Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu anajipinga kama "pembetatu mviringo" inavyojipinga.
Pembetatu haiwezi kuwa mviringo na mviringo hauwezi kuwa pembetatu.
Vivyo hivyo mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa kaumba ulimwengu huu, na ulimwengu huu hauwezi kuwa umeumbwa na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Unakubali au unakataa?
Nakataa.