Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sijaona ulipokatazwa.
Unajuaje kwamba mimi ndiye wa kupata kuelewa na si wewe?
Wewe unasema kuwa idea ya Mungu inajipinga, kwa sababu mungu anasema ana sifa ya upendo na huku kaumba ulimwengu ambao maovu
yanawezekana,kwahiyo ukahitimisha kuwa hakuna mungu kwa hoja yako hiyo kirahisi kabisa. Sasa kutokana na hilo hitimisho lako ndiyo nikakupa mfano wa mtu
ambaye anajisifu kwa usafi,ila siku
alipokupeleka ktk nyumba ambayo
huwa anasema ni yake ukaikuta ni
chafu. Sasa kwa tukio kama hilo ambalo pia haiwezekani mtu kuwa
msafi na akawa na nyumba ambayo chafu hivyo ni kujipinga,kwa hivyo uhitimishe kuwa huyo jamaa si msafi na wala nyumba si yake. Sasa hivyo ndivyo ambavyo kama wewe ufanyavyo kwa kuoenesha kuwa et idea ya mungu inajipinga na kuhitimisha kuwa hakuna mungu. Si ndivyo??