COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

An all powerful, all knowing, all loving and all present godhead who created this world full of evil is inconceivable as existing due to the violation of the simple logic of non contradiction and logical consistency.

The same cannot be proven to not exist, because he does not exist to be proven that he does not exist.

Duh!hizi imani zengine ni vichekesho vitupu.

Hebu toa mfano wa kitu chengine ambacho hakipo tofauti na Mungu.
 
Kujipinga ni pale mungu anapokuwa na tabia za kuwa na uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote na uwepo pote halafu akaumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Ni kujipinga kwa sababu mungu mwenye uwezo wote na upendo wote ili asijipinge anatakiwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, kwa sababu ana upendo wa kufanya hivyo na pia ana uwezo wa kufanya hivyo.

Kwa nini hakufanya hivyo?

Unanifanya mie mtoto nini!!!

Bado Haujaeleza hasa kujipinga maana yake nini, we umelitumia neno kujipinga kwa kuonesha kuwa mungu kajipinga ila hadi sasa haujatoa tafsiri ya neno kujipinga. Toa kwanza tafsiri ya neno kujipinga kabla kuanza kueleza kujipinga kwa Mungu.
 
Duh!hizi imani zengine ni vichekesho vitupu.

Hebu toa mfano wa kitu chengine ambacho hakipo tofauti na Mungu.

Mimi nishatoa mfano kama ulivyoniuliza.

Nilikuuliza kabla wewe hujaniuliza kutoa mfano huu, unipe mfano wa kitu ambacho hakipo na kimethibitishwa kwamba hakipo.

Ulitakiwa kunipa mfano huu kabla mimi sijakupa mfano wangu.

Naomba unipe mfano huu kwanza, maana umechelewa sana.

Au kama huwezi kutoa mfano ukubali tu kwamba huwezi.
 
Wasiwasi wako ni nini mkuu? Siku zote njia ya muongo ni fupi. Mie nishasema kuwa visivyokuwepo vinathibitishika,wewe toa mfano wa hicho kitu kisichokuwepo tofauti na mungu ili nikuoneshe ni kwanini nasema visivyokuwepo vinathibitishika.
 
Unanifanya mie mtoto nini!!!

Bado Haujaeleza hasa kujipinga maana yake nini, we umelitumia neno kujipinga kwa kuonesha kuwa mungu kajipinga ila hadi sasa haujatoa tafsiri ya neno kujipinga. Toa kwanza tafsiri ya neno kujipinga kabla kuanza kueleza kujipinga kwa Mungu.

Contradiction | Define Contradiction at Dictionary.com

[h=1]contradiction[/h]

[kon-truh-dik-shuh n]
Spell Syllables

noun1.the act of contradicting; gainsaying or opposition.

2.assertion of the contrary or opposite; denial.

3.a statement or proposition that contradicts or denies another or itselfand is logically incongruous.

4.direct opposition between things compared; inconsistency.

5.a contradictory act, fact, etc.

Wasiwasi wako ni nini mkuu? Siku zote njia ya muongo ni fupi. Mie nishasema kuwa visivyokuwepo vinathibitishika,wewe toa mfano wa hicho kitu kisichokuwepo tofauti na mungu ili nikuoneshe ni kwanini nasema visivyokuwepo vinathibitishika.

Kati yangu niiyejibu swali lako na kutoa mfano kama ulivyonitaka na wewe ambaye hujanijibu swali langu kwa mfano kama nilivyokuuliza nani ana wasiwasi hapa?

Hujanipa mfano wa kitu kisichokuwepo ambacho kimethibitishwa kwamba hakipo.
 
Tatizo hapa ni kuthibitisha kitu kisichokuwepo tu,sijataka tututumie mfano wa Mungu nina maana nzuri.we toa huo mfano mie nithibitishe.
 
Umeniambia nitaje kisichokuwepo, nimekutajia kwa mfano, wewe hutaki nilichokutajia sasa unataka kunichagulia wewe cha kusema?

Nimeelezea vingine kama pembetatu diara na rangi ya wimbo wa taifa. Hujui kusoma au unajitia ujinga tu?

Halafu mbona hujanitajia mfano wa kisichokuwepo bado?
 
Contradiction | Define Contradiction at Dictionary.com

[h=1]contradiction[/h]

[kon-truh-dik-shuh n]
Spell Syllables

noun1.the act of contradicting; gainsaying or opposition.

2.assertion of the contrary or opposite; denial.

3.a statement or proposition that contradicts or denies another or itselfand is logically incongruous.

4.direct opposition between things compared; inconsistency.

5.a contradictory act, fact, etc.

Haya Sasa Mungu anajipinga vp?
 
Haya Sasa Mungu anajipinga vp?

Hebu nirudie tena.

Mungu mnasema ana uwezo wote, na upendo wote.

Mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuumba kitu ambacho kitaruhusu mabaya. Upendo wake utamfanya asiumbe kinachoruhusu mabaya, uwezo wake utamuwezesha kuumba kisichoruhusu mabaya.

Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya.

