nijothemaster
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 324
- 56
Mbona jibu nililolitoa la kwamba sijui umeliruka?
anha kumbe haujui kama yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona jibu nililolitoa la kwamba sijui umeliruka?
anha kumbe haujui kama yupo
Hujaelewa na sifikiri kwamba unaweza kuelewa kirahisi nilichoandika.
Which solidifies my point that you are not qualified to chip in in this debate.
Unaweza kuniambia ulichoelewa ni nini ?
Kwa hiyo angeumba ulimwengu huo, huyo mungu muweza yote angeshindwa kykufanya uamini kwamba yupo?
Mungu wenu sio tu hayupo, kimantiki hawezekaniki kuwepo kwa sababu anajipinga yeye mwenyewe.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?
Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.
Kiranga, huyu jamaa anaweza kua ni ishmael yule mwehu uliyempiga ban either kwa ujuha tu au kwa kua level yake ya kuelewa ni ndogo au kama ulivyosema cognitive dissionance......
ninachoshukuru sasa ivi kwa hawa watu ni kwamba hamna tena apa anayekuja na ushahid wa uwepo wa mungu ni blah blah tu!!! mungu wao all powerful, all knowing all wise all loving hataki kujitokeza kujidhirisha ili tujue kweli yupo??? hataki au he doesnt care???
wanatukuza kitu wasichoweza hata kukielezea kwa mistari michache yenye kuleta maana!!!
Mungu hawezekani kuwepo kwa sababu anajipinga????
Idea ya juwapo jwa mungu inajopinga yenyewe kama isea ya "pembetatu duara" katika Euclidean geometry.
Mungu hayupo na ninwa kufikirika zaidi kama "pembetatu duara".
Pembetatu duara haiwezi kuwepo kwa sababu idea yake ina contradiction, inajipinga yenyewe. Kitu kikiwa pembetatu hakiwezi kuwa duara, na kikiwa duara hakiwezi kuwa pembetatu.
Vivyo hivyo, mungu mwenye iwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (let's call that "a" ) ambaye pia kaumba ulimwengu huu na kautawala tangu mwanzo (b) hawezi juwepo kwa sababu a and b are contradictory.
Mungu mwenye a hawezi kuumba b.
B ipo tunaiona.
Hivyo convlusuon jibkwamba huyo mungu hayupo, angekiwepo tusingeona b.
Hehe..nakumbuka uliwahi kusema kwamba ili tuseme kwamba kajipinga inabidi ithibitike kwanza kama yupo,maana kisichokuwepo hakiwezi kujipinga. Lakini nashangaa leo unaposema mungu hawezi kuwepo kwa sababu anajipinga.
Swala la kujipinga na kitu kutokuwezekana kuwepo ni vitu viwili tofauti.
Naomba urudie tafsiri ya kujipinga halafu tuone kweli "pembetatu duara" inasifa za kujipinga?
ukiumia, ukilala njaa, hata ukifa bado wewe/nafsiyako. Ni mali yake tu' hana hasara. Ilimradi ametoa muongozo wa jinsi ya kuishi maisha mazuri/ anayotaka watu waishi. Ukiishi kinyume na apendavo au ukaishi yeye apendavo. Bado binadamu yupo kwenye mtihani tu! matatizo/ raha unazopata ni kitu kingine cha kukukumbusha uwepo wake.
Neno langu la kwanza katika jibu ulilolinukuu ni "idea". Ama hujulielewa ama una cognitive dissonance kubwa tu inayokufanya ujifanye hujalielewa. Either way it is pitiful.
Nimesema kwa makusudi kabisa kwamba idea inajipinga, rudia kusoma.
Nimesema pia kwamba idea ya pembetatu mviringo inawezekana kuwapo bila kuwezekana kuwapo kwa pembetatu mviringo yenyewe, kwa kuwa idea inajipinga na pembetatu haiwezi kuwa mviringo na mviringo hauwezi kuwa pembetatu.
Ushaelewa tofauti ya idea ya mungu wako kujipinga na mungu kujipinga?
Mungu hawezi kujipinga, kwa sababu hayupo. Ukiona sehemu ninaandika "mungu wako anajipinga" the meaning ni kwamba hiyo idea ya mungu wako inajipinga kama vile "pembetatu mviringo".
Chukua mfano wa Masikini na Tajiri. Tutakapo mkuta masikini anaishi nyumba ambayo ni mbaya hatutoshangaa kwa sababu tunajua ni masikini hivyo hana UWEZO wa kujenga nyumba nzuri.
Lakini tukimkuta tajiri anaishi nyumba mbaya,hili litatushangaza kwa sababu tunajua UWEZO wa kujenga nyumba nzuri anao kwa sababu ni tajiri.
