Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Adani na DPW wameongeza ufanisi hapo bandarini, pia ile sifa mbaya ya wateja kutolea mizigo yao Mombasa na Beira inakwenda ikipungua.Ni bora mara milioni nyingi "kujifanya mzalendo" kuliko kuwa kiongozi fisadi anako kuonyesha Samia na genge lake wakati huu anapo liangamiza taifa hili.
DPW sio wa kwanza na wa mwisho kufanya kazi Tanzania. Maisha ndio yalivyo, hakuna binadamu anayeweza kuishi kama kisiwa katika dunia hii.Tatizo lako huelewi unacho zungumzia. Msukumo wa kuwaibia waTanzania ndio ulio kujaa kichwani kiasi kwamba huwezi kuelewa jambo jingine lolote.
Maandishi yako hapa yanaonyesha wazi kabisa ulivyo na upungufu wa uelewa wa mambo..
Kwa maana yako ni kwamba waTanzania watakuwa ni watu wa kufanyiwa tu kazi na watu wengine kwa sababu hawana uwezo wa kufanya chochote, na wizi ndiyo sifa yao milele.
Watu wa aina yako tutawakomesha tu, muda si mwingi unaokuja.
Sasa haya una mwambia nani wakati mhusika mwenyewe ndiye huyo anaye kubeba mfukoni mwake.Tuna ufundi mwingi wa maongezi imarefu kama haya ya Kalamu, ukweli ni kwamba kikazi tupo dhaifu sana.
Huwezi kuruhusu upuuzi mnao ruhusu nyinyi chini ya Samia halafu udhani nchi itapata maendeleo. Huko ni kupungukiwa akili.DPW sio wa kwanza na wa mwisho kufanya kazi Tanzania. Maisha ndio yalivyo, hakuna binadamu anayeweza kuishi kama kisiwa katika dunia hii.
Ukileta uzembe kisa wewe ni mali ya umma, unaachwa pembeni na mamlaka zinatafuta kampuni yenye uwezo zaidi yako wewe, Tubadilike, dunia haina muda wa kutusubiri.
Na jinsi akili yako isivyo fanya kazi sawasawa unadiriki kuandika hayo bila ya kukumbuka kuwa Mombasa, pamoja na matatizo yake lakini hawakusubiri miaka yote awepo TICTS au kumleta kinyemera mjomba wenu DPW. Akili yako kamwe haiwezi kukufikisha kwenye fikra za namna hiyo.. Unachojuwa tu, ni kugawia raslimali za nchi kwa hao wanao wafanya muwe mafisadi na kusahau wajibu wenu wa kuongoza nchi ipate maendeleo.Adani na DPW wameongeza ufanisi hapo bandarini, pia ile sifa mbaya ya wateja kutolea mizigo yao Mombasa na Beira inakwenda ikipungua.
Mpuuzi wewe unayeshindwa kufahamu kuwa kabla hajaja DPW ufisadi upo nchi hii tena wa kutisha.Na jinsi akili yako isivyo fanya kazi sawasawa unadiriki kuandika hayo bila ya kukumbuka kuwa Mombasa, pamoja na matatizo yake lakini hawakusubiri miaka yote awepo TICTS au kumleta kinyemera mjomba wenu DPW. Akili yako kamwe haiwezi kukufikisha kwenye fikra za namna hiyo.. Unachojuwa tu, ni kugawia raslimali za nchi kwa hao wanao wafanya muwe mafisadi na kusahau wajibu wenu wa kuongoza nchi ipate maendeleo.
Uzoefu unaonyesha nchi hii imebinafsisha mashirika mengi sana wakati wa awamu ya Mkapa na mpaka leo imesimama vyema tu.Huwezi kuruhusu upuuzi mnao ruhusu nyinyi chini ya Samia halafu udhani nchi itapata maendeleo. Huko ni kupungukiwa akili.
Hakuna nchi yoyote inayo weza kupata maendeleo kwa kukodisha kila kitu walicho nacho kwa watu toka nje na kuwafanya wananchi wake kuwa watwana. Hata sijui hii tabia nyinyi mliiokota wapi!
Huwezi kuukwepa ufisadi ndani ya JMT uzoefu unaonyesha ukweli huo. Cha muhimu ni kuhakikisha tija inapatikana katika kila taasisi yenye sura ya umma.Sasa haya una mwambia nani wakati mhusika mwenyewe ndiye huyo anaye kubeba mfukoni mwake.
Kwa nini usimwambie aongoze waTanzania kuachana na hayo unayo walaumu nayo waTanzania.
Huyo kiongozi wako amefanya juhudi zipi kuhakikisha taasisi zilizo na majukumu ya kuzuia hayo unayo yazungumzia hapa zimetimiza wajibu wake ipasavyo.
Badala yake huyo huyo kiongozi mbovu, na genge lake ambalo ndio nyinyi, mnakuwa mstari wa mbele kuhakikisha hata hizo shria hafifu zilizopo kubana hiyo mianya mnaziweka pembeni ili mfanye ufisadi wenu. Mikataba yote mnafanyia gizani; kama mlivyo waingiza Adani hapo bandarini na kwingine kote.
Halafu unakuja humu JF kuwalaumu waTanzania!
Ni wakati sasa itungwe sheria kwamba ili mtu awe diwani, mbunge, waziri & raisi ni lazma awe na elimu mojawapo kati ya sheria, Technology, uchumi, diplomasia. na sio hawa STD VII waliojazana bungeni saizikuwa na maarifa ya ziada katika negotiations na contracts.
Unarudia yale yale, kama santuri mbovu! TICTS hakuwepo hapo wakati hayo yanafanyika? Huyo DPW anayo tofauti gani.Mpuuzi wewe unayeshindwa kufahamu kuwa kabla hajaja DPW ufisadi upo nchi hii tena wa kutisha.
Ushahidi ni report za kila mwaka za CAG kuanzia Utoh mpaka Kichere hakuna report hata moja safi, zote zimejaa madudu ya watendaji wetu.
DPW kaja kuongeza ufanisi bandarini kaja kuondoa mazoea ya kila siku.
Kuwa na "mawazo ya enzi za Mwalimu Nyerere" kuna kosa lolote?Uzoefu unaonyesha nchi hii imebinafsisha mashirika mengi sana wakati wa awamu ya Mkapa na mpaka leo imesimama vyema tu.
Hakuna anayemfanya mtu mtwana, bakia na umasikini wako kwa kuishi peke yako bila ya kushirikiana na yoyote wa nje au fungua milango uruhusu ushirikiano na watu wa nje.
Una mawazo ya enzi za Mwalimu Nyerere, ya kizamani kweli kweli.
Tija inapatikana vipi wakati taasisi zote za kushughulikia maswala hayo mmezifunga kamba. Mnahimiza kila aliye na nafasi alie kwa urefu wa kamaba aliyo nayo.Huwezi kuukwepa ufisadi ndani ya JMT uzoefu unaonyesha ukweli huo. Cha muhimu ni kuhakikisha tija inapatikana katika kila taasisi yenye sura ya umma.
Ungeelewa maana ya kula kwa urefu wa kamba usingeandika yote haya kwani yametoza maana.Tija inapatikana vipi wakati taasisi zote za kushughulikia maswala hayo mmezifunga kamba. Mnahimiza kila aliye na nafasi alie kwa urefu wa kamaba aliyo nayo.
Kwa vile kamba zenu hazina ukomo, ndiyo mnauza kila raslimali iliyomo Tanzania kwa manufaa yenu.
Huo ndio uongozi mnao uweza nyinyi.
DPW wapo pale TPA na tija yao inaonekana kila kukicha, endelea kuishi na machungu moyoni mwako.Kuwa na "mawazo ya enzi za Mwalimu Nyerere" kuna kosa lolote?
Kukataa kugawa mali za nchi hii bila ya kuwanufaisha wenye mali ni makosa? Kukataa waTanzania kufanywa watwana wa kudumu ni "mawazo ya kizamani"?
Kukataa utapeli, hadaa, na ufisadi mnao ufanya nyinyi huku mkiwadharau waTanzania ni makosa?
Kama kuyakataa yote hayo ni makosa, basi acha niwe mkosaji.
Sasa ngoja nikueleze jambo, na wala usirudie tena kunihusisha nalo. Kama unadhani kuyakataa hayo mauchafu mnayofanya nyinyi ni kwa sababu ya "umaskini wangu"; hilo lisahau kabisa. Sina umaskini wa mali wala wa akili kama ulio nao wewe na huyo mama yako mnao hangaika na kuwanyanyasa waTanzania.
Hakuna mahali popote ninapo sema Tanzania ijitenge peke yake; na hili nilikwisha kueleza, lakini kwa vile huna hoja zaidi ya hapo, unarudi rudia tu yale yale.
Ufisadi mwingi na madudu mengi yamefanyika hapo TPA ikiwa chini ya sisi wazalendo.Unarudia yale yale, kama santuri mbovu! TICTS hakuwepo hapo wakati hayo yanafanyika? Huyo DPW anayo tofauti gani.
Lakini ujuha wako ni kushikilia tu DPW, DPW, DPW, kana kwamba huyo ndiye mzazi wenu. Unapoelezwa kwamba waTanzania wanao uwezo kamili wa kuendesha hiyo bandari endapo kutakuwepo na uongozi imara wa nchi kufanya hivyo, wewe hilo hata mara moja haliwezi kuingia akilini mwako. Wewe na Samia, ambaye mnamjaza tu na ushauri wa kipuuzi yeye bila ya kuhoji kitu chochote mpo tu kunufaika na ufisadi unaotokana na hao DPW kuwepo hapo.
Nimekuuliza TICTS haikuwa hapo? Hao nao walikuwa waswahili?Ufisadi mwingi na madudu mengi yamefanyika hapo TPA ikiwa chini ya sisi wazalendo.
Ni muda wa kuja na kampuni kubwa yenye teknolojia za kisasa na ufanisi usiokuwa na uswahili wetu.
Machungu pekee ni hayo yanayo wasubiri nyinyi. Mtatoka kwa aibu kubwa na inawezekana mkaburuzwa mbele za sheria na kunyang'anywa mali mlizo iba.DPW wapo pale TPA na tija yao inaonekana kila kukicha, endelea kuishi na machungu moyoni mwako.
Eleza wewe maana ya msemo huo unaotaka kupindisha hapa.Ungeelewa maana ya kula kwa urefu wa kamba usingeandika yote haya kwani yametoza maana.