Hyrax JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 1,458 Reaction score 4,409 Sep 3, 2025 #1 Copy Code; Save the code.
The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,224 Reaction score 2,930 Sep 3, 2025 #2 Na iwe hivyo
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Sep 3, 2025 #3 Let's wait and see
Common Folk JF-Expert Member Joined Nov 8, 2023 Posts 909 Reaction score 4,050 Sep 3, 2025 #4 Mibuyu ni RA & JK. Kama siyo hiyo mibuyu unayoisemea, basi go to hell wewe tu.
I IQup JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 2,042 Reaction score 3,365 Sep 3, 2025 #5 Kuna mbuyu mmoja ukianguka asilimia kubwa yaani zaidi ya asilimia 80 ya wananchi watafurahi yaani kiwango Cha furaha kitaongezeka kwa wananchi....hata chawa watafurahi watasema tulikuwa tunapelekeshwa na njaa zetu
Kuna mbuyu mmoja ukianguka asilimia kubwa yaani zaidi ya asilimia 80 ya wananchi watafurahi yaani kiwango Cha furaha kitaongezeka kwa wananchi....hata chawa watafurahi watasema tulikuwa tunapelekeshwa na njaa zetu
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,490 Reaction score 11,194 Sep 3, 2025 #6 Hiyo mibuyu acha ianguke tu tupate mbao na mkaa.
K Kipunguny JF-Expert Member Joined Mar 25, 2025 Posts 768 Reaction score 996 Sep 3, 2025 #7 Hyrax said: Copy Code; Save the code. Click to expand... Hiyo mibabeli ipigwe chini tu!
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 5,012 Reaction score 13,830 Sep 3, 2025 #9 Uzushi pekee ndio kitu tunaweza.
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 3,358 Reaction score 6,667 Sep 3, 2025 #10 Na huyo mmoja kwa mujibu wa dini yake kabla ya azanaa tu tayari mtu atakua kwny mwanandani
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,296 Sep 3, 2025 #11 Kwenye mbuyu mmoja anafaa kuwemo mzee wa msoga itapendeza
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,579 Reaction score 21,407 Sep 3, 2025 #12 Hizi tabiri toka zianze humu jf hamna hata moja iliyotimia,cha zaidi ninachokiona ni pumbu zetu kuzidi kubanwa na mkono wa samia ulioshika pliers
Hizi tabiri toka zianze humu jf hamna hata moja iliyotimia,cha zaidi ninachokiona ni pumbu zetu kuzidi kubanwa na mkono wa samia ulioshika pliers
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Sep 4, 2025 #13 Shinikizo
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,432 Reaction score 191,751 Sep 4, 2025 #14 Ikawe heri
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Sep 4, 2025 #16 Kuna jamaa alisema mibuyu ishaandaa warithi so mizimu yao bado tutakuwa nayo for the 20 yrs to come