Hata wewe bado hujajibu.
I wanna pee in your mama's pussy, but she has to be checked for AIDS and STDs first. I will pay for everything.
hii ni laana kwako. sikutegemea unaweza kosa heshima na adabu namna hii.
Hujanijibu swali.
Kwa nini mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, mwenye upendo wote na uwepo kote ahitaji sheria au kuwa sheria?
Inakuwaje mungu huyo awe ukomo? Na nje ya ukomo huu kuna nini?
Kama mungu anajihitaji yeye mwenyewe, hilo linasema nini kuhusu uwezo wake wa kuweza yote? Anaweza kutojihitaji mwenyewe? Kama hawezi, je, anaweza yote kweli? Si umeshaonyesha kwamba anajihitaji mwenyewe?
Kwa nini siwezi kuhoji juu ya hizo omnis? Siwezi kuhoji kweli au unasema hivyo tu kwa sababu huna majibu?
Kama siwezi kuhoji, maswali haya nimekuulizaje?
Mbona unasema siwezi kuhoji wakati tayari nimeshahoji?
Unafahamu unakielewa unachoandika kweli wewe?
Nimekua nikijaribu kutafuta details ndogo ndogo kujaribu kuja na hitimisho langu kuwa kweli Mungu yupo.
Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu ni hili la Coincidence.
Kutokana na kukosa maana sahihi ya neno coincidence nitatumia neno lingine linalofanana kwa maana na hili , ili kuweza kuwapa kuelewa kusudio la bandiko hili.
Neno coincidence linalandana kwa maana na neno, accident, luck , fate.
Accident = Ajali, luck = bahati , fate = majaliwa.
Matokeo ya hayo niliyoyataja hapo juu ni kutokana na nguvu za ziada zilizo nje ya uwezo wa mwanadamu.
Mfano; AJALI;
Umeamkaka asubuhi unachukua gari yako kufika barabarani unagonga mtu anakufa!
Kama ungekuua na uwezo wa kugundua kama siku hiyo ungegonga mtu akafa, ungeweza kuchukua maamuzi sahihi ili ajali hiyo isitikee, lakini kwakua jambo hilo lipo nje ya uwezo wako huwezi kulizuia au kuliahirisha.
Bahati:
Imetokea ajali wakafa abiria wengine lakini kwa "bahati" wewe pekee ndie uliyepona. mazingira ya ajali yanaonesha kwamba ilistahili abiria wote wasiwe hai lakini kwa ajabu la wengi wewe pekee umepona. Tunaita hiyo ni "bahati"
Majaliwa;
Unapangilia kuwa daktari lakini , jitihada zako zote hazipelekei wewe kuwa daktari na badala yake unaishia kua mwanasheria. hapa uanasheria unaonekana kua ndio yalikua majaliwa yako, na udaktari ulikua unalazimisha tu.
Tukiangalia tafsiri ya neno majaliwa au fate katika lugha ya kingereza mtu ataona kwamba ili majaliwa yawepo basi kuna kuwa na nguvu za ziada zinazopelekea hayo kuwepo, tuangalie;
FATE:
(i) The supposed force, principle, or power that predetermines events:
(ii) The inevitable events predestined by this force
(iii) A final result or consequence; an outcome.
(iv) An unfavorable outcome in life.
Uchanganuzi huo unaonesha kwamba neno MAJALIWA au fate, ni zao la nguvu zinazotabiri matukio.
Nguvu hizo ni zipi?? Nguvu hizo zinatoka wapi?? nguvu hizo zinazuilika??
Mfano: je unaweza tambua siku yako ya kufa?? je unajua nani anayechukua roho yako?? je unaweza zuia kifo?? Hilo ni jambo gumu kidogo, tujaribu mfano mwepesi kidogo.
Je umeshiriki kwa asilimia ngapi katika kutengeneza matukio katika maisha yako, au kuyazuia au hata kuweza kuyabadilisha??
jibu ni hakuna.
Kwahiyo kama kwa kiasi kikubwa hukuweza kuzuia mengi ya matukio katika maisha yako au kuyabadili, hapo tunapata jibu kwamba lazima kutakua na nguvu ya ziada iliyopelekea jambo hilo kutokea.
Sayansi haibishi kwamba hakuna nguvu bila kuwa na chanzo hizo, hakuna ubishi kwamba nguvu zinzzopelekea kutokea kwa hayo mambo zina chanzo chake.
Kuna weza tokea ubishi wa hicho chanzo cha hizo nguvu, lakini kwa imani yangu naamini kwamba chanzo cha nguvu hizo ni MUNGU.
Kufupisha maelezo, jambo lililopelekea mimi kuandika mada hii ndefu, ni hili dogo tu.
" kuna jirani yangu ninaishi nae mtaa mmoja, tunakuja nyumbani nyakati tofauti, tunalala nyakati tofauti, na tunaamka nyakati tofauti, lakini kila asubuhi lazima tukutane barabarani muda ule ule"
Hii ina maanisha nini??
Kama tunatofautiana muda wa kurudi nyumbani, muda wa kulala, muda wa kuamka, inakuwaje lazima kila siku muda ule ule tukutane barabarani??
Is this fate?? accident?? Luck?? au tunapanga tukutane muda huo???
I rest my case with a conclusion kwamba , Mungu yupo na yeye ndie hupanga maisha yetu. Our life is planned hata kabla hatujazaliwa.
1. Wewe kweli ni muheshimiwa. Ninaposema Mungu anajihitaji yeye mwenye, yaani Mungu ni sheria, ninamaana kwamba, KIUTENDAJI NA MAMLAKA MUNGU ANAJITOSHELEZA YEYE MWENYEWE! Hakuna nilikosema Mungu na Sheria ni vitu viwili tofauti, Mungu haitaji sheria ila yeye mwenye ni sheria.
2. Kuuliza eti kwanini Mungu mwenye upendo awe sheria, ni sawa na kuuliza chanzo cha Mungu, God is Nature. Na swali lako liko nje ya mada, hata angekuwa ametoka ndani kwangu maadamu unatambua ukuu wake, hakuna cha kubadilika.
3. Kuuliza swali moja zaidi ya mara moja, kunathibitisha hujui wala kukielewa unachoandika, umeuliza Kwanini Mungu awe sheria, halafu unauliza tena Inakuwaje Mungu huyo awe Ukomo. Hivi umesahau kuwa ni wewe uliyesema Sheria ni Ukomo?
4. Nje ya Ukomo ni wapi? Tuthibitishie uwepo wake kwanza. Tuambie ni wapi huko where Nature does not exist!
5. Mungu anayejihitaji ni mwenye KUJITOSHELEZA. Unaposema Mungu asijihitaji ni sawa na kumtaka Mungu mwenye mapungufu, huyo ni wako wewe! Nimeshakuambia hapa, Mungu HAWEZI kufanya Upumbavu, na bado ni Mwenye uwezo wote, unajua kwanini? UWEZO WOTE NA UPENDO WOTE NI VIUMBE ZAO LA UUMBAJI, NA VINATII SHERIA KAMA MIMI NA WEWE.
6. Dah! Nimesema nje ya Uumbaji huwezi kuhoji juu 4 omnis. Wewe umehoji eti unajitapa ushujaa "mbona nimehoji". Hivi wewe mwenzetu uko nje ya Uumbaji au? Umehoji kwakuwa wewe u ndani ya Uumbaji. Umiza kichwa Mkuu.
Anaita sasa!
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Kujua ndiyo nini na kuamini ndiyo nini?
Halafu uniambie wewe unajua vp kuwa hakuna mungu ?(kinyume na kuamini)
Too much BS noise.Kujua ni ndoto ambayo mpaka sasa inafukuziwa.
Strictly speaking, hakuna yeyote anayejua chochote.
Ila kuna misingi ya kuviondoa vile ambavyo si tu havijulikani, bali pia haviyumkiniki. Kama vile kuwapo kwa mungu.
Too much BS noise.
God Hater, get a life and stop malarkey.Apparently not enough to just ignore.
God Hater, get a life and stop malarkey.
Kujua ni ndoto ambayo mpaka sasa inafukuziwa.
Strictly speaking, hakuna yeyote anayejua chochote.
Ila kuna misingi ya kuviondoa vile ambavyo si tu havijulikani, bali pia haviyumkiniki. Kama vile kuwapo kwa mungu.
Mungu muweza yote hahutajibshwria, hata kama sheria ni yeye mwenyewe.
Akishahitaji sheria hawezi yote.
Atawezaje yote wakati anahitaji sheria?
Inapoishia sheria ndipo unapoishia uwezo wake.
Hata kama sheria ni yeye mwenyewe.
Aliyeanza kukosa heshima na adabu ni nani?
Mimi narudisha moto kwa moto tu hapo, soma uone nani kaanza kukosa heshima na adabu.
Halafu siku nyingine usitegemee chochote kutoka kwangu.
I am not that simple.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?
Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.
Huelewe hata unachoandika mwenyewe.
Wanajamvi, namripoti kwenu huyu mtu.
Mkuu Kiranga, hivi unajua kuwa ulichoandika hapo juu ni sawa na kusema " KUJITOSHELEZA NI MAPUNGUFU" hivi unatarajia kueleweka kweli?
Eti inapoishia sheria ndipo unapoishia uwezo wake, SASA USICHOELEWA KIPI UNAPOAMBIWA INAPOISHIA SHERIA NI PALIPO NA SHERIA YENYEWE? Huko ni sawa na kusema Sheria haina inachokihitaji ila yenyewe tu inatosha! Unatapatapa Mkuu!
Anaita sasa!
aqcha upuuzi
Mkuu,
Nilikuwa naangalia sinema ''The Iceman'' ambapo assassin mmoja alipewa kazi ya kuumaliza jamaa mmoja halafu huyo jamaa targeted akawa analia na kuomba Mungu nisaidie assassin huyu asiye na masihara asinimalize, assassin akampa jamaa muda jamaa andelee kuomba, jamaa akaomba weee mpaka assassin akasema nimechoka kusubiri Mungu wako aje akuokoe, labda Mungu yupo busy na masuala mengine, basi jamaa akamalizwa na risasi za assassin.
Hiki kisa hapo juu kikaniacha na maswali mengi kuhusu Mungu kama yupo au hayupo nasi katika maisha yetu ambapo watu wengi tu wasiona hatia, watu wanaoishi maisha yasiyo na doa la uhalifu bado wanakufa au kuachwa vilema kwa kupigwa risasi na wahalifu.
Daima Mungu ni pendo na anapenda watu,kwahio hata ukimtumikia vema sana unaweza pata ajali mbaya ukafa hio hainaaa maana kuwa Mungu hayupo bali ameupuuzia mwili wako ambao hauna thaman na kuiokoa nafsi yako ya thaman haswa mbele yake. Binadamu kila mmja ana udhaifu wake na je fikiria kama ibilisi kakupangia mitego ya kuiua nafsi yako ni bora uuwe mwil uipate mbingu au uiponye mwil ukaiuwe nafsi ukutane na ghadhabu ya Mungu. Kumbuka kila siku kila saa ya kuwa Mungu ni mwema kwa watu wote.