COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Tulifundishwa kanisani kuwa Yesu ni sehemu ya utatu mtakatifu ni Mungu mwana john 1:18 hivyo aliamua kuacha enzi na utukfu kuja kuokoa watu wake nazani umenipata mkuu.
kwa hiyo ndio unasema yesu ni mungu...? si ndio?
 
Unamasikio lkn hausikii unamacho lkn hauoni....low iq low thinking capacity....huwezi kuelewi ndo uwezo wako umeishia hapo......

Nimeomba uthibitisho kwamba mungu yupo.

Hujanipa uthibitisho umeleta vitu tofauti kabisa.

Kati yangu niliyeomba uthibitisho na wewe ambaye hujanipa ila umekuja na vitu tofauti nani haoni wala kusikia?

Wewe unayeamini mungu kwa sababu ya non sequitur na usiyeijua contradiction unapoiona na mimi ninayekuonyesha hizo contradictions na non sequitur ambazo mpaka sasa hujaweza kuzitengua, nani ana low IQ ?
 
Je,mfano angeumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ndiyo ingekuwaje?

Angekuwa hajapingana na hizo tabia anazosemwa kuwa nazo za kuwa na ujuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote.

Hakuna sababu ya kimantiki ya mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote kuunba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Kuna kila sababu ya kimantiki kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Ulimwengu tunaouona mabaya yanawezekana.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Umeelewa?
 
Nimeomba uthibitisho kwamba mungu yupo.

Hujanipa uthibitisho umeleta vitu tofauti kabisa.

Kati yangu niliyeomba uthibitisho na wewe ambaye hujanipa ila umekuja na vitu tofauti nani haoni wala kusikia?

Wewe unayeamini mungu kwa sababu ya non sequitur na usiyeijua contradiction unapoiona na mimi ninayekuonyesha hizo contradictions na non sequitur ambazo mpaka sasa hujaweza kuzitengua, nani ana low IQ ?

naweza sema ni ww ndo mwenye low IQ...maana unacho amini MUNGU hayupo ni non sequitur na kina contradiction nyingi ambazo hujaweza kuelezea hata kwa mistari mitano, bora yangu mm nimekuelezea kadri ya uwezo wangu....
 
Angekuwa hajapingana na hizo tabia anazosemwa kuwa nazo za kuwa na ujuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote.

Hakuna sababu ya kimantiki ya mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote kuunba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Kuna kila sababu ya kimantiki kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Ulimwengu tunaouona mabaya yanawezekana.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Umeelewa?

kiranga uwezo wake huujui,upendo wake huujui,ujuzi wake huujui,hata yy mwenyewe humjui..ndomana unauelezea kushoto kabisa......
 
Hahahahaaa......

Mkuu,nilijua tu mtafikia huku,jamaa anapenda ligi balaa,hana haja ya kujifunza na kuelewa yeye yupo hapa kupinga tu

Ukimjibu anarudia kitu kile kile
Shy land njoo ushuhudie jamaa yako mpenda ligi huku

Huwezi kusema napenda ligi ikiwa kuna maswali hujaweza kuyajibu kimantiki.

Ukisema hivyo, wewe ndiye utakuwa unapenda ligi na kusema wengine wanapenda ligi ni kile wanasaikolojia wanachokiita "projection" yako ya tabia zako kwa wengine.

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujaeleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na kila uwezo, upendo, ujuzi na sababu za kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Nikiukiza maswali haya ambayo hamjayapatia majibu unasema napenda ligi?

Anayependa ligi ni nani hapa?

Mimi ninayeuliza maswali ambayo hamjayajibu au nyie ambao hamjajibu maswali na bamkubali kwamba hamuwezi kuyajibu?
 
Last edited by a moderator:
Angekuwa hajapingana na hizo tabia anazosemwa kuwa nazo za kuwa na ujuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote.

Hakuna sababu ya kimantiki ya mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote kuunba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Kuna kila sababu ya kimantiki kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Ulimwengu tunaouona mabaya yanawezekana.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Umeelewa?

Hebu katizame maana ya sifa hizi zifuatazo halafu uje uniambia kuwa pia zingeleta maana kwa jinsi unavyoona wewe ulimwengu ulitakiwa uwe.

Al-mutaqimu.
Al-afuwwu.
Ad-dhaarru.
Al-mumiitu.
Al-khaafidhu.
 
naweza sema ni ww ndo mwenye low IQ...maana unacho amini MUNGU hayupo ni non sequitur na kina contradiction nyingi ambazo hujaweza kuelezea hata kwa mistari mitano, bora yangu mm nimekuelezea kadri ya uwezo wangu....

Kwanza kabisa nipe maana ya non sequitur na contradiction.

