Coin ya Tera Luna yapanda thamani mara elflu ndani ya siku moja

Coin ya Tera Luna yapanda thamani mara elflu ndani ya siku moja

Mavurunza

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
230
Reaction score
172
Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa shilingi 10,000 leo hii ukiiza unapata zaidi ya shilingi milioni 10.

Screenshot_20220514-172055.png
 
Kuna imewatia watu umasikini watu wamelia sana,baadhi ya platforms hawaruhusu kununua Wala ku badirisha na sarafu zingine confidence ya hii salafu imeshuka
 
Kuna imewatia watu umasikini watu wamelia sana,baadhi ya platforms hawaruhusu kununua Wala ku badirisha na sarafu zingine confidence ya hii salafu imeshuka
Ni kweli. Lakini kama ndio umenunua jana ukauza leo. Basi jua umetengeneza faida ya zaidi ya 1,000%
 
Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa shilingi 10,000 leo hii ukiiza unapata zaidi ya shilingi milioni 10.View attachment 2224388
...Mkuu, Unatumika???
 
Kunatofauti gani Kati ya kuswap na kubuy? Maana ili ununue itabidi utumje Fiat money kwa platform zingine
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mimi nilitaka kununua sio kuswap mkuu
Nimeona option ya kununua hamna. Hizi coins ambazo ni unstable zinafanya trading platforms ziwe za ovyo ndio maana wanazitoa. Sasa ununue coin nyingine na ufanye swap
 
Mimi Binance ni nzito kwangu, naombeni wallet inayokubali kudeposit kwa Mpesa au Tigo pesa/Airtel Money.

Cc: Mavurunza
 
Back
Top Bottom