Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Tatizo lenu ni ulozi na kudhania historia

Eti sheik amri Abeid Yanga ni vigumu kutoboa wapelekeni Kule Ili wapunguze nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Badala yake pointi zote kibindoni

Rudieni Tena ndiyo wananchi
 
Mashabiki wa simba wakimuona Mayelle wanapata pressure sana
Tatizo mna mshobokea sanaa yani kwa vile vibao viwili kweliii? Yani mayele.akisikia Simba ndo anahaha kwa sbb huwa hana uhakika wa kufunga. Hata yy huwa analikiri hilo
 
Waamuzi Wa mpira ni kichefuchefu aise!
Nafikiri msimu huu TFF wamedhamiria kusaidiana na marefa na makolo kuhakikisha YANGA inahujumiwa uwanjan... Ni aibu sana refa kucheza upuuzi hajui wachezaj maisha yao ni afya za miguu... Big up yule Linesman wa upande wa juu kulia amesaidia kuonyesha matukio ya faulo alizochezewa Yanga
 
Leo Yanga ilikua lazima mmoja aondoke kilema daah
 
Tatizo mna mshobokea sanaa yani kwa vile vibao viwili kweliii? Yani mayele.akisikia Simba ndo anahaha kwa sbb huwa hana uhakika wa kufunga. Hata yy huwa analikiri hilo
😂😅😂 Mayele kawafunga makipa wote wa simba... Mayele kaifunga magoli mengi simba... Mayele ktk mechi moja aliyowah kufunga magoli mawili ni alipokutana na simba... Mayele Mayele Mayeleeeee
 
Wameshaanza sasa malalamishi ila hii timu jamani hahahahhah ina shida. Mi nadhani yule bangala asingemsukuma yule mchezaji labda refa angetoa kadi nyekundu
 
Hii ratiba tff wameikosea saa costal katoka kucheza na yanga juzi tu ilitakiwa wangempanga tena na yanga katikati ya ligi.
 
😂😅😂 Mayele kawafunga makipa wote wa simba... Mayele kaifunga magoli mengi simba... Mayele ktk mechi moja aliyowah kufunga magoli mawili ni alipokutana na simba... Mayele Mayele Mayeleeeee
Kumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
 
Ni Tanzania pekee mchezaji anacheza unsposman faul anapewa kadi ya njano na anaendelea kucheza.
 
Back
Top Bottom