Mungu amejipinga tabia yake ya kuwa na uwezo wote na upendo wote kwa kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Hili limewezekanaje kwa mungu huyu?

Mbima uwezo wake wa upendo wake hauendani na ulimwengu anaosemwa kaumba?
 
Umeniambia nitaje kisichokuwepo, nimekutajia kwa mfano, wewe hutaki nilichokutajia sasa unataka kunichagulia wewe cha kusema?

Nimeelezea vingine kama pembetatu diara na rangi ya wimbo wa taifa. Hujui kusoma au unajitia ujinga tu?

Halafu mbona hujanitajia mfano wa kisichokuwepo bado?

Ushahidi wa kitu kisichokuwepo unapatikana unapatikana kwenye zile sababu zenyekufanya kutokuwepo kwa hicho kitu.
Sababu zilizokufanya useme hakuna rangi ya wimbo wa taifa ndiyo ushahidi wa kutokuwepo kwa hicho kitu.

Mfano hakuna rangi ya wimbo wa taifa kwa sababu wimbo ni maneno tu yanayotamkwa kwa sauti ya muziki,na ukija kuangalia maana ya neno rangi utaona kabisa ni vitu viwili visivyoweza kuhusiana. Maana moja ya rangi ni kemikali inayopakwa juu ya kitu kionekane tofauti na kilivyokuwa.

Nafikiri nimeeleweka,kushindwa kuthibitisha kisichokuwepo ni kukosa sababu za msingi zinazokufanya useme hakuna hicho kitu. Inakuwa ni Imani tena ya kihisia zaidi.
 
With you boss
 
Umeulizwa uthibitisho, unaongelea ushahidi. Hata tifauti ya uthibitisho na ushahidi hujui.

Wimbo ni maneno?
 
Si mimi tu naamini kuna watu wengi tu pia watakuwa hawajui hiyo tofauti ya uthibitisho na ushahidi, kama kweli kuna tofauti basi tupe hizo tofauti.

Ndiyo. Na kama unaweza kukosoa basi fanya hivyo tuone.
 
Kukuta alama za vidole za mtu kwenye dirisha la nyumba lililovunjwa na kutumiwa katika wizi ni ushahidi kwamba mtu huyo amehusika na wizi lakini si uthibitisho.

Unaweza kuona tofauti ya uthibitisho na ushahidi hapo?
 
what is so called mintaarafu?

Wewe kiswahili tu hujui, halafu unataka kujadili falsafa ya juu ya uwepo wa mungu?

Nikiandika kiingereza mnasema Kiranga anaandika kiingereza kigumu.

Kiingereza mnaweza kusema lugha ya kigeni.

Kiswahili udhuru wako ipi?
 
Hebu nirudie tena.

Mungu mnasema ana uwezo wote, na upendo wote.

Mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuumba kitu ambacho kitaruhusu mabaya. Upendo wake utamfanya asiumbe kinachoruhusu mabaya, uwezo wake utamuwezesha kuumba kisichoruhusu mabaya.

Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya.

Mungu amejipinga tabia yake ya kuwa na uwezo wote na upendo wote kwa kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Hili limewezekanaje kwa mungu huyu?

Mbima uwezo wake wa upendo wake hauendani na ulimwengu anaosemwa kaumba?

Sasa eleza kujipinga kwa binadamu ni kupi kwa kutoa mfano wenye kufanana na huo wa Mungu.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

Dhambi Ya asili ndio ilileta haya. Mungu aliamuru msile tunda la mti wa katikati ya bustani, nyoka akawadanganya na ndipo kifo kikaja. maana Mungu aliwaambia hivi Adamu na Hawa " msile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na Mabaya, Mkila mtakufa hakika" Naye nyoka (shetani) alipomjia Hawa alimwambia "eti mungu kasema mkila matunda ya mti wa katikati mtakufa??? Nawaambia hamtakufa hakika" Na walipokula sote tunajua yaliyotokea kwa mujibu wa Bible.
 
Kukuta alama za vidole za mtu kwenye dirisha la nyumba lililovunjwa na kutumiwa katika wizi ni ushahidi kwamba mtu huyo amehusika na wizi lakini si uthibitisho.

Unaweza kuona tofauti ya uthibitisho na ushahidi hapo?

Sasa nitaonaje tofauti wakati bado haujaeleza hizo tofauti za ushahidi na uthibitisho.Kwa kifupi ulichoeeleza wewe ni kwamba kukutwa alama za vidole kwenye eneo la tukio la uhalifu ni ushahidi kuwa huyo mtu anahusika kwenye huo uhalifu,lakini ukasema huo sio uthibitisho.

Sasa hapo nitaelewa vp tofauti?we umesema sijui tofauti ya hayo maneno,hivyo kwa maana ya kwamba nilikuwa nina maana ambayo si sahihi juu ya hayo maneno. Kwahiyo ukinipa mifano tu ili nielewe nitatumia zile tafsiri zangu potofu za hayo maneno.

We eleza ushahidi ni nini na uthibitisho ni nini hapo nitaelewa tofauti zake.
 
Back
Top Bottom