Halafu nioneshe non sequitur yangu iko wapi na contradiction niliyoiandika iko wapi.

Isije kuwa una parrot ninachosema na kunirudishia mimi hata bila ya kuelewa maana yake.
 
Hahahahaaa......

Mkuu,nilijua tu mtafikia huku,jamaa anapenda ligi balaa,hana haja ya kujifunza na kuelewa yeye yupo hapa kupinga tu

Ukimjibu anarudia kitu kile kile

Shy land njoo ushuhudie jamaa yako mpenda ligi huku

Eiyer kama hauna mda wa kufanya mengine fungua hii thread hafu utake kujadili na huyu jamaa

yaani huyu ndugu yangu tatizo lake munakotoka anajifaya haelewi kabsa yaani yote mulioyajandili nyuma jamaa yote kashauyasau nakuwa kama mumeaza upya kabisa mujadala. na chakushagaza maswali ni mawili tu, yakuthitisha na kuhoji upendo wa MUNGU.
 
Last edited by a moderator:
Hebu katizame maana ya sifa hizi zifuatazo halafu uje uniambia kuwa pia zingeleta maana kwa jinsi unavyoona wewe ulimwengu ulitakiwa uwe.

Al-mutaqimu.
Al-afuwwu.
Ad-dhaarru.
Al-mumiitu.
Al-khaafidhu.

Hoja sio kutazama sifa hizo nyingine, hoja ni sifa nilizozitaja.

Ukishasema mungu ana mapenzi yote, uwezo wote na ujuzi qote wa kumlisha kiumbe wake, huwezi kutegemea mungu huyo kumlaza kiumbe na njaa au kumuacha kiumbe huyo apatwe na ukame na njaa.

Kwa nini mungu mwwnye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Eiyer kama hauna mda wa kufanya mengine fungua hii thread hafu utake kujadili na huyu jamaa

yaani huyu ndugu yangu tatizo lake munakotoka anajifaya haelewi kabsa yaani yote mulioyajandili nyuma jamaa yote kashauyasau nakuwa kama mumeaza upya kabisa mujadala. na chakushagaza maswali ni mawili tu, yakuthitisha na kuhoji upendo wa MUNGU.

Kipi najifanya sielewi?

Kati yangu mimi ambaye unanituhumu kijumla jumla bila urari kwamba najifanya sielewi, na wewe nikiyekuuliza swali dogo la kimantiki mara karibu elfu moja ambalo hujaweza kuondoa contradiction yake wala kuthibitisha kwamba mungu yupo, nani anajifanya haelewi?

Hujanijibu swali kimantiki kiasi cha kuondoa contradiction ya mungu wenu.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wite na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na kika uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kusema napenda ligi ikiwa kuna maswali hujaweza kuyajibu kimantiki.

Ukisema hivyo, wewe ndiye utakuwa unapenda ligi na kusema wengine wanapenda ligi ni kile wanasaikolojia wanachokiita "projection" yako ya tabia zako kwa wengine.

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujaeleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na kila uwezo, upendo, ujuzi na sababu za kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Nikiukiza maswali haya ambayo hamjayapatia majibu unasema napenda ligi?

Anayependa ligi ni nani hapa?

Mimi ninayeuliza maswali ambayo hamjayajibu au nyie ambao hamjajibu maswali na bamkubali kwamba hamuwezi kuyajibu?

Ili swali lilwe limejibiwa sio hadi wewe ukubali kwasababu inawezekana una matatizo ya kuelewa

Swali lako nilishalijibu siku nyingi huko lakini bado unasema halijajibiwa

Inawezekana hutaki jibu unataka ligi,au inawezekana hutaki jibu unataka kinyume chake,tutakusaidiaje?

Hatuwezi kuwa wapenda ligi kama wewe na ndio maana kuna idadi ya wadau hapa tena idadi ya kutosha ambao wameona tatizo lako hili,kuna haja gani ya kuendelea na ligi?
 
Suala sio kijibu swali tu, kuna kujibu swali mradi umejibu tu, halafu kuna kujibu ulichoulizwa kikamilifu.

Hujaondoa hiyo contradiction.

Kama umeweza kujibu kwa kuondoa hiyo contradiction nipe post number au rudia jibu hapa.

Pia hujathibitisha kwamba mungu yupo.
 
Eiyer kama hauna mda wa kufanya mengine fungua hii thread hafu utake kujadili na huyu jamaa

yaani huyu ndugu yangu tatizo lake munakotoka anajifaya haelewi kabsa yaani yote mulioyajandili nyuma jamaa yote kashauyasau nakuwa kama mumeaza upya kabisa mujadala. na chakushagaza maswali ni mawili tu, yakuthitisha na kuhoji upendo wa MUNGU.
Jamaa anasumbuliwa na denial ...

