Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

cocochanel wewe ndo mzurimie ulichange ID? Na kama ni kweli je nikitu gan kilikufanya ubadili ID yako?
 
Nyie wote nawafahamu kutokea humu
Mnawivuuuuu wa kufwa mtu kwa watu tho mnajitahidi kuuficha na vijistori upupwu...

Ha ha haaaaaaaaaaa
Mnalalamika uongo kama vile mmelazimishwa kusoma niliyoandika

Eeeeeeeh eeeeeeeeh.. Cocochanel ni ligi ingine.. jipigeni vibao vya usoni mlie
Ha ha haaa
 
Cocochanel mimi nina maswali kadhaa...(kama yameshajibiwa utanitaarifu)

1: Umesema wewe unafanya kazi/ fani ya mambo ya teknolojia, Je ni kwa kiasi gani umefaidika na teknolojia na unajivunia nini kuhusu teknolojia..Je ulishawahi kuwaza kuvumbua jambo jipya kuhusu teknolojia mahala unapofanyia kazi au nje ya hapo??

2: Jina lako cocochanel kama sijakosea ni la yule mwanamitindo (fashion designer) wa ufaransa kipindi hicho.. Je ni role model wako?? Nini kilikuvutia hadi ukatumia jina lake kumuenzi??

3: Hapa JF hasa kwenye jukwaa la siasa huwa nakuona kule unalumbana na watu kuhusu Mh. Paul Makonda anapochafuliwa, ni kwa nini? Je una uhusiano wowote na Lumumba? kwa maana watu wanakuita Kada wa Lumumba..

4: MIPANGO YAKO KWA MIAKA MITANO IPOJE??

na swali la mwisho, hobbies na interest zako ni zipi??

Asante
 


Lemutuz hahaha
 
daktari wako wa mirembe anasema urudi ukamalizie dawa zako

halafu wale masheikh wa tanga wamesoma albadiri sasa ndio kuweweseka kwenye kwenye hii intavyuu?
 
Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.

Elimu ya juu vyuoni.

Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia na management..
Mbona wewe umekuwa mtu wa kusifia kila kitu anachofanya makonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…