Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

Kuna mbuyu mmoja ukianguka asilimia kubwa yaani zaidi ya asilimia 80 ya wananchi watafurahi yaani kiwango Cha furaha kitaongezeka kwa wananchi....hata chawa watafurahi watasema tulikuwa tunapelekeshwa na njaa zetu
 
Hizi tabiri toka zianze humu jf hamna hata moja iliyotimia,cha zaidi ninachokiona ni pumbu zetu kuzidi kubanwa na mkono wa samia ulioshika pliers
 
Kuna jamaa alisema mibuyu ishaandaa warithi so mizimu yao bado tutakuwa nayo for the 20 yrs to come
 
Back
Top Bottom