COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

UFUNUO 3:10
kwa kuwa ww umezibgatia neno langu la kuwa na uvumilivu thabiti.mm nita kutegemeza salama wakati ule wa dhiki inayoujia ulimwengu mzima kuwajaribu wote wanaoishi duniani...

UMEONA SABABU YA DHIKI KIRANGA..? MABAYA YATAONGEZWA MARADUFU ZAIDI YAUNAYO LALAMIKA ASAHIVI KIRANGA..ILI JINA LAKE LITUKUZWE NA UTAMBUE KUA YEYE ANAMAMLAKA JUU YA MWILI WAKO...

ntaendelea....
 
Sijaomba nyimbo, nimekutaka utoe jibu kwenye biblia.

Biblia yako ni kitabu cha nyimbo zisizo majibu?

UFUNUO 6:3
kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa pili.nikamsikia yule kiumbe hai wapili akisema Njoo..naminikatazama nakumbe palikuawapo farasi mwingine hapo.nwekundu.mpanda farasi wake alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani watu wauane naye akapewa upanga mkubwa..

UMEPATA PICHA GANI HAPO KIRANGA?...NI NANI ALIYE RUHUSU AMANI ITOEKE?..NA UTAONA NANI ATAKAYE IRUDISHA....YOTE HII NI ILI JINA LAKE LITUKUZWE NA UTAMBUE UWEZO NA MAMLAKA YAKE JUU YA MWILI WAKO....

ntaendelea.....
 
Mambo gani hayo yaliyotabiriwa na yakatokea?

Na mtu kutabiri kitu kwenye kitabu halafu kikatokea ni uthibitisho kwamba hicho ni kitabu cha mungu?

Ukiambiwa Isaya alimtabiri masiha kuzaliwa miaka 3,000 iliyopita, halafu Yesu akausoma utabiri huo na kujifanya yeye ndiye masiha wakati si masiha, na wala hakuna masiha, utasema kwamba Isaya alitabiri kweli na biblia ni kitabu cha mungu?

Kama ni utabiri tu mbona hata Nostradamus katabiri, kitabu cha utabiri wa Nostradamus ni cha mungu? Nostradamus ni mungu?

Naweza kuwa nauliza haya maswali mtu mwenyewe hata Nostradamus hujawahi kumsikia, judding by your posts here.

Sawa mkuu tutaangalia vizuri tu kuhusu hayo mambo ya utabiri,lakini bado kuna mambo ya kisayansi pia nayo unasemaje?
 
Mungu anaweza yote,

Mungu ana upendo wote.

Kuna mateso (magonjwa, njaa, matsunami, vita na mauaji n.k)
UHURU JR, inawezekanaje sentensi tatu pale juu zile kweli kwa wakati mmoja?
 
Last edited by a moderator:
Mungu anaweza yote,

Mungu ana upendo wote.

Kuna mateso (magonjwa, njaa, matsunami, vita na mauaji n.k)
UHURU JR, inawezekanaje sentensi tatu pale juu zile kweli kwa wakati mmoja?

Kipi kinafanya isiwezekane?
 
Last edited by a moderator:
Kipi kinafanya isiwezekane?
Kama ni kweli anawapenda sana wanadamu, kwa nini anawaacha wateseke ili hali ana uwezo wa kuyaondoa mateso?

Inasemekana upendo wa Mungu kwa wanadamu ni mkubwa kuzidi ule wa baba kwa mtoto wake, hivi wewe UHURU JR ungekuwa na uwezo wa kuondoa let say magonjwa kwa mwanao ungemwacha augue au hata afe kabisa?
 
Kipi kinafanya isiwezekane?

This is a contradiction.

Ni kama kuwezekana kuwapo "pembetatu duara" katika Euclidean geometry.

Katika probability kuna kitu kinaitwa "mutually exclusive events", vitu ambavyo vyote haviwezi kutokea pamoja.

Kwa mfano, uki flip coins huwezi kupata heads na tails ( kichwa na mwenge) kwa wakati mmoja.

Lazima iwe kimoja, heads or tails. Kichwa au mwenge.

Wewe unataka mutually exclusive events mbili zote zitokee kwa wakati mmoja.

Unataka kulazimisha pembetatu iwe duara.
 
Kama ni kweli anawapenda sana wanadamu, kwa nini anawaacha wateseke ili hali ana uwezo wa kuyaondoa mateso?

Inasemekana upendo wa Mungu kwa wanadamu ni mkubwa kuzidi ule wa baba kwa mtoto wake, hivi wewe UHURU JR ungekuwa na uwezo wa kuondoa let say magonjwa kwa mwanao ungemwacha augue au hata afe kabisa?

Wakati watu wengine wakiteseka kama unavyosema lakini kuna watu wanaishi kwa raha.

Je,wewe unaelewa vp unapoona kuna watu wanaishi kwa raha na kuna wanaoishi na mateso?
 
Wakati watu wengine wakiteseka kama unavyosema lakini kuna watu wanaishi kwa raha.

Je,wewe unaelewa vp unapoona kuna watu wanaishi kwa raha na kuna wanaoishi na mateso?

Swali si kuhusu wanaoishi kwa raha.

Swali ni kuhusu wanaoteseka. Hata mmoja tu akiteseka, mungu huyu kashajiwekea swali hili. Kwanini hakuzuia huyo mmoja asiteseke kwa kuumba ulimwengu ambao mateso hayawezekani?

Alishindwa kufanya hivyo?

Baba mwenye watoto 30, akimuua mmoja, huwezi kumtetea kwa kusema eti hajawaua wengine 29.

Huo si utetezi.
 
Kila mara nasema kuwa kupinga ni kazi rahisi sana,kama mnavyoona Kiranga kaacha kile tulichokuwa tunajadili na kuja kudakia majadiliano yetu mimi na Mjuni Lwambo kwa sababu kuna jambo lake la kupinga.
 
Sio kudakia, hili ni suala la msingi ambalo halijapatiwa majibu, kwa nini Mungu aniache mimi niteseke ili hali ananipenda na ana uwezo wa kuniondolea mateso?
 
Sio kudakia, hili ni suala la msingi ambalo halijapatiwa majibu, kwa nini Mungu aniache mimi niteseke ili hali ananipenda na ana uwezo wa kuniondolea mateso?

Hehe...kama wewe ni Kiranga nashindwa kuelewa kwanini umeamua ufanye hivyo!
 
Inakuwaje aache viumbe wake wateseke wakati anawapenda na ana uwezo wa kuzuia mateso?

Wakati watu wengine wakiteseka
kama unavyosema lakini kuna watu wanaishi kwa raha.

Je,wewe unaelewa vp unapoona
kuna watu wanaishi kwa raha na
kuna wanaoishi na mateso?
 
Wakati watu wengine wakiteseka
kama unavyosema lakini kuna watu wanaishi kwa raha.

Je,wewe unaelewa vp unapoona
kuna watu wanaishi kwa raha na
kuna wanaoishi na mateso?
Ninachotaka kujua ni kuwa, kwa nini hao wengine anaacha waishi kwa mateso ili hali anao uwezo wa kuwaondolea hayo mateso?
 
Nina kuwa na mashaka kama kweli kuna Mungu mwenye sifa za upendo wote na uwezo wote.

Mkuu mfano leo hii ukisikia labda mtu ambaye aliyekuwa akiua watu nae leo ameuliwa. Je,unaweza kuhukumu hao watu waliyomuua kwa kusema hao waliyomuua huyo mtu muuwaji kuwa hawana upendo? Au utawapongeza kwa kitendo chao hicho?
 
Back
Top Bottom