Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Eeeeeeeeeeeh
Wivu.com

Mjue humu kuna watu level zisio zenu.. ha ha haaaaaa
Na hauna haja ya kuelewa kwasababu havikuhusu wala haujavipitia
Ha ha ha haaaaaaaaa

Nilijua mtatafuta mapovu a kumwaga na hapo nimebana mengi.. ningemeagika mngelia kama wanyama


Kwanini unapenda kucheka Cheka hovyo? Ulishawai kuwa muhudumu wa bar?
 
Nashukuru cocochanel,
Kwa kuendelea kujibu maswali licha ya changamoto unazokumbana nazo,you are true confident and mentality mature.
Regards,
DJ sepetu.
 
Interview ya Leo ngumu,,,mjibu maswali ana Sifa zaidi kuliko uhalisia,,,maelezo mengi yamejaa kujikweza ,,,mi navojua watu walioishi maisha km aliyoeleza ,,hawanaga mbwembwe,,they are always simple and smart,,

Anyways hongera kwa kujitahidi
Anataka nayeye aonekane
 
Ha ha haaa
Kama unataka msaada wa kujua kumwaga nondo na kupambana si useme tu.. naona mambo ya jukwaa la siasa yanakutafuna juu yangu.. unakuja kunifata huku.. oooh eeeee burudika nami..

Sasa soma majibu ya maswali aliyoniuliza DJ ndio utatamani kujipiga vibao vya usoni kimya kimya

Eeeeeeeh my mushabiki
Karibu
Hazina ya Lumumba hii.

Cheki ilivyoandika upupu basi ndyo maana una mkubali bashite sababu mnaendana IQ wote jau jau
 
Si umeniuliza kama nimewahi kuugua ugonjwa wa akili au?
Sasa subiri kwanza nione hii akili yangu itanipa jibu gani.. kuwa na subira kwa sababu hii akili yangu sasa imezima haitumiki...
Sawa mkuu nipo nasubiri,lkn maswali yapo zaidi ya hilo moja...!!!
 
Mtu mwenyewe kayakimbia maswali yangu,muite basi aje ajibu...!!!

Nikimbie maswali mimi eeeeh.. ukiona hivyo fahamu kuwa nimekudisi tu.. na huwezi kunilazimisha kujibu swali nisilotaka kulijibu..
 
Umenikumbusha mbaliii...ndio yeye alikuwa anasifia sana ...anaandika maneno mengiiii
Ndio na ukitaka ugombane naye mkosoe Zar na Diamond! hahah yaani jomonii haya mambo ya kuchange ID hayajawahi kumwacha mtu salama.
 
Me naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:

1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??

2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??

3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??

4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...

Unakazania.. ukisoma majibu kwa DJ Sepetu hautanisumbua na kulalamika juu ta jinsia na masomo. Rudi katasome.
 
Back
Top Bottom