Kuwa na "mawazo ya enzi za Mwalimu Nyerere" kuna kosa lolote?
Kukataa kugawa mali za nchi hii bila ya kuwanufaisha wenye mali ni makosa? Kukataa waTanzania kufanywa watwana wa kudumu ni "mawazo ya kizamani"?
Kukataa utapeli, hadaa, na ufisadi mnao ufanya nyinyi huku mkiwadharau waTanzania ni makosa?
Kama kuyakataa yote hayo ni makosa, basi acha niwe mkosaji.
Sasa ngoja nikueleze jambo, na wala usirudie tena kunihusisha nalo. Kama unadhani kuyakataa hayo mauchafu mnayofanya nyinyi ni kwa sababu ya "umaskini wangu"; hilo lisahau kabisa. Sina umaskini wa mali wala wa akili kama ulio nao wewe na huyo mama yako mnao hangaika na kuwanyanyasa waTanzania.
Hakuna mahali popote ninapo sema Tanzania ijitenge peke yake; na hili nilikwisha kueleza, lakini kwa vile huna hoja zaidi ya hapo, unarudi rudia tu yale yale.