Lakini hata hivyo huyo tajiri kutokujenga nyumba nzuri haimfanyi kuwa si tajiri sababu anaishi nyumba mbaya na uwezo wa kujenga nyumba nzuri anao.
Sasa Mungu anaposema ana uwezo wote na upendo halafu wewe unapoona dunia ina maovu kwanini ukurupuke na kusema hakuna Mungu?
Chukua mfano wa Masikini na Tajiri. Tutakapo mkuta masikini anaishi nyumba ambayo ni mbaya hatutoshangaa kwa sababu tunajua ni masikini hivyo hana UWEZO wa kujenga nyumba nzuri.
Lakini tukimkuta tajiri anaishi nyumba mbaya,hili litatushangaza kwa sababu tunajua UWEZO wa kujenga nyumba nzuri anao kwa sababu ni tajiri.
Lakini hata hivyo huyo tajiri kutokujenga nyumba nzuri haimfanyi kuwa si tajiri sababu anaishi nyumba mbaya na uwezo wa kujenga nyumba nzuri anao.
Sasa Mungu anaposema ana uwezo wote na upendo halafu wewe unapoona dunia ina maovu kwanini ukurupuke na kusema hakuna Mungu?
mkuu Kiranga huo ulimwengu ambao hauna mabaya na una mazuri tu upo lakin sio huu wa hapa duniani..kuna mahali nilikunote umeandika kuwa kama kweli yupo angeweza kuumba VYOVYOTE ALIVYOTAKA ..sasa hapo kwenye vyovyote alivotaka ndo kataka dunia sasa iwe hivi..alafu sayari zingine ziwe vile zilivyo..kuuuubwa halafu hazina viumbe...akataka jua liwe limesimama na sayari zinaliznguka.binadamu aende chooni,wewe uwe binadamu na sio nguruwe,.ndo kataka hvo na hataki kupangiwa...jaribu kusoma pia na qurani amebainisha mambo mengi sana mule..kwamba yeye ndo aliiumba dunia na ameiponda sana kuwa si lolote si chochote kaiweka kama bosheni tu na kaahidi kuwapa ulimwengu huo unaofikiria wewe wale wateule wake.
...najua wewe ni msomi mzuri utasoma na kuelewa
hayajui mamlaka huyo,..
Sawa.
Unaweza kuwa na tajiri ana uwezo wa kuwa na nyumba nzuri lakini haishi katika nyumba nzuri.
Rais anayemaliza muda wake wa Uruguay Jose Mujica anaendesha ki Volkswagen Beetle na kupenda maisha ya chini.
Analipwa $ 12,000 kwa mwezi, lakini anatoa sadaka asilimia 90 ya mshahara wake.
Sababu yake ya kufanya hivyo ni kwamba yeye anataka kuishi maisha ya kawaida kama raia wa kawaida wa Uruguay. Anaamini katika usawa wa binadamu na hataki tais awe na maisha tofauti sana na wananchi wake. Ameahawahi kitoa maneno kwamba angependa kuona marais wote wa dunia wanaishi kama wananchi wao wa kawaida.
Kwa hiyo huyu tais kwa atandards za mtu wa kawaida wa Uruguay ni tajiri, lakini anaishi maisha ya kawaida.
Na katoa sababu zake, nzuri tu, kaeleweka kwa nini kaishi maisha ya kawaida.
Maelezo yake hayana major contradiction.
Mungu wenu hamuwezi kumuelezea kwa nini alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu usio na mabaya, lakini hakuumba ulimwengu huo?
Hapa nilichofanya ni kwamba nimekuuliza swali hili, na wewe inajibu kwa kusema "mungu kaamua tu kuumba hivyo ingawa alikuwa na uwezo wa kuumba vingine".
For the sake of argument, hilo si jibu la swali langu.
For the sake of argument, nimekubali kwamba OK, mungu kaumba ulimwengu huu kama ulivyo. Hili si jambo ambalo nataka kuli challenge.
Nilichouliza, ambacho mpaka sasa hujakijibu, ni kwamba, kwa nini mungu kauumba ulimwengu huu na sio ule ambao hauna uwezekano wa mabaya?
Ukinijibu kwamba mungu alikuwa/ ana iwezo wa kuumba ulimwengu usio na mabaya lakini hakuamua tu kuumba ulimwengu huo, bado hujajibu swali langu la kwa nini kaamua kuumba ulimwengu huu na sio ule.
Hujajibu ulichoulizwa, na ulichojibu hujaulizwa.
kama mungu yupo, basi dini zinakosea sana kuelezea jinsi alivyo na tabia zake...