Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi
utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
Ndiyo maana kuna majukwaa tofauti. siasa,sheria na mambo ya sex. sasa we unapost mambo ya sex kwenye jukwaa la sheria. nenda huko mjadili papuchi,oral sex na masaburi huku palipo na mijadala ya kuhitaji akili waachie wenye uwezo nayo. we nenda huko kajadili matiti na mbunye zako mama.
Huyu naye njaa itamuuwa..wolper ni jina lake kwanza.? Jina lake halisi ni hamisa katindasa kaja mjini anajifanya jackline wolper..!!!
Ndo maana akasema baada ya kupelekewa kopo hakupiga picha badala yake alianza kutafakari mazingira aliyopelekewa zawadi na hii kutafakari ni pamoja na kutafuta ushauri na sio SYMPATHY juu ya haki yake aliyonayo kwa jina lake kutumika katika tangazo la kibiashara kama alivyoomba wanaharakati wampe msaada wa kujua haki zake katika hili suala...Baada ya kupelekewa kopo lililoandikwa jina lake kwa nini hakuwahoji kutumia jina lake bila idhini yake au malipo?Badala yake anakuja kutafuta sympathy kwenye social media.Aende zake huko kuna watu wengine wanahitaji kusaidiwa na wanaharakati lakini siyo hawa wasanii. Wajisaidie wenyewe au walipe ili wasaidiwe.
Kuna watu wanajifanya much know utadhani ni wasemaji wa coca cola!kila kitu wanajua wao kumbe majuha tu.
Nyani Ngabu we unakomaa sana ,ina maana unafikiri walichofanya Cocola ni sawa? kutumia majina si tatizo ila tatizo ni pale unapoyatumia kutengeza fedha wakati wao hawapati kitu.
kwa nini unakuwa mgumu kuelewa jambo hili.
Inawezekana kisheria wasanii wasishinde au wasipeleke kesi mahakamni lakini iyo haitoi mwanya kuwa coca walikuwa sahii.
Vua miwani uliyo nayo ,jitambue,elewa msingi wa hoja.
Hoja kwamba jina lake si brand name si hoja kuntu hapa.
issue ni kwamba Coca cola wamewatapeli wasanii hawa basi.
Hahahaha Kweli Hapa mwenye akili amewazidi kete wenzao ni huyo Marketing Manager jamani Shule muhimu wasanii someni shule
majina kama ya akina Wolper na wasanii wengine yana impact kubwa katika suala zima la marketing ya product ndo maana umeona wamepewa na zawadi za le kopoooz, jiulize kwanini hao kina Rajabu na Agness ambayo ni ya watu wa kawaida kwanini hawakupewa zawadi hizo!!??
Ni kweli Cocacola ina options nyingi sana na hii ya Wolper ikiwemo kwenye uhitaji wao ndo maana wameitumiaaaa...
Kwa hiyo kaandikwa Wolper tu na hakuna majina mengine kama Rajabu au Agness, ambayo ni ya watu wa kawaida tu na ambayo yamendikwa kwenye hizo chupa na kopo?
Coca-Cola ina options nyingi sana kiasi cha kutomhitaji Wolper.
Kama yana impact kubwa hivyo kwa nini wanawaomba wanaharakati wawasaidie?
Kwa nini wasitumia impact ya majina yao kudai haki zao badala ya kulialia na kuwaomba wasio na wajina yenye impact kama yao wawasadie tena bure?
Kama Coke wana options nyingi zaidi ya kumuhitaji Wolper kwanini basi kwanza walimpigia simu aende kupokea zawadi yake ya kopo lenye jina lake?
Kisha wampigishe mapicha watupie kwenye social media zao
Kama wangeandika Wolper kwenye kopo na wasimwambie kama ni yeye unadhani angelalamika anatumika bila makubaliano?
Mi nadhani Coke wenyewe pia hawakuwa wazi toka hii programu inaanza kwa kutoa ufafanuzi
Huwezi ukampigia tu simu celebrity mkubwa from nowhere kisha unamwambia kuna zawadi yako ya kopo la coke lenye jina lako njoo upokee tukupige picha bila makubaliano, kumbuka makubaliano sio laZima iwe malipo
Kuandika jina Juma hakumfanyi neture kulalamika, itategemea hilo juma unalitumiaje?
Wasiojua namna marketing inavyofanywa wataamini hii ni just ku share lakini ukweli ni kwamba coke wanajitangaza kuboost sales zao
Ni kutokujua kunaweza kusababisha mtu akasema coke hawamuhitaji fulani kujitangaza sababu kujitangaza kunaweza kufanywa na mtu yeyote yule kuanzia watu maarufu kabisa duniani hadi mtoto mchanga wa kuzaliwa leo
So coke wanahitaji watu kujitangaza na Wolper ni mtu pia
Kama yana impact kubwa hivyo kwa nini wanawaomba wanaharakati wawasaidie?
Kwa nini wasitumia impact ya majina yao kudai haki zao badala ya kulialia na kuwaomba wasio na wajina yenye impact kama yao wawasadie tena bure?
mkuu sasa hapa unachanganya mambo, wao hapa wanahitaji msaada wa kujua haki yao ni ipi kuhusu majina yao kutumika katika matangazo ya kibiashara
mojawapo ni hilo shareaCokeTZ, au hilo unaona sio tangazo!!??Kuna matangazo gani ya biashara (ya Coca-Cola) yenye majina ya hao wasanii?
mojawapo ni hilo shareaCokeTZ, au hilo unaona sio tangazo!!??
.Hata kama akina Wolper wengine walipelekewa - yeye ni mmoja wa hao walengwa.