kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
kwa hiyo ndio unasema yesu ni mungu...? si ndio?Tulifundishwa kanisani kuwa Yesu ni sehemu ya utatu mtakatifu ni Mungu mwana john 1:18 hivyo aliamua kuacha enzi na utukfu kuja kuokoa watu wake nazani umenipata mkuu.