COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Na hakika hiyo umeipata bila kudhani? Kumbuka suala si hakika tu, bali hakika iliyopatikana bila kudhani.

Kwa maana umeshakubeza kudhani kwa kusema kwamba anayedhani hana hakika na hivyo hana ukweli.

Unaweza kudhani na baadae ukawa na uhakika

Unaweza ukadhani bila kuwa na uhakika hadi wakati unajadili hilo

Lipi kati ya hayo mawili unayomaanisha wewe?
 
Unaweza kudhani na baadae ukawa na uhakika

Unaweza ukadhani bila kuwa na uhakika hadi wakati unajadili hilo

Lipi kati ya hayo mawili unayomaanisha wewe?

Kama unaweza kudhani na baadaye ukawa na uhakika, then your earlier dismissal of kudhani as kutokuwa na uhakika is moot, and made with a myopic logic.

Moreover, hujajibu swali langu kama uhakika wa kujua kwamba wewe upo umeupata bila ya kudhani au la.

I suspect that that is deliberate, as the obvious contradiction is indefensible.
 
Usiwe na haraka unaposoma unachoandikiwa ...

Nimekuwekea uchaguzi wa aia mbili hapo ambao kimsingu hafanani kwasababu kuna time frame ya kudhani

Ya kwanza unadhani kwa muda halafu baadae unatoka kwenye kudhani kisha unaingia kwenye uhakika

Ya pili unadhani hadi wakati unajadili jambo husika,yaani hadi unajadili jambo lenyewe bado unakuwa kwenye kudhani bado

Umeona tofauti?
 
Kama kuna anayefanya haraka kusoma anachoandikiwa ni wewe, hukuhitaji kurudia kwani nimekuelewa tangu mwanzo.

Kipi kimekufanya ufikiri sijaelewa? Nimelielewa hilo, na mapungufu yake, tangu namsoma St. Augustine 1999.

Hujajibu swali langu.

Una hakika gani ambayo umeipata bila kudhani?

Na kama kuna hakika inayokuja baada ya kudhani, unawezaje kubeza kudhani kama kukosa hakika?
 
Sentensi ya maana kwenye maelezo yako yote hayo ni hiyo ya mwisho tu na ninajibu kwasababu ya hiyo hiyo na sio hayo mashauzi yako mengine ambayo hayana maana zaidi ya kuonesha kitu kimoja kinaitwa "lumbogo"

Nilisema na ninasema ukiwa na hakika huna kudhani hivyo kudhani sio kuwa na hakika

Huwezi kupata uhakika bila kuanza kudhani lakini kudhani sio kuwa na hakika ...!
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unaruhusu mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?

Hujajibu hili swali.

Unasema mungu kaumba mabaya kwa wabaya.

Kwa nini karuhusu ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwezekana at alll wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.

Hili swali ulishaliuza sana na mimi nimeshawahi kukujibu sana tu.

Swali lako linaanzia kuuliza katikati ya mada.sidhani kama unajua lolote kuhusu ADAM au kwanini wewe kiranga unaamini kwamba wewe ni Mwana wa Adam.Jibu la swali lako lipo ktk historia.

Kwamfano wewe nikuulize kwanini kunaongezeko la joto duniani? huwezi kunijibu kwa mkato.

ulimwengu wa mabaya ni historical impact.ndio maana naendelea kusimama palepale MABAYA NI KWAAJILI YA WABAYA.TUTAKAPOACHA UBAYA HAKU UBAYA.
 
Sentensi ya maana kwenye maelezo yako yote hayo ni hiyo ya mwisho tu na ninajibu kwasababu ya hiyo hiyo na sio hayo mashauzi yako mengine ambayo hayana maana zaidi ya kuonesha kitu kimoja kinaitwa "lumbogo"

Nilisema na ninasema ukiwa na hakika huna kudhani hivyo kudhani sio kuwa na hakika

Huwezi kupata uhakika bila kuanza kudhani lakini kudhani sio kuwa na hakika ...!

Sentensi ambazo umeshindwa kuzikanusha huwezi kuzi dismiss tu kwamba hazina maana, mpaka uoneshe ni kwa vipi.

Kama huwezi kupata uhakika bila kuanza kudhani, then kubeza kudhani kama hakuna uhakika ni kubeza njia ya kutafuta uhakika.

Bado hujanijibu swali langu, umesema una uhakika kwamba upo.

Umepataje uhakika huo? Umeupata kwa kutumia kudhani au bila kutumia kudhani?

Kama umeupata bila kudhani, umeupataje?

