Code zinaanza kufunguka

We una akili za wapi ?
Marekani kasaidia nini Tanzania ambacho unakiona?
Huoni kila alipo huyo fala nchi zinakua na machafuko ?
Maisha ya majority ya Tanzania yanaishi kwa bizaa na hudumu za China
ARV unazobugia zinatoka wapi we mama
 
We utakua huna akili sawa sawa unaongelea ARV ...unaeza jenga nchi na dawa za ukimwi ?
Afya ndio mtaji wa uchumi,mngeshaisha kenge weusi nyie,hao wavimba macho wanatoa misaada kwa kutumia USD currency kwa nini?
 
Tunageuzwa wacongo na wazambia mda sio mrefu
 

Mchina mwenyewe anawaogopa Mabeberu! Sasa huyo MAZA yenu anapata wapa carriage ya kufikiri Mchina atamsaidia, kama hajazidiwa na Ulevi wa Madaraka?
 
Samia mweupe sana kwenye masuala ya geopolitics, aendelee kutembelea shows za taarab huko Z'bar... Na kuwapiga mipasho wapinzani...
UNataka kusema kuwa mwanafunzi huyu ni mtoro kuhudhuria vipindi pale kunduchi ndc? Au waalimu wanampa notsi vipande ? Maana kila namba 1 nasikia lazima awe na darasa pale kupewa awarenes ya mambo kama haya maana huwez kuwa top na kichwa box kimejaa taarab tu
 
Nadhani ni afadhali ya Jehanamu! Ikifikia nchi inazalisha MACHAWA badala ya WASOMI! Tanzania na North Korea letu moja.
 
Wachina sio wajinga, pesa zako unagawa Rushwa na kudidimiza Uwazi na matumizi bora then ukimbilie kwake? ..Jpm dili la mchina alikimbia.
Kwahiyo hao beberu ndio wanauwazi?
Wamesomba madini hata kabla babu yako hajazaliwa ,ndio uwazi wenyewe?
 
Kuwa na option number 2 sio kosa,hawa wazungu hawatabiriki na sidhani kama kuna awamu yoyote ile iliowahi kucheza mbali na wachina...
 
ARV unazobugia zinatoka wapi we mama
Ujerumani ndio ilikuwa inagharamia huduma za Wamama wajawazito kujifungua watoto hapa Tanzania. Lakini Jiwe kwa ulevi wa Madaraka alisababisha Wajerumani kujitoa.
Leo mwananchi maskini ndiye analazimika kulipia gharama kubwa za kujifungua mtoto kwenye hospitali za Serikali ambayo haijali wananchi wake.
 
Kwaiyo ulitaka uzae mtoto harafu gharama zitolewe na ujerumani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…