Code zinaanza kufunguka

Code zinaanza kufunguka

Fuatilia ni kiasi gani cha pesa kinaingia hazina kila mwezi kutokana na DPW na Adani kuendesha bandari yetu, kabla ya kubweka kama mbwa asiye na mwenyewe.
Nilisha kueleza mara kadhaa juu ya haya unayo lazimisha wewe.
Pesa kuingia Hazina hakutokani na kuwepo Adani au DPW. Hizo ndizo fikra finyu usizotaka kuondokana nazo wewe kwa vile tu unavimbishwa tumbo na uwepo wa hao.
 
Nilikwisha kwambia mara kadha humu JF, huyo unaye nihusisha naye hata simjui na wala sijui anashughulika na maswala yapi hasa. Pengine itakusaidia kidogo ukimweleza huyo mtu, maana mimi sihusiki kabisa naye na shughuli zake. Maswala haya ni ya hatari, usije ukawa unamwingiza kwenye matatizo yasiyo muhusu yeye.

Serikali inapoingia kwenye mikataba mibovu kama mnavyo fanya nyinyi, unataka watu wasiseme kitu?Mikataba ya kibiashara ni lazima iwe ya kiwizi wizi; kwamba watu hawatakiwi kujuwa chochote juu yake?
Serikali inapo kosa uaminifu kwa wananchi wake kama hii yenu, usitegemee watu wanyamaze. Mikataba ya siri siyo sehemu ya serikali kuwa na uwazi na wala haihusiani kivyovyote na utawala bora. Hii yenu imekuwa ni serikali ya majizi.
Uelewa wako ukiwa mdogo ni lazima udhanie kwamba mikataba ni mibovu.

Tafuta uelewa wa masuala ya mikataba ya kimataifa uwe na haki ya kukosoa kile unachokifahamu angalau kwa asilimia hamsini.
 
Nilisha kueleza mara kadhaa juu ya haya unayo lazimisha wewe.
Pesa kuingia Hazina hakutokani na kuwepo Adani au DPW. Hizo ndizo fikra finyu usizotaka kuondokana nazo wewe kwa vile tu unavimbishwa tumbo na uwepo wa hao.
DPW na Adani wanarahisisha upakuaji na upakiaji wa mizigo hivyo mzunguko wa biashara umerahisishwa kulinganisha na enzi zile za TPA kufanya kazi kwa njia za kizamani.

Ufisadi unaotokana na ufanisi duni umeondolewa pale bandarini japo changamoto za hapa na pale hazikosekani.
 
Uelewa wako ukiwa mdogo ni lazima udhanie kwamba mikataba ni mibovu.

Tafuta uelewa wa masuala ya mikataba ya kimataifa uwe na haki ya kukosoa kile unachokifahamu angalau kwa asilimia hamsini.
Uelewa wangu usikupe taabu, na najuwa tukiweka hapa wazi na kulinganisha kati yako na mimi utaona aibu.
Tatizo lililopo katika mikataba hiyo ni hizo siri, na kufanya kana kwamba kila kitu ni mali yenu mnaweza kuamua chochote bila kujali maoni ya watu wengine.
Kama kila kitu kinafanywa kuwa siri kubwa, nitakuwa na haki ipi ya kukosoa kitu ambacho kimefichwa, hivi unayo akili timamu kweli kuandika haya?

Hukumbuki DPW ilivyo kwenda; na sasa Ntorya, Adani na Bandari, Adani sasa na umeme, mapori ya Ukaa na mengi mengine.
Sasa mmeamua hata kutangaza 'tender' tu ni mwiko; mnayamaliza nyinyi wenyewe kimya kimya.
Hata yanayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, kama wanmasai wa Ngorongoro; sasa nyinyi ndio miungu wa kuamulia watu kila kitu hatu uhai wao?
 
DPW na Adani wanarahisisha upakuaji na upakiaji wa mizigo hivyo mzunguko wa biashara umerahisishwa kulinganisha na enzi zile za TPA kufanya kazi kwa njia za kizamani.

Ufisadi unaotokana na ufanisi duni umeondolewa pale bandarini japo changamoto za hapa na pale hazikosekani.
Ni nani asiyeweza kupakua na kupakia mizigo, isipokuwa labda watu wa aina yenu ambao mmelelewa kama viazi mbatata mnaopenda kutegemea kufanyiwa kila kitu huku kazi ikiwa ni kuuza maneno tu na mipasho.
 
Vipi kuhusu mitambo na teknolojia za kisasa hapo bandarini?. Punguza choyo na roho mbaya.
 
