizo, kinahitaji mjadala mpana wa kitaalamu.
Katika hafla ya kumwapisha Mwigulu, Rais Magufuli alieleza jinsi sampuli kadhaa zilivyopelekwa kwenye Maabara Kuu ya Taifa, bila ya wataalamu wa maabara hiyo kujua kuwa si za binadamu, kisha majibu yakatoka kwamba sampuli hizo zilizokuwa zimepewa majina ya binadamu, zilikuwa na Corona wakati kiuhalisia zilikuwa ni sampuli za papai, ndege kwale pamoja na mbuzi.
“…Papai lile lipo halijafa linaiva tu. Mbuzi yule yupo tu hajafa, fenesi lile lipo tu labda lije kuoza… kwa hiyo natoa wito kwa Watanzania msiwe na hofu…mbona mafua yamekuwepo lakini haya ni makali, nayo yatapita…,” alisema Rais Magufuli katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla hiyo.
Vyombo hivyo vimeendelea kumnukuu Rais Magufuli akisema: “…Lazima ugundue kuna mambo ya ajabu yanafanyika nchi hii. Ama wahusika wa maabara wamenunuliwa na mabeberu, ama hawana utaalamu jambo ambalo si kweli kwa kuwa maabara hii imetumika sana katika magonjwa mengine. Ama zile sampuli zinazoletwa maana vifaa vyote vinatoka nje, hivyo lazima kuna kitu fulani kinafanywa.”
Rais Magufuli, ambaye hadi sasa anatajwa kuwa rais kutoka nchi za Kiafrika anayeheshimika duniani kote kutokana na kuwa na misimamo isiyoyumbishwa, alisema kutokana na taarifa hizo anaamini kuna watu ambao walipewa majibu yasiyo sahihi kwamba wameambukizwa Corona wakati si kweli na kuongeza pengine kuna waliopoteza maisha kwa sababu ya hofu.
Rais Magufuli pia alivishutumu vyombo vya habari vya kimataifa kwa namna vinavyoripoti kuhusu janga hilo nchini Tanzania licha ya kuwa vyombo hivyo vipo katika maeneo ambayo yameathirika na ugonjwa huo kuliko hata Tanzania
Zaidi, soma: Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria - JamiiForums
Kwa hiyo sasa hivi ni mapapai na mafenesi na si mbuzi uliyemtaja mwanzoni?Unaelewa kwamba vipimo vilitakiwa v8hakikiwe na serikali kabla havijaanza kutumika, na si baada ya kuanza kutumika.
Na katika hilo rais ameshindwa kutimiza kazi yake ya kuwalinda Watanzania?
Unaelewa kwamba hata kama unavihakiki vipimo, kuna njia za kitaalamu, sio kwa kutumia mafenesi na mapapai?
Unaelewa kwamba, rais kulialia huku anawalaumu wengine bila ya kutupa utatuzi wa tatizo la kupima Covid-19 ni kukataa wajibu wake na kuvuruga wananchi kwa kuwaambia vipimo vibovu bila kueleza vizuri wananchi watavipataje?
Unaelewa kwamba mtu mwenye Ph.D ya Chemistry kutumia mafenesi na mapapai kwenye kipimo ambacho hakijatengenezwa kwa lengo la kupima mafenesi ma mapapai ni kuidhalilisha hiyo Ph.D yake ya Chemistry?
Unaelewa Magufuki kashawapa sababu Wakenya wakatae mifugo ya Tanzania kwa kigezo kwamba mifugo ya Tanzania ina virusi hivi?
Unaelewa biashara ya mapapai na mafenesi inaanguka, watu wanaogooa mapapai na mafenesi yana coronavirus hii?
Unaelewa kwamba Tanzania inaficha idadi halisi ya watu wanaokufa kwa Covid-19, na Magufuli kamteua Mwigulu Nchemba, mtu aliyesema wazi kwamba anapendekeza serikali isitangaze wagonjwa na watu wanaofariki kwa Covid-19?
Unaelewa kwamba wananchi kuoewa habari muhimu za nchi yao inavyoendeshwa ni haki ya kikatiba, na kuficha huku habari ni kuvunja katiba ya Tanzania?
Unaelewa rais kaapa kuilinda katiba, na kuvunja katiba ni kuvunja kiapo cha urais?
Sent using Jamii Forums mobile app
You guys are very funny! Unajua Kiongozi wewe ni wa mtu wa tatu unakuja na similar argument kujibu post yangu!
Serikali inayosema ya kweli yapi?Kwa hiyo sasa hivi ni mapapai na mafenesi na si mbuzi uliyemtaja mwanzoni?
Na hao waliompima Chui USA hawajaelimika?
Na yule Chui aligunduliwa na Corona ina maana biashara ya utalii itaanguka?
Corona mpaka sasa haina utatuzi zaidi ya Trial and error zinazofanyika,utatuzi ni kufuata ushauri kutoka kwa wataalamu kama huna shughuli ya kufanya katulie nyumbani na kwa bahati nzuri unatolewa kila siku kwenye vyombo vya habari na wataalamu.
Tanzania inaficha idadi ya waliokufa kwani uliyokuwa nayo wewe wamekufa wangapi?
Au mnataka msikie leo wamekufa mia,kesho 200 ndio mjue serikali inayoyasema ni kweli.
Namba zako wewe za kweli zipo wapi?Serikali inayosema ya kweli yapi?
Wewe unakubaliana na namba za Ummy Mwalimu?
Sent using Jamii Forums mobile app