Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Le kopoz.. In le mutuz voice
 

Attachments

  • 1421869290496.jpg
    1421869290496.jpg
    38.6 KB · Views: 391
Na mimi mkinionea Coke ya jina langu nipigieni hata picha.. Maana hili jina naweza kusubiri mwaka na lisitokee
 
Na mimi mkinionea Coke ya jina langu nipigieni hata picha.. Maana hili jina naweza kusubiri mwaka na lisitokee

Hhhhhaaaaaa ukikosa chukua karatasi andika jina lako kisha bandika na gundi
 
Kuna dada mmojakaifiza kwenye movie ya SELMA kafanana na wolper sana..namuoneahuruma angekuwahapaungekuta yupo mbali..
 
hivi mabandiko ya kina messi na wachezaji wa kubwa wanafanya bure?
 
Huyo wolper kwani yuko peke yake kama Mimi mhemeavisogo??! Asilete uchizi wake hapa, Anatafuta kick tu. Kuna wakina wolper wangapi bongo hii. Njaa mbaya jamani....!!🙂 🙂
 
Ye alilinunua wapi mpuuzi tu huyu au wazazi wake ndo walilitoa mbinguni.. mpuuzi kabisa kwa hiyo mi naitwa kevin nikikuta jina nikawashtaki bonite???? Jinga sana hili ..kuna vibinti vimetoka sitimbi vimekkuja mjini kwao vilikuwa vinaitwa raheli vimefika vimegundua kwa kizungu ni rechel navyo vitaenda kushtaki sasa ehh?? Pumbav kabisa na mi lips yake utadhani yule nanii wa gombe (makalio )...

samahani mkuu, huyu Wolper pesronaly mnafahamiana au?
 
Mimi anaitwa ISSA, na mke wangu anaitwa LATIFA, 1dt born wetu ni MARIAM, lawyers msaada please!
Tumeona majina yetu ktk koka kola, vp inatuhusu?
 
Back
Top Bottom