Uelewa wangu usikupe taabu, na najuwa tukiweka hapa wazi na kulinganisha kati yako na mimi utaona aibu.
Tatizo lililopo katika mikataba hiyo ni hizo siri, na kufanya kana kwamba kila kitu ni mali yenu mnaweza kuamua chochote bila kujali maoni ya watu wengine.
Kama kila kitu kinafanywa kuwa siri kubwa, nitakuwa na haki ipi ya kukosoa kitu ambacho kimefichwa, hivi unayo akili timamu kweli kuandika haya?

Hukumbuki DPW ilivyo kwenda; na sasa Ntorya, Adani na Bandari, Adani sasa na umeme, mapori ya Ukaa na mengi mengine.
Sasa mmeamua hata kutangaza 'tender' tu ni mwiko; mnayamaliza nyinyi wenyewe kimya kimya.
Hata yanayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, kama wanmasai wa Ngorongoro; sasa nyinyi ndio miungu wa kuamulia watu kila kitu hatu uhai wao?
Hakuna wa kukusaidia mkuu, kwa akili hizi za kudhani kila kitu cha nchi hii kinauzwa au kukodishwa. Punguza uanaharakati ili uwe na akili za kwako mwenyewe za kujadili kuhusu masuala mbalimbali.

IGA ilijadiliwa na kila mtu mpaka maaskofu kanisani wakaja na tamko. Huwezi mkataba wa kibiashara ukauanika kama karatasi za kufungia maandazi mitaani, utashtakiwa na mwekezaji kwa kukiuka sheria za mikataba kimataifa.
 
Huoni kuwa ni nyinyi mnao hitaji msaada; kwa kudhani kila jambo ni lazima lifanywe na watu wengine, huku waTanzania mkiwaona kuwa ni wezi, wavivu na kila aina ya dharau mliyo nayo kwao?

Kwani hapa kati yako na mimi, ni nani hasa anaye tumia akili zake mwenyewe na siyo za kukaririshwa kuwa maendeleo ya nchi yatatokana na watu toka huko nje kuyaleta hapa. Hii nayo ni akili ya kujivunia kweli?

Akilini kwenu, wewe na huyo mama yenu kumejaa mawazo tu hayo mnayookoteza bila hata ya kuyafikiri kama yana manufaa kwa nchi au la! Msukumo pekee unao wafanya mfanye yote haya bila kuyapa fikra ni ufisadi pekee unao ambatana na miradi hiyo.

Hata huna aibu kabisa kukumbusha uchafu mliofanya na hiyo IGA, ambayo kwa kweli ndipo palipo anzia kufunua sura halisi ya Samia kuwa fisadi mkubwa, tena asiye kuwa na uchungu wowote na nchi hii. Sasa ameshikiliwa hapo kwenye hiyo nafasi na genge lenu linalo nufaika na uchafu huu, hadi sasa maisha ya waTanzania wanaokosoa upumbavu huu, mpo radhi kuyaondoa ali mradi muendelee kuwa madarakani na kufanya uchafu zaidi.
 
DPW wapo Belgium, India na Uingereza ina maana na huko wamekaririshwa kuwa maendeleo yanatokana na watu wengine?.

Huoni kuwa kwa DPW kupewa kazi ya kuendesha bandari wakati wazalendo wa huko wana uwezo, ni kielelezo cha ubora wa kazi wanayofanya kulinganisha na makampuni ya kizalendo ya huko?.

Hapo airport kampuni ya Swissport ipo kwa miaka 30 wakifanya kazi.

Huoni kwamba kuna wakati kinachohitajika ni tija kutoka kwa mwenye uwezo bila ya kuangalia passport yake?.

Hayo masuala ya IGA unayaangalia kishabiki zaidi bila ya kuwa na uelewa mpana wa masuala ya mikataba ya kimataifa.

IGA haizuii uwekezaji mwingine wowote kufanyika kwenye bandari zetu kama mlivyokuwa mnadanganyana mitandaoni.

Mimi na wewe tunaweza kuanzisha kampuni ya masuala ya bandari na tukapewa tender ya kuendesha bandari mojawapo ya TZ bila ya kujali nini kimeandikwa kwenye IGA, ingekuwa na nguvu ya kutawala utendaji wa bandari zetu Adani asingepewa tender ya kuendesha magati pale pale TPA alipo DPW.
 
DPW wapo Belgium, India na Uingereza ina maana na huko wamekaririshwa kuwa maendeleo yanatokana na watu wengine?.

Huoni kuwa kwa DPW kupewa kazi ya kuendesha bandari wakati wazalendo wa huko wana uwezo, ni kielelezo cha ubora wa kazi wanayofanya kulinganisha na makampuni ya kizalendo ya huko?
Sasa unataka nikueleze mara ngapi ndipo uelewe kuwa Tanzania siyo Belgium, siyo Uingereza wala hizo nchi nyingine ulizo zitaja? Kwa nini unapenda kurudia yale yale kila mara!

Uingereza au Ubelgiji wanayo bandari moja kuu kama tuliyo nayo sisi? Hizo Bandari walisubiri kwanza mpaka aje DPW aziendeshe huku wao wakiwa hawana ujuzi wowote katika kuendesha kazi kama hiyo? Umewauliza Uingereza na Ubeligiji wakakueleza kuwa masharti waliyo kubaliana katika uendeshaji wa bandari zao ni wa kishenzi kama mlio uingia nyinyi?

Sasa unataka nikueleze jambo gani hapa ndipo akili yako ipate kufunguka na kuona ujuha mkubwa mlio nao nyinyi!
Hayo masuala ya IGA unayaangalia kishabiki zaidi bila ya kuwa na uelewa mpana wa masuala ya mikataba ya kimataifa.

IGA haizuii uwekezaji mwingine wowote kufanyika kwenye bandari zetu kama mlivyokuwa mnadanganyana mitandaoni
Hili nalo la IGA unataka tulirudie tena kulijadili hapa? Mmebadili chochote katika yale yaliyo kuwa yanawekwa humu JF, au ni yale yale? Kwa mtu kama wewe unayejiona unajua kitu kutetea upuuzi ule inakushushia hata hiyo heshima ndogo uliyo kuwa umebaki nayo.
Mimi na wewe tunaweza kuanzisha kampuni ya masuala ya bandari na tukapewa tender ya kuendesha bandari mojawapo ya TZ bila ya kujali nini kimeandikwa kwenye IGA, ingekuwa na nguvu ya kutawala utendaji wa bandari zetu Adani asingepewa tender ya kuendesha magati pale pale TPA alipo DPW
Ndiyo sababu nasema akili yako haifanyi kazi sawasawa. kwa kuandika hayo kwenye aya hii. Pengine labda unajisemea wewe kwa vile umo kwenye genge. Unaniambia mimi na waTanzania wengine kuwa "tunaweza kuanzisha kampuni ya maswala ya kampuni..." kwa njia zipi, wakati mnafanya kila juhudi za kutufanya tuwe watu wa kuwategemea watu wengine kwa kila jambo? Tutaanzia wapi wakati uongozi wenu hautupi nafasi ya kujenga uwezo ili nasi tuwe kama hao wengine?
Ninapo kueleza kuwa huelewi chochote, ushuhuda wenyewe ndio huu.
 
Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.

Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.

Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.

Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?

Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?

Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina

Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.

Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.

Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Wewe ndio wale mlifurahia kufa Magufuli mkatamba kwamba mama ni mtu wenu hasa pale alipoanza kumpiga vijembe na kuwarudisha wale Magufuli aliwatema kwa kumpinga kumkejeli na kumdharau kifichoni. Ukweli mama ameona njia ya kuogopa mabeberu na kua kibaraka wao haisaidii kwani hawawezi hata kwa tabia hiyo kukuacha kuwaletea maendeleo wananchi wako.
 
Ukiwaendekeza Mabeberu utakuja kugeuzwa na kupumuliwa kisogo 😆😆
Ndio unachowaza tu hicho, kwa hivyo mwanzo wakati mama ni kiguu na njia kila leo Ulaya na Marekani ndicho walikuwa wanamfanya hicho hao mabeberu...kwamba sasa hv kachoka hataki tena hiyo michezo?!.
Yaani chawa unamtusi boss wako indirect bila kujijua sabb huna akili!.
 
Wewe ni punguani,kwani Samia amesafiri Ulaya tuu? Au Kila mwaka Huwa anasafiri kurudi kwenye Nchi Moja hiyo hiyo? Nitajie Nchi ya Mabeberu aliyoenda mara 2
 
Sasa unataka nikueleze mara ngapi ndipo uelewe kuwa Tanzania siyo Belgium, siyo Uingereza wala hizo nchi nyingine ulizo zitaja? Kwa nini unapenda kurudia yale yale kila mara!

Uingereza au Ubelgiji wanayo bandari moja kuu kama tuliyo nayo sisi? Hizo Bandari walisubiri kwanza mpaka aje DPW aziendeshe huku wao wakiwa hawana ujuzi wowote katika kuendesha kazi kama hiyo? Umewauliza Uingereza na Ubeligiji wakakueleza kuwa masharti waliyo kubaliana katika uendeshaji wa bandari zao ni wa kishenzi kama mlio uingia nyinyi?

Sasa unataka nikueleze jambo gani hapa ndipo akili yako ipate kufunguka na kuona ujuha mkubwa mlio nao nyinyi!
Hili nalo la IGA unataka tulirudie tena kulijadili hapa? Mmebadili chochote katika yale yaliyo kuwa yanawekwa humu JF, au ni yale yale? Kwa mtu kama wewe unayejiona unajua kitu kutetea upuuzi ule inakushushia hata hiyo heshima ndogo uliyo kuwa umebaki nayo.
Ndiyo sababu nasema akili yako haifanyi kazi sawasawa. kwa kuandika hayo kwenye aya hii. Pengine labda unajisemea wewe kwa vile umo kwenye genge. Unaniambia mimi na waTanzania wengine kuwa "tunaweza kuanzisha kampuni ya maswala ya kampuni..." kwa njia zipi, wakati mnafanya kila juhudi za kutufanya tuwe watu wa kuwategemea watu wengine kwa kila jambo? Tutaanzia wapi wakati uongozi wenu hautupi nafasi ya kujenga uwezo ili nasi tuwe kama hao wengine?
Ninapo kueleza kuwa huelewi chochote, ushuhuda wenyewe ndio huu.
Huwezi kukwepa ubia wa kibiashara katika dunia ya sasa, mantiki yake haikwepeki. Ndio maana nimekuja na mifanoo ya DPW kupewa mikataba huko Ulaya kwenye nchi za viwanda zenye uchumi mkubwa.

Dunia ya sasa inaangalia tija inapatikana vipi, hayo mengine ya bandari ni mali ya nchi moja tu ni kasumba zilizopitwa na wakati.

Nimetoa mfano hapo Airport Dar kuna kampuni ya Swissport miaka 30 sasa, nani amewahi kuhoji kwanini ipewe tenda wakati hizo kazi tunaweza kuzifanya wenyewe, hakuna mwenye kuja na hoja hizo kwani kinachoangaliwa na tija inayoletwa na hiyo kampuni.

TICTS walipewa kazi wakaja kuchemsha baadae wakanyang'anywa na sasa wamepewa DPW wanafanya kazi ya maana pale TPA.
 
Ni shida sana kujadili kitu na mtu kama wewe unaye ng'ang'ania jambo ambalo halihusiki.
Nani "anakwepa ubia"? Unakwepa kwa maksudi kabisa kujadili matatizo yanayo tokana na kuingia ubia bila kutumia akili. Unampa mtu raslimali yako miaka 30, bila hata kufanya juhudi katika muda wote huo kujenga uwezo mwenyewe! TICTS kakaa hapo hapo miaka zaidi ya 25, lakini bado hatuwezi kujifunza katika muda wote huo? DPW anaingizwa kinyemera, hakushindanishwa na yeyote na wala masharti mlikuwa hamtaki kabisa yajulikane,( siri kubwa); mkiambiwa huu sio utaratibu wa uongozi bora/uwazi, mnakimbilia kusema huko ni "kukwepa ubia"?
 
Kiufupi huna lolote tena jipya la kueleza.
 
Suala ni huo "usisi" wetu kutoweza kutupatia uendeshaji wa bandari wa kisasa unaokwenda kuongeza tija, kumbuka kwa sasa bandari yetu ndio bora katika ukanda huu wa afrika kiuendeshaji.

Yale malalamiko yaliyosikika miaka michache iliyopita kuhusu bandari yetu kiasi cha wateja kukimbilia Mombasa na Beira, kwa sasa huwezi kuyasikia
 
Suala ni huo "usisi" wetu kutoweza kutupatia uendeshaji wa bandari wa kisasa unaokwenda kuongeza tija, kumbuka kwa sasa bandari yetu ndio bora katika ukanda huu wa afrika kiuendeshaji.
Ni kama uko 'programmed', kama 'robot' hivi, ambalo linatoa majibu yale yale lililo wekewa.

Huo "usisi" huko katika nchi nyingine walikuwa hawana?
Kuja kwa DPW hapo bandarini juzi tu, ndiko kumeifanya mara moja bandari kuwa bora zaidi? Hujui kuwa hata kabla ya DPW kuanza kazi bandari ilikuwa imeanza kufanya vizuri baada ya kazi ya uboreshaji iliyo fanyika hapo?

Katika juhudi zako za ku'justify' hujuma zenu inalazimu kuokoteza uongo?
 
Huduma za viwango zinatolewa muda huu na hakuna ule uswahili na upigaji uliozoeleka enzi zile tukiendesha TPA sisi wenyewe.

Tija ya TPA imeongezeka sana na hilo ndilo muhimu kuliko hizi siasa za sisi watanzania tuendeshe wenyewe.

Kumbuka SGR haijaweza bado kufanya kazi angalau kwa asilimia 40 ya matarajio yake. Kuna mzigo mwingi unaomilikiwa na hao hao DP utatakiwa upite kwenye treni uje bandarini kwa ajili ya kwenda ughaibuni.

Tuwe wapole tu.
 
Back
Top Bottom