Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Duh! Aisee...
Huyu naye njaa itamuuwa..wolper ni jina lake kwanza.? Jina lake halisi ni hamisa katindasa kaja mjini anajifanya jackline wolper..!!!
Dinazarde fanya fanya tuonane kabla sijaondoka bongoland basiiiii barafu ya moyo wangu:A S wink:Mwaka mpya na mambo mapyaa,kiriuuuuuuuuuuu Kim nana Paula kilaki unanikosha mpaka naumwaaa heiyaa:thumbup:
Na mimi mkinionea Coke ya jina langu nipigieni hata picha.. Maana hili jina naweza kusubiri mwaka na lisitokee
Mkuu inaonekana una maslahi na Coca Cola.....
Eeeee unasema
hivi mabandiko ya kina messi na wachezaji wa kubwa wanafanya bure?
Ye alilinunua wapi mpuuzi tu huyu au wazazi wake ndo walilitoa mbinguni.. mpuuzi kabisa kwa hiyo mi naitwa kevin nikikuta jina nikawashtaki bonite???? Jinga sana hili ..kuna vibinti vimetoka sitimbi vimekkuja mjini kwao vilikuwa vinaitwa raheli vimefika vimegundua kwa kizungu ni rechel navyo vitaenda kushtaki sasa ehh?? Pumbav kabisa na mi lips yake utadhani yule nanii wa gombe (makalio )...