COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Ba mitsa ka mabitsoo Emmanuele....ba mitsa ka mabitsooo...Emmanuele....I AM THAT I AM..I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...I AM THAT I AM........uh! ta ra ra ra,pa pa ra ra raaa,.aisee mtumishi wa Bwana Kiranga naskia ukiwa chumbani unapendaga sana kuimba hako kawimbo ka Solly Mahlangu,sema hapa unajikaza tu!
 
Last edited by a moderator:
"Unachokifanya wewe ni sawa na mfano mie niwe ninasema kuwa nina nyumba na kujisifu kuwa mimi ni msafi. Halafu siku nikakupeleka kwn nyumba na kukwambia hii ndiyo ile nyumba yangu.Lakini nyumba yenyewe ukaikuta ni chafu halafu et kwa sababu umeikuta nyumba chafu ndiyo iwe hoja ya kusema kuwa hiyo nyumba si yangu kwa sababu mie nilisema ni msafi."

Ulipaelewa hapo?

Bila tatizo.

The question is, will you recognize a contradiction when mutual exclusive events are supposed to happen simultaneously?

Unataka kurusha shilingi halafu upate pande zote, mwenge na kichwa, ziwe zinaangalia juu?

How is that possible?

Your basic premise is flawed if it carries within it a contradiction.
 
Ba mitsa ka mabitsoo Emmanuele....ba mitsa ka mabitsooo...Emmanuele....I AM THAT I AM..I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...I AM THAT I AM........uh! ta ra ra ra,pa pa ra ra raaa,.aisee mtumishi wa Bwana Kiranga naskia ukiwa chumbani unapendaga sana kuimba hako kawimbo ka Solly Mahlangu,sema hapa unajikaza tu!

Kijiti ulixhotafuna wewe kama cha Angola vile, si bure.
 
Last edited by a moderator:
Bila tatizo.

The question is, will you recognize a contradiction when mutual exclusive events are supposed to happen simultaneously?

Unataka kurusha shilingi halafu upate pande zote, mwenge na kichwa, ziwe zinaangalia juu?

How is that possible?

Your basic premise is flawed if it carries within it a contradiction.

Je,hiyo nyumba kuwa chafu ndiyo
inatosha kuwa ni ushahidi kuwa mie hiyo nyumba sio yangu?
 
Unaamua kuongelea habari ya nyumba kuwa yako tu bila ya kuongelea habari ya wewe kuwa msafi, kwa nini?

Suala hapa si wewe kuwa mwenye nyumba tu, kama suala ni wewe kuwa mwenye nyumba tu basi nyumba youote itafaa kukupa hadhi ya mwenye nyumba.

Suala hapa ni kwamba wewe ni msafi na mwenye nyumba, ukiwa msafi na mwenye nyumba, strictly speaking, nyumba yako itakuwa safi.

Tukuonyeshwa nyumba chafu, ama itakuwa siyo yako, ama kama ni yako wewe si msafi.

Wewe kuwa msafi na kuwa na nyumba chafu katika probabilty tunaita "mutually exclusive events". Vitu viwili ambavyo haviwezi kutokea kwa pamoja kama kupata kichwa na mwenge kuangalia juu baada ya kurusha shilingi.

Logical thinking inataka kutuliza kichwa.
 
Unakumbuka nilichokieleza na ndiyo nikamalizie kwa huo mfano?
 
Kijiti ulixhotafuna wewe kama cha Angola vile, si bure.

...the child is born..the child is born...the son is given...the son is given...he shall be called...he shall be called..the mighty God...the mighty God...wonderful...wonderful...counselor...counselor...prince of peace...prince of peace...prince of peace..prince of peace....mabiiitsoo EMANUELE...mabiiitsoo...EMANUELE..I AM THAT I AM...I AM THAT I AM... I AM THAT I AM...I AM THAT I AM...ta ra ra ta ta ta ra ra ta taa mabiiitsoo.. EMANUEL....kuna siku utatuelewa tu wewe!
 
Sasa huku ndo kunuiza au nini?
 
Hata nikilumbuka inawezekana nonachokumbuka si unachokikusudia, wewe sema tu unakusudia kusema nini.

Wewe unasema kuwa idea ya Mungu inajipinga, kwa sababu mungu anasema ana sifa ya upendo na huku kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana,kwahiyo ukahitimisha kuwa hakuna mungu kwa hoja yako hiyo kirahisi kabisa.

Sasa kutokana na hilo hitimisho lako ndiyo nikakupa mfano wa mtu ambaye anajisifu kwa usafi,ila siku alipokupeleka ktk nyumba ambayo huwa anasema ni yake ukaikuta ni chafu. Sasa kwa tukio kama hilo ambalo pia haiwezekani mtu kuwa msafi na akawa na nyumba ambayo chafu hivyo ni kujipinga,kwa hivyo uhitimishe kuwa huyo jamaa si msafi na wala nyumba si yake.

Sasa hivyo ndivyo ambavyo kama wewe ufanyavyo kwa kuoenesha kuwa et idea ya mungu inajipinga na kuhitimisha kuwa hakuna mungu.

Si ndivyo??
 
Hujajibu swali la unaweza vipi kurusha shilingi juu halafu iangukie pande zoye mbili , za kichwa na mwenge, zikiwa zinaangalia juu.

How do you get mutually exclusive events to occur simultaneously?

Utakuwaje myu msafi mwenye nyumba chafu?

Mungu atakuwaje na iwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na hapo hapo kiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujayajibu maswali haya.
 
Sasa huku ndo kunuiza au nini?

it would take a living being to create us as living beings.Unakubali,unakataa?.....nijibu,huku naendelea na pambio langu la kisotho...ba mitsa ka mabitso EMANUELE...ba mitsa ka mabitso EMANUELE...bamiiitsooo..EMANUELE...tataraa tataraa ta ta ra..
 
Nikikubali kwamba it takes a living being to create a living being, that living being will also need another living being to create it, and that one will need another living being to create it, without an end to this chain of living beings.

No place for an almighty god in this universe.

Unakataa?
 
nakataa.
 
..mabiiitsoo EMANUEL...mabiiitsoo...EMANUEL...the child is born...ta ta taraa.. Kiranga nimekataa hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali la unaweza vipi kurusha shilingi juu halafu iangukie pande zoye mbili , za kichwa na mwenge, zikiwa zinaangalia juu.

How do you get mutually exclusive events to occur simultaneously?

Utakuwaje myu msafi mwenye nyumba chafu?

Mungu atakuwaje na iwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na hapo hapo kiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujayajibu maswali haya.

Tatizo si kujibu tu swali kwa sababu unaweza kumuuliza mtu 1+1 akajibu 11, akawa ameshajibu swali. Ushasema kuwa idea ya mungu inajipinga na ndiyo jambo tunalolijadili, sijui una wasiwasi wa nini.
 
Kujibu fyongo kunaweza kuwa ni kujibu kwa mtu asiyetambua mchele upi na chya ipi.

Hujatengua kujipinga kwa mungu wako bado.
 
Ndiyo maana nataka tutumie huo mfano ili uweze kupata uelewa ktk maswali.
 
Back
Top Bottom