Na kama umeupata kwa kudhani, na lwa mujibu wako kudhani hakuna hakika, chenye hakika kinapatikanaje kutoka kisicho hakika kwa hakika?
 
Hili swali ulishaliuza sana na mimi nimeshawahi kukujibu sana tu.

Swali lako linaanzia kuuliza katikati ya mada.sidhani kama unajua lolote kuhusu ADAM au kwanini wewe kiranga unaamini kwamba wewe ni Mwana wa Adam.Jibu la swali lako lipo ktk historia.

Kwamfano wewe nikuulize kwanini kunaongezeko la joto duniani? huwezi kunijibu kwa mkato.

ulimwengu wa mabaya ni historical impact.ndio maana naendelea kusimama palepale MABAYA NI KWAAJILI YA WABAYA.TUTAKAPOACHA UBAYA HAKU UBAYA.

Kwanza unajuaje kwamba mimi naamini kwamba mimi ji mwana Adam?

Sali langu linaanziaje kuuliza katikati ya mada wakati linauliza principles alizotumia mungu kuuumba ulimwengu kabla ulimwengu haujaumbwa?

Nimekuuliza, mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla ya chochote kiwapo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote ambao aliutaka.

Aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Hakuumba ulimwengu huo.

Akaamua kuumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana.

Huwezi kusema aliamua kuumba hivyo kwa sababu ya wabaya, kwa sababu wabaya hawakuwapo. Kumbuka swali linahusu kabla ulimwengu haujaumbwa.

Hujajibu swali.

Kabla ulimwengu haujaumbwa, kwa mapokeo yenu, mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka.

Aliweza kuumba ulimwengu ambao manaya hayawezekani kama vile tusivyoweza jurudi nyuma katika muda.

Hakuumba ukimwengu huo, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana.

Kwa nini?
 
God exists.

1) Objective moral values and duties cannot exist unless God exists.
2) Objective moral values and duties do exist.

You would need to defeat premise 1 or 2 or the conclusion is inescapable. Non theists are mindless.
 
Kwanza unajuaje kwamba mimi naamini kwamba mimi ji mwana Adam?

Sali langu linaanziaje kuuliza katikati ya mada wakati linauliza principles alizotumia mungu kuuumba ulimwengu kabla ulimwengu haujaumbwa?

Nimekuuliza, mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla ya chochote kiwapo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote ambao aliutaka.

Aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Hakuumba ulimwengu huo.

Akaamua kuumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana.

Huwezi kusema aliamua kuumba hivyo kwa sababu ya wabaya, kwa sababu wabaya hawakuwapo. Kumbuka swali linahusu kabla ulimwengu haujaumbwa.

Hujajibu swali.

Kabla ulimwengu haujaumbwa, kwa mapokeo yenu, mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka.

Nimekupa jibu zuri kwamba ni suala la historia.
Na historia yoyote tunayoisoma ni lazima uhusishe imani hata kama historia husika itafanyiwa scientific proofe/evidence,kwakuwa hatuwepo lazima ubaki na imani.
Sasa kiranga hutaki kusema chochote/kuamini kuhusu Adam.
 
if their is evil and wrong doings then an equal and greater opposite exists and that is God
The closest opposite to Satan is not God, but God’s servant, Michael the archangel.
 
Nimekupa jibu zuri kwamba ni suala la historia.
Na historia yoyote tunayoisoma ni lazima uhusishe imani hata kama historia husika itafanyiwa scientific proofe/evidence,kwakuwa hatuwepo lazima ubaki na imani.
Sasa kiranga hutaki kusema chochote/kuamini kuhusu Adam.

Nineshakwambia mini siamini kuhusu Adam. Unaposema sitaki kusema chochote maana yako nini? Unajua kusoma?

Kwa hiyo hilo suala la historia, mungu hakuweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Umejiridhishaje kwamba fafanuzi zilizopo ni ulimwengu kuumbwa na mungu au kutokea wenyewe tu?

Unajuaje kwamba wewe fikra zako za kwamba ama ulimwengu umeumbwa na mungu ama kutokea wenyewe si fikra za kufuata kitu kama line ya reli inayoweza kwenda mbele na nyuma tu bila kujua kwamba kuna juu na chini?

Unajuaje kwamba hakuna fafanuzi nyingine zaidi, fafanuzi ambazo labda hata hatujapata elimu ya kuzielewa kwa sasa?

Na kama ulimwengu huu kwa jinsi ulivyo, in terms of order/intelligence, ni lazima uwe umeumbwa na mungu, then hilo linatueleza kwamba order/intelligence huwa haitikei tu, ni lazima ipangwe/iumbwe.

