COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Hayo yote ya uweza wote na ujuzi wa Mungu nayajua,lakini sijaona ukieleza ni vp iwe kwa huyo mtu tu ndiyo iwe inawezekana kuwa na moja ktk mawili yasioendana(usafi na nyumba chafu).

Kwa sababu huyo mtu kuwa haiwezekani kuwa na sifa ya usafi halafu akawa na nyumba, si kwamba hana ujuzi wote na uwezo wote.

Kama nilivyosema mwanzo, unataka kujadili vitu vikivyokuzidi kimo, hapo ndipo tatizo lako linapoanzia.

Twende polepole.

Kwanza kabisa sijaonhelea popote mtu kuwa na ujuzi wote na uwezo wote.

Sijui hilo unalitoa wapi.

Nilichoandika hapa ninkwamba, mungu, narudia, mungu -si mtu, mungu, soma tena, mungu, si mtu- mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye pia kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana, hayupo. Kwa sababu hayo mawili (mungu mwenye uwezo, ujuzi na upendo wote kwa upande mmoja, na ambaye kaumba ulimwengu huu unaowezekana mabaya hata pale alipokuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani) yanapingana kama moelekeo ya pande mbili za shilingi, yote kuwezekana pamoja ni sawasawa na mtu kurusha shilingu juu halafu iangukie kwa pande zote mbili kuangalia juu.

That is two mutually exclusive events happenning at once!

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na sababu zote za kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Hakuna niliposema kwamba umesema kuwa huyo mtu ana ujuzi wote na uwezo wote. Nilichoeleza ni kwamba kwanini huyo mtu aliyesema kuwa ni msafi na kuwa na nyumba chafu,kwanini yeye iwezekane kupata moja kati ya hayo mambo(usafi na nyumba chafu) mawili ambayo hujipinga? Lakini kwa Mungu umehitimisha kabisa kuwa hayupo kabisa moja kwa moja?

Wewe umejibu kwa sababu Mungu ana ujuzi wote na uwezo wote. Ndipo nikasema kuwa sijaona nilichotaka kujua kuhusu neno "ama" kutumika kwa huyo mtu tu ila kwa Mungu halitumiki.

Soma vizuri utaelewa
 
Mtu msafi mwenye nyumba chafu hawezi kuwapo, tukubaliane hilo kwanza.

Mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na upendo usio mwisho ambaye kaumba ulimwengu huu ambao una uovu licha ya kuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usio na uovu naye hayupo vile vile kama asivyokuwapo myu msafi mwenye nyumba chafu, kwa sababu kuna kujipinga hapo.

Inaonekana kama unataka kurula uchambuzi huu na kurukia mbele kabla hujakubali au kukataa uchambuzi huu kwanza.

Haya mambo yanataka uchambuzi wa kina, tuense ngazi kwa ngazi.

Tukubaliane kwanza kwamba mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu wenye mabaya licha ya kuwa na ywezo wa kiumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani hayupo kwanza.

Ni baada ya kukubaliana hapa tu ndipo tunaweza kuendelea.

Ama sivyo utataka kuanza ku solve simultaneous equation kabla hujakua addition, subtraction, multiplication na division.
 
Hivi unaelewa ulichokiandika? Sasa nikishakubali ndiyo nitakuwa naendelea kujadiliana nini hapa?

Toka mwanzo nilitaka nikwambie kuwa wewe ndiye unaruka unaruka hadi matokeo yake ndiyo hayo unakuja kuniambia nikubaliane kwanza na unachokisema.
 
Nimeruka nini?

Ukisema nimeruka, bila kutaja nilichoruka, wewe ndiye unakuwa umeruka.

Umeruka kutaja nilichoruka.

If you live in a glasshouse, don't throw stones.
 
Tangu uanze kujadili hii mada yakumkana muumba wako umejifunza nini hadi leo.?
 
Muumba wangu hujaweza kumthibitisha kwamba yupo.

Nimejifunza kwamba ujinga wa watu hauna mwisho.

Na ung'ang'anizi wa wasiotaka mantiki hauna kikomo.
 
