Ni kweli. Lakini kama ndio umenunua jana ukauza leo. Basi jua umetengeneza faida ya zaidi ya 1,000%Kuna imewatia watu umasikini watu wamelia sana,baadhi ya platforms hawaruhusu kununua Wala ku badirisha na sarafu zingine confidence ya hii salafu imeshuka
Unatumia njia gani ku analyze sarafu?Ni kweli. Lakini kama ndio umenunua jana ukauza leo. Basi jua umetengeneza faida ya zaidi ya 1,000%
...Mkuu, Unatumika???Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa shilingi 10,000 leo hii ukiiza unapata zaidi ya shilingi milioni 10.View attachment 2224388
Reminato wameiachia sahizi kazi kwenu
Hapo km una,token yoyote kwenye wallet kunasehem ya ku swAp,hapo unaconvert let say Bitcoin to Luna ndo possibleView attachment 2224476mbona haipo mkuu kwenye reminato
Mimi nilitaka kununua sio kuswap mkuuHapo km una,token yoyote kwenye wallet kunasehem ya ku swAp,hapo unaconvert let say Bitcoin to Luna ndo possible
Nimeona option ya kununua hamna. Hizi coins ambazo ni unstable zinafanya trading platforms ziwe za ovyo ndio maana wanazitoa. Sasa ununue coin nyingine na ufanye swapMimi nilitaka kununua sio kuswap mkuu
HhhUkiziotea vizuri hizi Coin mbona unatoboa vizuri tu
Shiba inu zinapatikana huko?Jisajili remitano mkuu. Inakubali mpesa na tigopesa.