nijothemaster
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 324
- 56
Sijaomba nyimbo, nimekutaka utoe jibu kwenye biblia.
Biblia yako ni kitabu cha nyimbo zisizo majibu?
Mambo gani hayo yaliyotabiriwa na yakatokea?
Na mtu kutabiri kitu kwenye kitabu halafu kikatokea ni uthibitisho kwamba hicho ni kitabu cha mungu?
Ukiambiwa Isaya alimtabiri masiha kuzaliwa miaka 3,000 iliyopita, halafu Yesu akausoma utabiri huo na kujifanya yeye ndiye masiha wakati si masiha, na wala hakuna masiha, utasema kwamba Isaya alitabiri kweli na biblia ni kitabu cha mungu?
Kama ni utabiri tu mbona hata Nostradamus katabiri, kitabu cha utabiri wa Nostradamus ni cha mungu? Nostradamus ni mungu?
Naweza kuwa nauliza haya maswali mtu mwenyewe hata Nostradamus hujawahi kumsikia, judding by your posts here.
Sawa mkuu tutaangalia vizuri tu kuhusu hayo mambo ya utabiri,lakini bado kuna mambo ya kisayansi pia nayo unasemaje?
Mambo ya kisayansi yamefanyaje?
Kama ni kweli anawapenda sana wanadamu, kwa nini anawaacha wateseke ili hali ana uwezo wa kuyaondoa mateso?Kipi kinafanya isiwezekane?
Kipi kinafanya isiwezekane?
Kama ni kweli anawapenda sana wanadamu, kwa nini anawaacha wateseke ili hali ana uwezo wa kuyaondoa mateso?
Inasemekana upendo wa Mungu kwa wanadamu ni mkubwa kuzidi ule wa baba kwa mtoto wake, hivi wewe UHURU JR ungekuwa na uwezo wa kuondoa let say magonjwa kwa mwanao ungemwacha augue au hata afe kabisa?
Wakati watu wengine wakiteseka kama unavyosema lakini kuna watu wanaishi kwa raha.
Je,wewe unaelewa vp unapoona kuna watu wanaishi kwa raha na kuna wanaoishi na mateso?
Sio kudakia, hili ni suala la msingi ambalo halijapatiwa majibu, kwa nini Mungu aniache mimi niteseke ili hali ananipenda na ana uwezo wa kuniondolea mateso?Kila mara nasema kuwa kupinga ni kazi rahisi sana,kama mnavyoona Kiranga kaacha kile tulichokuwa tunajadili na kuja kudakia majadiliano yetu mimi na Mjuni Lwambo kwa sababu kuna jambo lake la kupinga.
Sio kudakia, hili ni suala la msingi ambalo halijapatiwa majibu, kwa nini Mungu aniache mimi niteseke ili hali ananipenda na ana uwezo wa kuniondolea mateso?
Inakuwaje aache viumbe wake wateseke wakati anawapenda na ana uwezo wa kuzuia mateso?Hehe...kama wewe ni Kiranga nashindwa kuelewa kwanini umeamua ufanye hivyo!
Inakuwaje aache viumbe wake wateseke wakati anawapenda na ana uwezo wa kuzuia mateso?
Ninachotaka kujua ni kuwa, kwa nini hao wengine anaacha waishi kwa mateso ili hali anao uwezo wa kuwaondolea hayo mateso?Wakati watu wengine wakiteseka
kama unavyosema lakini kuna watu wanaishi kwa raha.
Je,wewe unaelewa vp unapoona
kuna watu wanaishi kwa raha na
kuna wanaoishi na mateso?
Ninachotaka kujua ni kuwa, kwa nini hao wengine anaacha waishi kwa mateso ili hali anao uwezo wa kuwaondolea hayo mateso?
Nina kuwa na mashaka kama kweli kuna Mungu mwenye sifa za upendo wote na uwezo wote.Je,wewe unaelewa vp unapoona
kuna watu wanaishi kwa raha na
kuna wanaoishi na mateso?
Nina kuwa na mashaka kama kweli kuna Mungu mwenye sifa za upendo wote na uwezo wote.