Nimeruka nini?

Ukisema nimeruka, bila kutaja nilichoruka, wewe ndiye unakuwa umeruka.

Umeruka kutaja nilichoruka.

If you live in a glasshouse, don't throw stones.

Unaruka kuzungumzia hitimisho la mtu na kuzungumzia hitimisho lako kwa Mungu tu.
 
Muumba wangu hujaweza kumthibitisha kwamba yupo.

Nimejifunza kwamba ujinga wa watu hauna mwisho.

Na ung'ang'anizi wa wasiotaka mantiki hauna kikomo.

baada ya kujifunza hayo umepata faida gani katika maisha yako ya kila siku.

na imani yako ni nini? juu ya uwepo wa ulimwengu huu pamoja na viumbe hai vyake.
 
Unaruka kuzungumzia hitimisho la mtu na kuzungumzia hitimisho lako kwa Mungu tu.

Hitimisho la mtu niliongelee mara ngapi?

Sijasema hapa lwamba mtu msafi mwenye nyumba chafu hayupo kwa sababu viwili hivyo vinajipinga?

Hitimisho lipi la mtu ninaloliruka?

Unapoandika weka details tafadhali, ama sivyo unaonekana mvivu wa kufikiri na kuwasiliana.
 
baada ya kujifunza hayo umepata faida gani katika maisha yako ya kila siku.

na imani yako ni nini? juu ya uwepo wa ulimwengu huu pamoja na viumbe hai vyake.

Kwa nini unafikiri mimi natafuta kupata faida na si kutoa faida kwa wengine?

Kwa nini niipe umuhimu imani katika ulimwengu ambao naweza kuchunguza na kujua ukweli gradually?
 
Hitimisho la mtu niliongelee mara ngapi?

Sijasema hapa lwamba mtu msafi mwenye nyumba chafu hayupo kwa sababu viwili hivyo vinajipinga?

Hitimisho lipi la mtu ninaloliruka?

Unapoandika weka details tafadhali, ama sivyo unaonekana mvivu wa kufikiri na kuwasiliana.

Mbona husemi ni kwa nini kwa mtu useme kuwa pengine inawezekana ikawa nyumba yake ila yeye si msafi ama yeye ni msafi ila nyumba si yake?Mbona kwa Mungu hukufanya hivyo?
 
Kwa sababu tunamuongelea mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote na aliyeumba ulimwengu huu.

Kama unakubali kuwa mungu huyu hayupo, na unataka nianze kumpunguza sifa zake na kuanza kujadili mengine, naweza.

Laki ili kufika huko, kwanza kubali mungu huyu niliyemtaja hapo juu hayupo.
 
Mpaka hapo ulipofika teyali umefikia sehemu moja niliyotaka ufike. Ni kwamba maelezo yako yamethibitisha nilichokuwa nikikisema kuwa hoja yako inapinga sifa za Mungu lakini si
ushahidi wa kuhitimisha kuwa hakuna Mungu. Nilisema kwamba
kuna dalili na hoja za kuonesha
uwepo wa Mungu kabla hata ya hizo sifa zake kwanza, ndiyo maana ukiambiwa kuwa kuna watu wanaoamini mungu lakini hawaamini hizi dini huwa unasema kuwa wewe kwanza unamjadili Mungu wa waislamu na wakristo.
Kwa sababu wewe unapingana na sifa za Mungu na si kuthibitisha kuwa hakuna Mungu.

Nilikwambia Hata waislamu na
wakristo ambao wote wanaamini
uwepo wa Mungu, lakini pale wakristo wanaposema Yesu ni Mungu waislamu hukataa jambo hilo kwa kuwa hupingana na sifa za Mungu.

Mi naona nisimamie hapa kwanza
nikupe nafasi, ila napenda
kukumbusha tu kama ulivyosema kuwa hapa tunamuongelea Mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote.
 
thibitisha uwepo wa mungu acha longolongo zisizo na kichwa wala miguu..... labda hauko kwenye uzi sahihi.... huu uzi hata heading yake inataka kujaribu kuthibitisha uwepo wa mungu kama huna uwezo wa kuthibitisha sema sina kaa kimya au soma tu wengine wanaojaribu sio kutujazia server apa!!!
 
