4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Muungano hauvunjiki Hapa, no way out, mbele za mungu muungano utakuepo tena imara kuliko jana ,Cha msingi kuondoa kero ndogondogo za muungano,Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646
Suluhisho siyo Muungano uvunjwe. Hata Wahenga walinena "Kidole kimoja hakivunji chawa" au "Umoja ni nguvu utengano dhaifu".Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646
Thank you for clarification. But when was it assigned? And why is it becoming a big deal now ( just curious)+259 Zanzibar never implemented.
Service provided through Tanzania +255 since Zanzibar is part of that nation. Country code 259 was assigned but never known to be implemented.
Kwani kabla ya muungano hilo ndio lilikua eneo za Zanzibar? acha bange.Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Yuko sawa na ndiyo maana ya Serikali ya Mseto. Ukichanganya viazi na ndizi kupika usitegemee kuviona viazi pekee.Huyo makamo wa Kwanza anajisahau sana kwamba he is now part of the Government uanaharakati umemjaa sana,
Juzi tu hapo katoka kuhamasisha Mashehe wa uamsho wachangiwe, kasahau kwamba Kwa kufanya hivyo anatengeneza mgongano wa kimaslahi.
[emoji23][emoji23]looser mtakuwa wenyewe kwa sababu waakati Tanganyika inapata uhuru hayo maeneo yote yalikuwa chini ya Tanganyika tukishindwa kuafikiana itabidi tupigane vita mwenye nguvu atachukua
Kama kipi,, mnaropoka tuZANZIBAR ilikua na mambo mengi kuliko Tanganyika Muungano huu wa kikoloni umeirejesha nyuma sana ZANZIBAR
Ziwa limeshakuwa Malawi kule, tuko kimya tu.Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Haitafika 2025 kabla ya utabiri wako kutimiaCountry code si issue. Itakuwa big deal pale ukisikia Zanzibar imeanzisha jeshi lake, polisi wake ,wizara yake ya nchi za nje na imeanza kutumia sarafu yake.
Zanzibar itahuisha hiyo code muda si mrefuSasa mbona hasemi kuwa hiyo code haitumiki kama unataka kupiga simu Zanzibar kwa sasa? Na aliyeizuia ni nani? Of course sababu iliyofanya hiyo code isitumike ni kuwa nchi ya Zanzibar ilisita kuwa nchi. Halafu it is not a great deal. Mbona Canada na USA wana code moja na hakuna ambaye kati yao anaona kamezwa na mwenzake>\??
Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa ZanzibarKomaa Othman mtumie Kantre code yenu.
Code number kitu gani bwana?Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646
Nafikiri ni Marekani naona wao wamejipa namba moja +1Ni nani hasa anayetoa hizo code?