Uwepo wa Mungu alishapewa ushahidi
La Upendo alishajibiwa ...

Ukijadili nae anakuwa anarudia kitu kile kile tuu mara zote,sasa mwenye muda wa kijinga hivyo nani?

Tunamuacha mwenyewe tu!
 
Suala sio kijibu swali tu, kuna kujibu swali mradi umejibu tu, halafu kuna kujibu ulichoulizwa kikamilifu.

Hujaondoa hiyo contradiction.

Kama umeweza kujibu kwa kuondoa hiyo contradiction nipe post number au rudia jibu hapa.

Hakuna madai yako ambayo ni mapya au yenye mtazamo mpya yote ni yale yale na ulishajibiwa

Nimekuambia sio hadi wewe ukubali ndio liwe jibu sahihi kwasababu inawezekana ubongo wako una "dameji"

Hatuwezi kuiga tabia yako ya kupenda ubishi!
 
Jamaa anasumbuliwa na denial ...

Uwepo wa Mungu alishapewa ushahidi
La Upendo alishajibiwa ...

Ukijadili nae anakuwa anarudia kitu kile kile tuu mara zote,sasa mwenye muda wa kijinga hivyo nani?

Tunamuacha mwenyewe tu!

Huyu jamaa anawezana na UHURU JR.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anasumbuliwa na denial ...

Uwepo wa Mungu alishapewa ushahidi
La Upendo alishajibiwa ...

Ukijadili nae anakuwa anarudia kitu kile kile tuu mara zote,sasa mwenye muda wa kijinga hivyo nani?

Tunamuacha mwenyewe tu!

Denial mnayo nyie ambao mna deny kwamba kuna vitu hamjui.

Mkifika kwenye vitu ambavyo hamjui, mnashindwa kukubali kwamba hamjui, mnampachika mungu ambaye hata hanumuelewi kiasi cha kuweza kumuelezea vizuri.

Ndipo hapo mnapokuja na majibu kama "mungu kaamua mwenyewe tu".

Nyie ndiyo mna denial mna deny kwamba kuna vitu hamjui. Mnampachika mungu kama jibu rahisi kwa maswali magumu ambayo hamna majibu yake.

Nimekuomba unipe post number ulipotoa majibu.

Hujanipa.
 
Hakuna madai yako ambayo ni mapya au yenye mtazamo mpya yote ni yale yale na ulishajibiwa

Nimekuambia sio hadi wewe ukubali ndio liwe jibu sahihi kwasababu inawezekana ubongo wako una "dameji"

Hatuwezi kuiga tabia yako ya kupenda ubishi!

Siwezi kukupa hoja mpya wakati ya awali hujaijibu.

Nina hoja kibao za kujadili na mtu anayeweza kunionesha ana uwezo wa kuzijadili, au angalau kamsoma Anselm, Augustine, Russell, Mbiti etc.

Lakini kama hamjaweza kusoma a,e,i,o,u kutaka kijadili Kantian philosophy ni kama kumfundisha mbuzi kupiga gitaa.

Halafu huwezi kusema huwezi kuiga tabia yangu ya kupenda ubishi huku unaendelea kunibishia.

That is as much a contradiction as saying mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kaumba ulimwengu huu wenye mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Inaonekana contradiction ipo katika damu yako.
 
Kwanza unapohoji Mungu mwenye uwezo wote aumbe dunia ambayo baadhi ya mambo yasuwezekane huko ni kujikinza labda huyo mungu awe hawezi yote

Lakini pia,huko hayo yanayowezekanakutokea ni ushahidi wa upendo wake mkuu kwasababu ameumba ulimwengu ambao yoyote akitaka chochote anapata,lakini pia tusisahau pia kumpatia kila mmoja wetu kile ambacho anakihitaji ni upendo pia

Wakati Mungu amemaliza kumuumba binadamu kwenye uimwengu ambao kila kitu kwa maaya ya mema na mabaya yanawezekana alimuambia binadamu huyo fauda na madhara ya uchaguzi wake kwani atakachochagua kuna malipo ambayo ni stahili au ni haki yake ya msingi na tukumbuke kuwa moja kati ya kanuni za upendo ni kumpatia kila mmoja wetu kile ambacho anakitaka,hivyo kuchagua nako ni matokeo ya upendo na hata kuwepo kwa uchaguzi nako ni matokeo ya upendo

Mamlaka ya mabaya kuwepo [sio kuwezekana] yalikuwa mikononi mwa binadamu kwani yeye ndie alikuwa mwamuzi na mamlaka hayo alipewa na Mungu,

Kiranga soma hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom