COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu anajipinga kama "pembetatu mviringo" inavyojipinga.

Pembetatu haiwezi kuwa mviringo na mviringo hauwezi kuwa pembetatu.

Vivyo hivyo mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa kaumba ulimwengu huu, na ulimwengu huu hauwezi kuwa umeumbwa na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Unakubali au unakataa?

Nakataa.
 
Hujajibu swali liloulizwa, na kama kuna swali umelijibu, silo uliloulizwa.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, uhuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na kila uwezo na sababu za kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Uthibitisho wa Mungu kwa upandewako umeishia kwenye hilo swali tu.

Na kama kusingelikuwa na mabaya ungesema ilikuwaje Mungu mwenyeuwezo wote ameshindwa kuumba na mabaya.
Ni sawa na mtu ahoji usiku(giza) aseme kwanini Mungu mwenyeuwezo wote na upendo wote asiumbe mchana tu au kwanini asiumbe ulimwengu ambao usiku hauwezekani.

Mungu kaumba VIWILIVIWILI
JIKE NA DUME
GIZA NA MWANGA
MABAYA NA MAZURI N.K
nashangazwa na ufahamuwako kutumia maneno kama pembe tatu duara katika kuonyesha kuwa uthibitisho wa mungu haupo.
Mimi naona hojayako ndio pembetatu duara kwasababu hazina ushahidi kutoka ktk chanzo chochote.
 
Kama kusingekuwa na mabaya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa na contradiction.

Ningeanzia wapi kuhoji kwa nini hakuna mabaya wakati msingi wa mimi kuhoji ni contradiction?

Hivi unaelewa maswali yangu au unayarukia tu?

Na kama mungu kaumba viwili viwili, mbona kwenye muda tunaenda mbele tu, haturudi nyuma?

Na kwa nini aumbe viwili viwili tu, na si vingine?

Una hakika kaumba viwili viwili tu? Mbona kuna pande zaidi ya mbili?
 
Leo usiku 9 ET CNN wana special report kuhusu wakana mungu - Atheists: Inside the World on Non-Believers.

Nimeona snippets kadhaa na mojawapo ni ya pastor mmoja ambaye yuko kwenye 'closet' i.e. ni atheist lakini waumini wake hawajui. Kwenye mahojiano ilibidi waizibe sura yake na kuibadilisha sauti yake ili asigundulike.

Nilipoona hiyo nikakumbuka ulichowahi kusema kuhusu Papa Francis kwamba inawezekana jamaa ni bonge moja la atheist (for which I can see because he appears to be too smart, practical, sensible and realistic to just believe in something that doesn't make sense by most standards) lakini kwa sababu fulani fulani hawezi tu kusema wazi.

Sounds like it's gonna be an interesting program and I intend to watch it.
 
Duh, I was watching the movie "Exodus: Gods And Kings".

I meant to watch this nikasahau, labda watairudia.

Ukisoma sana falsafa ya dini lazima ugundue kwamba huyu mungu wa ukristo na uislamu ni kujiliwaza tu, hayupo.
 
Kama kusingekuwa na mabaya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa na contradiction.

Sasa suala la upendo wote sio sualalangu mimi kama muislam nimeshakukatalia muda mrefu,kwasababu mimi naamini kwamba Mungu huwa anaghadhabu na anahuruma,isipokuwa huruma yake imepita ghadhabu.Mungu anawivu na anaupendo hakuna contradiction yoyote ile yeye yupo kivyotevyote kivyovyote.
Ningeanzia wapi kuhoji kwa nini hakuna mabaya wakati msingi wa mimi kuhoji ni contradiction?

Hivi unaelewa maswali yangu au unayarukia tu?

Na kama mungu kaumba viwili viwili, mbona kwenye muda tunaenda mbele tu, haturudi nyuma?

Na kwa nini aumbe viwili viwili tu, na si vingine?

Una hakika kaumba viwili viwili tu? Mbona kuna pande zaidi ya mbili?

Maswali yako nayaelewa.

Unahoji lakini bado hoja haishiki.

Unauliza muda tunakwenda mbele lakini ukumbuke tumetoka nyuma.

Kaumba viwiliviwili na sivinevyo hakuna hoja ktk kuumba kwake.

Kiranga hakuna pande zaidi ya mbili.
 
Last edited by a moderator:
Kama kusingekuwa na mabaya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa na contradiction.

Sasa suala la upendo wote sio sualalangu mimi kama muislam nimeshakukatalia muda mrefu,kwasababu mimi naamini kwamba Mungu huwa anaghadhabu na anahuruma,isipokuwa huruma yake imepita ghadhabu.Mungu anawivu na anaupendo hakuna contradiction yoyote ile yeye yupo kivyotevyote kivyovyote.

Ningeanzia wapi kuhoji kwa nini hakuna mabaya wakati msingi wa mimi kuhoji ni contradiction?

Hivi unaelewa maswali yangu au unayarukia tu?

Na kama mungu kaumba viwili viwili, mbona kwenye muda tunaenda mbele tu, haturudi nyuma?

Na kwa nini aumbe viwili viwili tu, na si vingine?

Una hakika kaumba viwili viwili tu? Mbona kuna pande zaidi ya mbili?[/QUOTE]

Maswali yako nayaelewa.

Unahoji lakini bado hoja haishiki.

Unauliza muda tunakwenda mbele lakini ukumbuke tumetoka nyuma.unapotaka turudi nyuma na vya nyuma viende mbele sio mantiki.

Pande haziwezi kuzidi mbili.
 
Sasa suala la upendo wote sio sualalangu mimi kama muislam nimeshakukatalia muda mrefu,kwasababu mimi naamini kwamba Mungu huwa anaghadhabu na anahuruma,isipokuwa huruma yake imepita ghadhabu.Mungu anawivu na anaupendo hakuna contradiction yoyote ile yeye yupo kivyotevyote kivyovyote.

Maswali yako nayaelewa.

Unahoji lakini bado hoja haishiki.

Unauliza muda tunakwenda mbele lakini ukumbuke tumetoka nyuma.

Kaumba viwiliviwili na sivinevyo hakuna hoja ktk kuumba kwake.
Kiranga hakuna pande zaidi ya mbili.

Nimekuuliza Quran gani unayosoma ambayo haisemi kuwa mungu ana upendo?

Hata unayajua majina 99 ya Allah na jinsi yanavyocontradict ulimwengu huu?

Allah is supposed to be generous, how could a generous god who knows all and can do anything create a world in which evil is possible while it costs him nothing to create a world in which evil is not possible?

Allah is supposed to be "the loving one", the above applies to this also.

Hayo ni mawili tu katika majina 99 ya Allah. The generous ni jina la 43 na the loving one ni jina la 48

Wewe usiyeyajua majina 99 ya Allah unasoma Quran gani?

Let me find out tusioamini mungu tunaijua Quran yako vizuri kuliko unavyoijua wewe.
 
Hakuna pande zaidi ya mbili? hilarious.

What are you? Zoroastrian?

This is the kind of ignorance I have to deal with.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuuliza Quran gani unayosoma ambayo haisemi kuwa mungu ana upendo?

Hata unayajua majina 99 ya Allah na jinsi yanavyocontradict ulimwengu huu?

Allah is supposed to be generous, how could a generous god who knows all and can do anything create a world in which evil is possible while it costs him nothing to create a world in which evil is not possible?

Allah is supposed to be "the loving one", the above applies to this also.

Hayo ni mawili tu katika majina 99 ya Allah. The generous ni jina la 43 na the loving one ni jina la 48

Wewe usiyeyajua majina 99 ya Allah unasoma Quran gani?

Let me find out tusioamini mungu tunaijua Quran yako vizuri kuliko unavyoijua wewe.

We huna hoja kule umenikimbia halafu unakuja huku kusema unaijua Qur'an usinichekeshe Mkuu.

Al-Mutaqimu.
Al-Afuwwu.
Ad-Dhaarru.
Al-Mumiitu.
Al-khaafidhu.

Unapojenga hoja yako dhaifu huku ulipopaingia usiyasahau hayo majina ya Allah.
 
Suala ni, hayo majina mawili niliyoyasema ya "the loving one" na "the generous one" ni kati ya majina 99 ya Allah au si kati ya majina 99 ya huyo character mnayemuita Allah?

Nimekupa mpaka namba za majina hayo.

Hujakanusha, umerukia kwingine.

Majina 99 ya Allah yenyewe yanajipinga, huku unaanbiwa "the loving one", huku unaambiwa "the humiliator".

How can the loving one with limitless powers and knowledge be a humiliator?
 
Ndiyo maana nikakwambia usiyasahau hayo majina pia niliyokupa maana hizo zote ni sifa zake pia. Sasa suala la kwamba zinajipinga au hazijipingi litaamuliwa na ushahidi wa uwepo wake au ushahidi wa kutokuwepo kwake.
 
Tunaanza kuelewana.

Ngazi kwa ngazi.

Kwanza kabisa tukubaliane kwamba huyu mungu mwenye contradiction hayupo.

Tukimaliza hapo, tunaweza kuendelea zaidi.

lengo langu kutaka kujua mnakubali ile idea kuwa kuna nguvu za ajabu zinazocontrol ulimwengu?? ambazo wengine ndo tunaziita Mungu?? bila kujali idadi yake ni wangapi.... au hii concept ya uungu hamuikubali??
 
Nimekuuliza Quran gani unayosoma ambayo haisemi kuwa mungu ana upendo?

Hata unayajua majina 99 ya Allah na jinsi yanavyocontradict ulimwengu huu?

Allah is supposed to be generous, how could a generous god who knows all and can do anything create a world in which evil is possible while it costs him nothing to create a world in which evil is not possible?

Allah is supposed to be

Let me find out tusioamini mungu tunaijua Quran yako vizuri kuliko unavyoijua wewe.

Surat lmulk 67:2 Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mshindi na Mwenye msamaha.

Tazama hio aya mwanzo utajwa umauti kisha ukatajwa uhai.
Tazama tena hio aya mwisho ametajwa Mshindi na Mwenye msamaha
Hitimi ni kwamba Mshindi inasimama badala ya mauti na Mwenye msamaha inasimamia uhai.na hivi ndivyo aya hii ilivyotafsiriwa.

Lakini ktk hayo yote hatupaswi kufedheheka kwasababu kusudio ni kujaribiwa.
Huku unapoingia utapoteza mwelekeo Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nikakwambia usiyasahau hayo majina pia niliyokupa maana hizo zote ni sifa zake pia. Sasa suala la kwamba zinajipinga au hazijipingi litaamuliwa na ushahidi wa uwepo wake au ushahidi wa kutokuwepo kwake.

Mungu wako akiwa na majina mazuri 98, halafu la 99 likawa "muuaji", huwezi kutumia yale 98 kumtetea kwamba si muuaji.

Mimi sina matatizo na hayo majina mengine.

Umeaema mungu wako si wa upendo.

Nimekuonesha wapi kwenye Quran wamesema mungu wako ni wa upendo.

Unabisha kwamba Quran haijasema mungu wako ni wa upendo?
 
Surat lmulk 67:2 Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mshindi na Mwenye msamaha.

Tazama hio aya mwanzo utajwa umauti kisha ukatajwa uhai.
Tazama tena hio aya mwisho ametajwa Mshindi na Mwenye msamaha
Hitimi ni kwamba Mshindi inasimama badala ya mauti na Mwenye msamaha inasimamia uhai.na hivi ndivyo aya hii ilivyotafsiriwa.

Lakini ktk hayo yote hatupaswi kufedheheka kwasababu kusudio ni kujaribiwa.
Huku unapoingia utapoteza mwelekeo Kiranga.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote awe na haja ya kutujaribu viumbe wake dhaifu?

Kama mungu anahitaji kutujaribu ili ajue ni nani mwenye vitendo vizuri zaidi, ina maana bila kutujaribu hajui?

Kama bila kutujaribu hajui, kweli huyu ni mungu mjuzi wa yote?

Kama anajua hata bila ya kutujaribu, kwa nini anatujaribu?
 
Last edited by a moderator:
lengo langu kutaka kujua mnakubali ile idea kuwa kuna nguvu za ajabu zinazocontrol ulimwengu?? ambazo wengine ndo tunaziita Mungu?? bila kujali idadi yake ni wangapi.... au hii concept ya uungu hamuikubali??

"Nguvu za ajabu" ni a vague statement.

Hata gravity ni nguvu ya ajabu inayocontrol ulimwengu.

Sasa unaposema "nguvu ya ajabu" ni muhumu kufafanua inamaanisha nini.

Ni muhimu kutueleza, kwa mfano, kwa mujibu wako, ajabu ni nini?
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote awe na haja ya kutujaribu viumbe wake dhaifu?

Suala la yeye kutupima sisi alimpunguzii uwezo wa ujuzi wake wala halimuongezei,lakini yeye amekupa akili ya kukabiliana na majaribu husika,kumbuka MwenyeziMungu hakupi mtihani ambao upo nje ya uwezo wako.

Kama mungu anahitaji kutujaribu ili ajue ni nani mwenye vitendo vizuri zaidi, ina maana bila kutujaribu hajui?

La hasha! anajua yaliopo yaliopita na yajayo.anajua yaliofanyika na yale ambayo hayakufanyika na hatakama yangefanyika yangekuwaje.

Kama bila kutujaribu hajui, kweli huyu ni mungu mjuzi wa yote?

Kama anajua hata bila ya kutujaribu, kwa nini anatujaribu?

Kwanini anatujaribu?
Swali ambalo uliliuliza mwanzo na nilikupa jibu kwamba unawezaje kufaulu bila ya kufanya mtihani.na kama baya litakuja kama adhabu labda wewe unawezaje kumlea mtoto wako nyumbani bila KIBOKO au KUMFOKEA.

Ndio maana akaitwa MOLA yaani mlezi.
 
Suala la yeye kutupima sisi alimpunguzii uwezo wa ujuzi wake wala halimuongezei,lakini yeye amekupa akili ya kukabiliana na majaribu husika,kumbuka MwenyeziMungu hakupi mtihani ambao upo nje ya uwezo wako.

La hasha! anajua yaliopo yaliopita na yajayo.anajua yaliofanyika na yale ambayo hayakufanyika na hatakama yangefanyika yangekuwaje.

Kwanini anatujaribu?
Swali ambalo uliliuliza mwanzo na nilikupa jibu kwamba unawezaje kufaulu bila ya kufanya mtihani.na kama baya litakuja kama adhabu labda wewe unawezaje kumlea mtoto wako nyumbani bila KIBOKO au KUMFOKEA.

Ndio maana akaitwa MOLA yaani mlezi.

Hujajibu swali la kwa nini mungu anatujaribu viumbe wake dhaifu wakati anajua kila kitu?

Kwa nini mungu anahitaji kutupa mtihani ili kujua kama tutafaulu ama la kama mungu huyu anajua kila kitu?

Mwalimu wa sekondari akitoa mtihani ili kujua wanafunzi wake wameelewa nini na wana uwezo gani nitaelewa, kwa sababu inawezekana mwalimu anataka kujua uwezo wa wanafunzi wake na hana namna ya kujua hilo nje ya mtihani.

Mungu anayejua yote na kuweza yote kwa nini atupe mtihani?
 
Mungu wako akiwa na majina mazuri 98, halafu la 99 likawa "muuaji", huwezi kutumia yale 98 kumtetea kwamba si muuaji.

Mimi sina matatizo na hayo majina mengine.

Umeaema mungu wako si wa upendo.

Nimekuonesha wapi kwenye Quran wamesema mungu wako ni wa upendo.

Unabisha kwamba Quran haijasema mungu wako ni wa upendo?

We mbona unachekesha! Wapi niliposema hivyo?

Mie nimekwambia hizo zote ni sifa zake. We vp mkuu hebu onyesha niliposema hayo uliyosema.
 
Back
Top Bottom