chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Eeeeeeeeeeeh
Wivu.com
Mjue humu kuna watu level zisio zenu.. ha ha haaaaaa
Na hauna haja ya kuelewa kwasababu havikuhusu wala haujavipitia
Ha ha ha haaaaaaaaa
Nilijua mtatafuta mapovu a kumwaga na hapo nimebana mengi.. ningemeagika mngelia kama wanyama
cocochanel umesema una twins mwenzako yuko wapi kwa sasa
Majibu mazuri siku nyingine sumarize
Anataka nayeye aonekaneInterview ya Leo ngumu,,,mjibu maswali ana Sifa zaidi kuliko uhalisia,,,maelezo mengi yamejaa kujikweza ,,,mi navojua watu walioishi maisha km aliyoeleza ,,hawanaga mbwembwe,,they are always simple and smart,,
Anyways hongera kwa kujitahidi
Twin wangu yupo tunaishi maeneo karibu na familia zetu hapa jijini.
Kwanini unapenda kucheka Cheka hovyo? Ulishawai kuwa muhudumu wa bar?
Chuki binafsi kutoka jukwaa la siasa wanahama nazo kila jukwaa.Watu bwana, sasa kama umesoma na huelewi si ufungue nyuzi zingine usiumize akili yako? Kweli unapoteza precious time kusoma na kufuatilia kitu usichoelewa, utakuwa na UA(upungufu wa akili)
Hazina ya Lumumba hii.Ha ha haaa
Kama unataka msaada wa kujua kumwaga nondo na kupambana si useme tu.. naona mambo ya jukwaa la siasa yanakutafuna juu yangu.. unakuja kunifata huku.. oooh eeeee burudika nami..
Sasa soma majibu ya maswali aliyoniuliza DJ ndio utatamani kujipiga vibao vya usoni kimya kimya
Eeeeeeeh my mushabiki
Karibu
Acha kudanganya watu unakataa yako wakati umefanya kazi sana bar au unataka niitaje hii bar?Nipo na furahia kitu nimesoma na nisizeeke, ndio mimi jamani no kununanuna..
Sijawahi.
Nakuona upo bize kutetea tumbo safi sanaChuki binafsi kutoka jukwaa la siasa wanahama nazo kila jukwaa.
Uuh, mkuu siasa zisikulemaze akili.kapige mswaki kwanza
Mkuu, humu kuna watu wanawachukia kabisa(with passion) watu wengine kisa tu itikadi zao kisiasa zipo tofauti.Chuki binafsi kutoka jukwaa la siasa wanahama nazo kila jukwaa.
Sawa mkuu nipo nasubiri,lkn maswali yapo zaidi ya hilo moja...!!!Si umeniuliza kama nimewahi kuugua ugonjwa wa akili au?
Sasa subiri kwanza nione hii akili yangu itanipa jibu gani.. kuwa na subira kwa sababu hii akili yangu sasa imezima haitumiki...
Mtu mwenyewe kayakimbia maswali yangu,muite basi aje ajibu...!!!
Ndio na ukitaka ugombane naye mkosoe Zar na Diamond! hahah yaani jomonii haya mambo ya kuchange ID hayajawahi kumwacha mtu salama.Umenikumbusha mbaliii...ndio yeye alikuwa anasifia sana ...anaandika maneno mengiiii
Me naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:
1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??
2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??
3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??
4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...