Kama ni hivyo, mungu aliyeumba ulimwengu yeye ana order/intelligence zaidi ya ulimwengu aliouumba.

Kama ni hivyo, ufafanuzi wako unazalisha swali lingine, ikiwa intelligence/order ninlazima oumbwe na haiwezi kutokea yenyewe (ndiyo maana unasema ulimwengu ni lazima uwe umeumbwa na mungu, na hauwezi kiwa umetokea wenyewe tu) je huyo mungu aliyeumba ulimwengu na mwenye intelligence na order kuliko ukimwengu naye kaumbwa na nani?

Maana kwa mujibu wa kanuni yako inayosema kwamba hakuna order/inyelligence inayoweza kutokea yenyewe tu, ni lazima iwe na muumba, hata mungu wako atahitaji muumba, na muumba wake atahitaji muumba, na muumba wake atahitaji muumba, ad infinitum, ad absurdum.

Unajikuta umemfanya mungu wako kuwa si mungu at all, bali ni a small cog in an infinite machine.

Unaona habari zako zinavyojichanganya na kujipinga zenyewe sasa?

Kwa jusema ulimwengu hauwezi kutokea wenyewr bula kuumbwa na mungu, undirectly umesema hakuna mungu.

Kwa maana mungu utakayemsema kauumba ulimwengu naye atahitaji mungu, na mungu wake atahitaji mungu, ad infinitum, ad absurdum, kama nilivyotaja hapo juu.

Habari ya mungu inajikanganya kwa mara nyingine tena.

Pia unasema ameuumba ulimwengu hivi kwa sababu, na angetaka kuuumba ukimwengu bula maovu angeumba.

Kusema hivi hakujibu swali langu.

Swali langu halikusema kwamba kaumba ilimwengu inaoruhusu maovu bila sababu, limeuliza kwa sababu gani?

Hujajibu swali.

Hujanipa sababu iliyomfanya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwebgu ambao inaruhusu maovu yasiyosemeja wakati alokuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Hujalijibu swali hili.

Nikikuuliza, kwa nini unatembea hivyo? Ukinijibu "kwa sababu", unakuwa hujajibu swali kimantiki.

Kwa sababu hujanipa sababu inayokufanya utembee hivyo.

Ndicho ulichofanya hapa.

Badala ya kunipa sababu iliyomfanya mungu aumbe ulimwengu unaoruhusu uovu, unaniambia kaumba ulimwengu hivyo jwa sababu.

Umekimbia swali, hujajibu swali,

Nipe japo mfano tu ambao ulimwengu pengine unawezapatikana kwa njia tofauti na kutokea tu wenyewe au kuumbwa na mungu?
 
Nipe japo mfano tu ambao ulimwengu pengine unawezapatikana kwa njia tofauti na kutokea tu wenyewe au kuumbwa na mungu?

Let's be focused on whether god created the universe or not.

If you make that claim, then you have to justify it by showing how this universe was created by god.

Which you haven't.

In fact, I have made a logical point that the universe couldn't have been created by god. Which you haven't refuted.

Mimi hata nikishindwa kuonesha njia yoyote ile ambayo ulimwengu umeanza hakuthibitishi kwamba mungu yupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo na kaumba ulimwengu.

Pia, hujajibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa nabuwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
Let's be focused on whether god created the universe or not.

If you make that claim, then you have to justify it by showing how this universe was created by god.

Which you haven't.

In fact, I have made a logical point that the universe couldn't have been created by god. Which you haven't refuted.

Mimi hata nikishindwa kuonesha njia yoyote ile ambayo ulimwengu umeanza hakuthibitishi kwamba mungu yupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo na kaumba ulimwengu.

Mkuu hivi huwa unauliza maswali ili upate kueleweshwa au unauliza kwa kukomoa? Hebu rudia kutizama maswali na maelezo yako ambayo yaliyopelekea mie kukuomba unipe mfano,halafu tizama na ulivyokuja kunijibu.
 
Kinachokushangaza na kukustaajabusha ni nini?

Hapa kama kuna mtu anapost si kwa kutaka kueleweka basi ni wewe.

Maana sehemu ya kusema "nimeshangazwa na majibu yako kwa kuwa hujajibu hiki na hiki, na nilitegemea hivi na vile..." umeacha sintofahamu kwa kunitaka nisome tena kitu ambacho hata baada ya kusoma mara mia siwezi kuingia kichwani mwako na kuona unachofikiri wewe.

Hapo sasa ambaye hataki kueleweka kati yako wewe usiyetaka kueleza unachofikiri na mimi ambaye siwezi kuingia kichwani mwako ni nani?

Bado hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujaeleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
Back
Top Bottom