Sidhani kama utanipa jibu endapo nikikuuliza suala la Mungu kujipinga limeingia ktk huu uzi?
Ikiwa unasema kwamba huu uzi unahusu kuthibitisha uwepo wa Mungu iweje tena liingie suala la Mungu kujipinga?

Na kama kweli hauelewi basi yawezekana huna uwezo wa kuelewa. Cha kukusaidia ili uweze kuelewa inabidi usiwe upande wowote ktk huu mjadala we fuatilia mjadala tu ukiwa huru.
 
Mpaka hapo ulipofika teyali umefikia sehemu moja niliyotaka ufike. Ni kwamba maelezo yako yamethibitisha nilichokuwa nikikisema kuwa hoja yako inapinga sifa za Mungu lakini si
ushahidi wa kuhitimisha kuwa hakuna Mungu. Nilisema kwamba
kuna dalili na hoja za kuonesha
uwepo wa Mungu kabla hata ya hizo sifa zake kwanza, ndiyo maana ukiambiwa kuwa kuna watu wanaoamini mungu lakini hawaamini hizi dini huwa unasema kuwa wewe kwanza unamjadili Mungu wa waislamu na wakristo.
Kwa sababu wewe unapingana na sifa za Mungu na si kuthibitisha kuwa hakuna Mungu.

Nilikwambia Hata waislamu na
wakristo ambao wote wanaamini
uwepo wa Mungu, lakini pale wakristo wanaposema Yesu ni Mungu waislamu hukataa jambo hilo kwa kuwa hupingana na sifa za Mungu.

Mi naona nisimamie hapa kwanza
nikupe nafasi, ila napenda
kukumbusha tu kama ulivyosema kuwa hapa tunamuongelea Mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote.

Hujakubali wala kukataa kwamba huyo mungu niliyemsema hayupo hayupo.

Unakubali kwamba mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye ameumba ulimwengu huu hayupo?
 
Sidhani kama utanipa jibu endapo nikikuuliza suala la Mungu kujipinga limeingia ktk huu uzi?
Ikiwa unasema kwamba huu uzi unahusu kuthibitisha uwepo wa Mungu iweje tena liingie suala la Mungu kujipinga?

Na kama kweli hauelewi basi yawezekana huna uwezo wa kuelewa. Cha kukusaidia ili uweze kuelewa inabidi usiwe upande wowote ktk huu mjadala we fuatilia mjadala tu ukiwa huru.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu anajipinga kama "pembetatu mviringo" inavyojipinga.

Pembetatu haiwezi kuwa mviringo na mviringo hauwezi kuwa pembetatu.

Vivyo hivyo mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa kaumba ulimwengu huu, na ulimwengu huu hauwezi kuwa umeumbwa na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Unakubali au unakataa?
 
ha ha anyway kina bona na Kiranga kama pembetatu duarahaiwez kuwepo basi tuconclude kuwa kuna pembetatu. pekeyake na wakat huohuo pia kuna duara peke yake..maumbo yooote hayo husaidia katika hesabu za geometry ryt?? haya kwa hyo labda mnaamini kuna mungu wa dizaini flani ambaye ana upendo.nguvu na uwezo wote pia kuna mungu ambaye yeye ana roho mbaya ...ubabe..uuwaji....kuumba mabaya and the alikes ila wote wanafanya kazi katika ulimwengu huu ....mana kuna mabaya na mazuri pia...sasa swali ni kuwa je hawapo kabisa hao waungu..au wapo halafu mission nitofauti?? kama hawapo mambo yooote yanayotokea duniani..mabaya kwa mazuri yanatoka wapi?? nyie hapo mnasimamia wapi??
 
Last edited by a moderator:

Tunaanza kuelewana.

Ngazi kwa ngazi.

Kwanza kabisa tukubaliane kwamba huyu mungu mwenye contradiction hayupo.

Tukimaliza hapo, tunaweza kuendelea zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom