Watajichanganya sana tu.
Utajichanganya wewe unayekariri mambo ili tu useme hakuna mungu.
Umeshindwa kutofautisha kujipinga na uongo halafu unakuja kusema mungu kajipinga.
Bado nahitaji kujua tofauti ya ushahidi na uthibitisho. Maana bado ile hoja yako ya kusema kisichokuwepo hakithibitishiki hatujamalizana.
Unajuaje nimesahau?
Kwa sababu ungekuwa unakumbuka usingekuja kusema sijafafanua,mi nilijua utasema nimejibu tofauti na ndiyo maana mwishoni nikasema sijui kama umenielewa. Ila wewe umeshindwa kunielewa kabisa tofauti na nilivyofikiri,kwa sababu haukuwa unakumbuka.
Kujipinga na uongo nimekueleza mpaka mfano nimekutolea. Isitoshe, kama mungubwenu kajipinga au muongo, kipi ni sifa nzuri hapo?
Tofauti ya ushahidi na uthibitisho utataka vipi kuielewa na wewe hutaki kuelewa set theory?
Kimsingi umeshasema hutaki kuelewa tofauti ya ushahidi na uthibitisho, halafu hapo hapo unaandika unahitaji kujua tofauti ya uthibitisho na ushahidi.
Unaelewa unachotaka?
Ulichofafanua kipi?
Wewe unaweza kuona umefafanua kumbe umeanguka kama mgonjwa wa kifafa.
So far naona unazuga tu.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo. Hiki hujafanya. Bisha.
Hujaeleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ameumba ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya, wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Hujajibu maswali haya.
Umeshindwa kuelewa swali na hadi sasa unashindwa kuelewa ninachokueleza.
Mimi naishia hapa.
where does the authority of the higher logical reasoning come from Kiranga
Mwite Kafiri! Mtu asie amini uwepo wa Mungu huitwa Kafiri na Ukafiri wake.ngoja KIRANGA aje na KIRANGA chake
where did its ability came from ,and saying itself ,itself what? Kiranga
Mwite Kafiri! Mtu asie amini uwepo wa Mungu huitwa Kafiri na Ukafiri wake.
ka ukijua huwezi mjua Mungu mpaka umjue shetani vizuri maana pia anaharibu constitency
Swali linatumia logic kuundwa, wewe usiyejali logic utajuaje kuuliza swali?
Mwanasiasa anayetoa ahadi halafu hazitekelezi je,ni kujipinga au ni uongo?mbona hujibu hili swali.
Kafiri pekee aloyebaki katika ulimwengu wa leo wa elimu ni yule anayeita wengine makafiri bila hata simile.