Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Ni kweli kuna vitu sivijui wala hujakoseaDenial mnayo nyie ambao mna deny kwamba kuna vitu hamjui.
Inawezekana siwezi kumjua Mungu kwasababu sina uwezo huo,lakini naweza kujua mambo ambayo yanaweza kunionesha kwamba yupo lakini pia najua mambo yanayomhusu Mungu ambayo yameniongoza kujibu maswali yako yoteMkifika kwenye vitu ambavyo hamjui, mnashindwa kukubali kwamba hamjui, mnampachika mungu ambaye hata hanumuelewi kiasi cha kuweza kumuelezea vizuri.
Sijapata kukujibu hivyo mahali popote,labda uwe unaota ....Ndipo hapo mnapokuja na majibu kama "mungu kaamua mwenyewe tu".
Nishakuambia kwamba sikatai kwamba kuna vitu sijui nashangaa unaendela tu kulalamaNyie ndiyo mna denial mna deny kwamba kuna vitu hamjui. Mnampachika mungu kama jibu rahisi kwa maswali magumu ambayo hamna majibu yake.
Hatujampachika Mungu majibu rahisi labda huyo Mungu ni wa kwako wewe na sio ninaemjua mimi kwasababu hakuna mwenye uwezo huo
Sikupi na sina haja ya kufanya hivyo kwasababu nilishafanya hivyo zaidi ya mara tano na haikusaidia,tena hili nilianza kulifanya mwaka juzi huko kwenye uzi wa GAZETI na hukuelewa,kitu gani kikufanye uelewe leo?Nimekuomba unipe post number ulipotoa majibu.
Hujanipa.
Denial itakumaliza wewe ....
CC: Ishmael .....!!
Last edited by a moderator: