COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Mungu yupo kimacho nifanya niamin haya..Ni the way Ulimwengu ulivyo umbwa katika namna y ajabu nay a kushangaza, Ukiangalia mimea kwa namna zake, wanyama mbalimbali, mito na mabonde, bahari maziwa na mito ilivyotandazwa kwa ustadi wa hali ya juu….huwez ni ambia kwamba vyote hivi vilifanyika bila ya kuwepo Muumbaji nyuma yake, Vitu kama Upepo, Hewa havionekani lakini twajua vipo as tunavifili na kuvisikia…katika hali ya namna hii….Hata kama simuoni huyu Mungu nina mwamini,

Naamini katika Biblia, Inasema katika Isaya, “It is I who made the earth, and created man upon it. I stretched out the heavens with My hands and I ordained all their host. (Isaiah 45:12)” Watu amabao walikuwa hawamwamini Mungu walikuwepo hawakuanza leo na Biblia inawatammbua hapa ina sema. “Only fools say in their Hearts,There is no God.” (Psalm 14:1)

Personal unaweza kumu exppirience Mungu nah ii ndio njia Bora zaidi ya Kuelezwa na watu, hatua za awali ni Mtu kwanza kuamini kwamba Mungu yupo, Biblia pia inagusia kuhusu hili, “Anyone who wants to come to Him must believe that there is a God” (Hebrews 11:6). Na pengine inasema “Mithali 8:17. "Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona"

Kila kilicho complex kinahitaji muumbaji?
 
Mungu ninayemsema hayupo nishaeleza kwa nini hayupo.

Anajipinga mwenyewe kama "pembetatu duara".

Usichoelewa kwamba "pembetatu duara" haipo, na mungu wenu anajipinga mwenyewe kama pembetatu duara ni kipi?

Pembe tatu duara ni kitu ambacho hakiwezekani,sasa sijui umetumia vigezo gani kusema inajipinga(ndiyo maana nakuomba tafsiri yako ya kujipinga ). Usichanganye mambo yasiyowezekana na kujipinga.
 
Hilo si jibu.

Hapo umekubali hujui jibu.

Ukikubali hujui jibu umekubali humuelewi huyo mungu.

Ukikubali humuelewi, huwezi kumuelezea na inawezekana hayupo kabisa, kwa sababu unaamini kitu usichokielewa.

he he haya sasa umeanza kusema inawezekana..hii inatia moyo kuwa bado upo kwenye utafiti ila hujahitimisha kwa maana utafiti bado unaendelea..kuhusu kutomuelewa haina uthibitisho kuwa hayupo kwa maana vipo vitu vingi tu ambavo hatuvielewi lakin vipo...naomba unijibu haya yoote tuyaonayo ulimwenguni na sayari za mbali yamewekwa na nan?? na kwa kusudi gani?? SIJUI ni jibu la mzembe...wewe unaejifanya upeo wako wa kufkiri ni mkubwa utusaidie majibu kututoa katika ujinga tulionao..nasubiri jibu
 
Kati yako wewe ambaye umeshindwa kuthibitisha mungu yupo, umeshindwa kuondoa contradiction ya mungu mwenye uwezo wote na upendo wote kuunba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana na mimi ninayekuuliza maswali nani kashindwa kumuelewesha mwenzake?

Na inakuwaje kushindwa kumuelewesha mtu kuwe ni minyororo?

Kama mtu ni mjinga kupita kiwango cha kuweza kueleweshwa, nikishindwa kumuelewesha hapo nani yupo kwenye minyororo?

Unashindwaje kuwa muelewa kwa jambo dogo kama hili.

Hivi nikikuuliza unithibitishie uwepo wa jinni hapa jf utafanyaje?

Au nikuulize kuhusu kitu kinachokuzidi kielimu Embu naomba unithibitishie namna Mmarekani anavyofanya udakuzi katika simu Angela Markel hapa jukwaani.
Embu tuchukulie mimi nimebisha kwamba Marekani hafanyi udakuzi wowote mahala popote.Naomba unithibitishie Kiranga

Hoja yangu ni kwamba sio kila unachoshindwa kuthibitisha kwa matakwa ya anaehoji basi hicho kitu akipo.
 
Last edited by a moderator:
Pembe tatu duara ni kitu ambacho hakiwezekani,sasa sijui umetumia vigezo gani kusema inajipinga(ndiyo maana nakuomba tafsiri yako ya kujipinga ). Usichanganye mambo yasiyowezekana na kujipinga.

Labda alitereza.......ngoja tuone.
 
Hata nikikwambia siwezi kuthibitisha lolote kati ya uniulizayo, hilo halithibitishi kuwapo kwa mungu.

Issue ni kuthibitisha kwamba mungu yupo, unaweza kuthibitisha?

Angela Merkel kimepanda kimeshuka is neither here nor there.
 
Last edited by a moderator:
Pembe tatu duara ni kitu ambacho hakiwezekani,sasa sijui umetumia vigezo gani kusema inajipinga(ndiyo maana nakuomba tafsiri yako ya kujipinga ). Usichanganye mambo yasiyowezekana na kujipinga.

Pembetatu duara haiwezekani kiwapo kwa sababu ile ifea ya kuwapo kwa pembetatu duara inajipinga yenyewe, in Euclidean geometry pembetatu ina nyuzi 180 na duara lina nyuzi 360, kwa hiyo kitu kimoja hakiwezi kuwa pembetatu na hapo hapobkikawa duara, kwa sababu hii central characteristic inajipinga, ukiulizwa hii pembetatu duara una nyuzi ngapi utashindwa kujibu. Ukiaema 360 si pembetatu hiyo. Ukiaema 180 si duara.

Contradiction

Vivyo hivyo idea ya mungu wenu inajipinga yenyewe, upande mmoja tunaambiwa ana uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, upande mwingine tunaambiwa kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana (licha ya kuweza kuumba ulimwengu anbao mabaya hayawezekani)

Contradiction.

Mungu wenu ni kitu cha kufukirika anbacho hakipo katika uhalisi, kama pembetatu duara.
 
kiranga Mungu muumbaji unamjua?.
 
Sasa hapo mbona hata huonyeshi kuwa Mungu kaumba huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kwa sababu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Maana mwenyewe unasema kabisa "kaumba ulimwengu mabaya yanawezekana licha ya kuweza kuumba ulimwengu mabaya hayawezekani".

Pia umeshindwa kuonesha kuwa amejipinga, kwa sababu kama haujaonyesha kuwa huu ulimwengu wenye mabaya ni kwa sababu ameshindwa kuumba ulimwengu usio na mabaya,kwahiyo ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana haukuumbwa kwa sababu ilishindikana kuumbwa usio wezekana mabaya hivyo ni suala la uamuzi wake, na tukiangalia sifa zake zinathibitisha hili. Kwahiyo sioni alipojipinga.
 
Hata nikokwambia siwezi kuthibitisha lolote kati ya uniulizayo, hilo halothibitishi kiwapo kwa mungu.

.

Umewezaje kukubali kwamba umeshindwa kuthibitisha suala la udakuzi wa Marekani au uwepo wa jinni.na inakuwaje uendelee kutaka uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Hoja tunazokuthibitishia bado kwa upandewako haukubalianinazo.

NDIOMANA NIKASEMA kwamba sio kila
unachoshindwa kuthibitisha kwa
matakwa ya anaehoji basi hicho kitu
hakipo.
 
Hapa ndipo tunapopishana kuelewana.

Kama huwezi kuelewa sentensi rahisi ya kiswahili siwezi kuwa na hakika unaweza kuelewa nuanced philosophical arguments

Kwanza kabisa, wapi nimekubali kushindwa kuthibitisha suala la udakuzi wa Marekani na uwepo wa jini?

Unafahamu tofauti ya mtu ku dismiss swali kwamba ni irrelevant to the topic na immaterial to the logic of examination at hand na mtu kushindwa kujibu swali?

Nikikuuliza wewe una miguu mingapi, ukanijibu huoni umuhimu wa swali hilo katika argument yetu hapa, utakuwa umeshindwa kujibu swali au umekataa kujibu swali kwa kukosa justification ya umuhimu wake kwenye mjadala?

Umeelewa kwamba nimekuomba unioneshe relevance ya swali na hujaweza kufanya hivyo?

Inawezekana kuwa si kila kisichoweza kuthibitika hakipo.

Lakini ni ukweli pia kwamba si kila kisichoweza kuthibitishika kipo.

Sasa utajuaje kisichothibitika hiki kipo, na kisichothibitika hiki hakipo?
 
Sasa hapo mbona hata huonyeshi kuwa Mungu kaumba huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kwa sababu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Maana mwenyewe unasema kabisa "kaumba ulimwengu mabaya yanawezekana licha ya kuweza kuumba ulimwengu mabaya hayawezekani".

Pia umeshindwa kuonesha kuwa amejipinga, kwa sababu kama haujaonyesha kuwa huu ulimwengu wenye mabaya ni kwa sababu ameshindwa kuumba ulimwengu usio na mabaya,kwahiyo ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana haukuumbwa kwa sababu ilishindikana kuumbwa usio wezekana mabaya hivyo ni suala la uamuzi wake, na tukiangalia sifa zake zinathibitisha hili. Kwahiyo sioni alipojipinga.

Huelewi argument yangu.

Argument yangu ni kwamba, mungu wenu hawezi kuwapo kwa sababu anajipinga yeye mwenyewe.

Anajipinga yeye mwenyewe kwa sababu wenye uwezo, upendo na ujuzi hufanya mazuri yote wanayoyaweza kwa wawapendao na kuwaepusha na mabaya yote wanayoweza.

Mungu wenu mnasema ana uwezo, ujuzi na upendo wote. Angeweza kukiepusha kila kiumbe chake na mabaya, lakini hakufanya hivyo.

Kwa nini? Hujajibu kuondoa contradiction hii.

Swali lako la kwamba la kwamba sioneshi mungu kaumba ulimwengu huu wa mabaya kwa sababu kashindwa kuumba usio mabaya linaonesha logic ya argument yangu imeku challenge uwezo wako wa kuelewa vibaya sana.

Kama ningeonyesha kwamba mungu kaumba ulimwengu huu wa mabaya kwa sababu kashindwa kuumba usio na mabaya, kusingekuwa na contradiction. Nisingeweza kusema simuelewi mungu kwa nini kaumba ulimwengu huu wa mabaya. Kwa sababu sababu yake ingekuwa ndogo tu na rahisi kuielewa, alitaka kuumba ulimwengu usio na mabaya lakini hakuwa na uwezo huo.

Ni kama umkute baba mwenye ulemavu wa miguu na mikono, hawezi kufanya chochote, yuko mbali na watu, kaachiwa kitoto kichanga kinakufa kwa njaa. Umemkuta huyu baba hawezi hata kujiinua kukisaidia kichanga hiki. Huyu baba huwezi kumlaumu kwa nini laachia kichanga kinakufa, hana uwezo wa kukisaidia kichanga hiki, hata kama anataka kukisaidia.

Kwa hiyo swali lako sielewi limeyokana na fikira gani, lakini kimsingi no kutoelewa argument yangu.

Kama mungu wenu mngesema ana upendo wote lakini hana uwezo wote, halafu kaumba ulimwengu huu wenye mabaya kwa sababu kashindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, kwa sababu uko nje ya uwezo wake, hapo ungeweza kusema mungu hajipingi. Kwa sababu alitaka kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, ila hana uwezo.

Ninaposema kwamba mungu anajipinga maana yangu ninkwamba mungu wenu mnamsema kwamba ni mungu wa uzuri na neema. Ana uwezo wote, ana ujuzi wote, ana upendo wote.

Ningemtegemea mungu huyu wa neema zote na asiyeshindwa kitu aumbe ulimwengu ambao mabaya hayawezekani. Hususan kwa sababu ana uwezo wite wa kufanya hivyo, ana ujuzi woye wa kufanya hivyo na ana uoendo wote qa kufanya hivyo.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo na kaamua kuumba ulimwengu huu?

Mimi binadamu tu sina uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote lakini nikienda kununua gari nikikuta mawili hapo, moja lina kila mushkeli wa kuweza kusababisha ajali na jibgine lenye kila kituge cha kupunguza ajali, nitanunua lile la kupunguza ajali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wite achague ulimwengu ambao ajali haziishi wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ajali haziwezekani?

Unapotoa jibu la "uamuzi wake tu", kimsingi unasema hujui jibu.

Unaposema hujui jibu, kimsingi unasema humuelewi vizuri mungu unayemuamini.

Unaposema humuelewi vizuri mungu unayemuamini, kimsingi unasema inawezekana kabisa ni mungu wa kanyaboya, unaamini katika mapoleo na utamaduni tu, lakini kiuhalisia mungu huyu hayupo.
 
Ikiwa huu ulimwengu ulivyo ndiyo kigezo chako cha kusema mungu anajipinga,basi tuchukue mfano kwamba huu ulimwengu ingekuwa watu wanaishi bila tabu(kwa sababu mungu kasema ana upendo wote) Je,hali hiyo isingemfanya pia awe amejipinga kwa sababu ya sifa zake zenye kuonesha ukali wake na kujisifu kuwa ni mkali wa kuadhibu?

Ukumbuke kuwa mie nakubali sifa zote za mungu.
 
Ikiwa huu ulimwengu ulivyo ndiyo kigezo chako cha kusema mungu anajipinga,basi tuchukue mfano kwamba huu ulimwengu ingekuwa watu wanaishi bila tabu(kwa sababu mungu kasema ana upendo wote,uwezo wote na ujuzi wote) Je,hali hiyo isingemfanya pia awe amejipinga kwa sababu ya sifa zake zenye kuonesha ukali wake na kujisifu kuwa ni mkali wa kuadhibu?

Ukumbuke kuwa mie nakubali sifa zote za mungu.
 
Ikiwa huu ulimwengu ulivyo ndiyo kigezo chako cha kusema mungu anajipinga,basi tuchukue mfano kwamba huu ulimwengu ingekuwa watu wanaishi bila tabu(kwa sababu mungu kasema ana upendo wote) Je,hali hiyo isingemfanya pia awe amejipinga kwa sababu ya sifa zake zenye kuonesha ukali wake na kujisifu kuwa ni mkali wa kuadhibu?

Ukumbuke kuwa mie nakubali sifa zote za mungu.

Hiyo sifa ya ukali nayo ni moja ya sifa za kujipinga.

Kwa nini mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote awe mkali?

Ukali utoke wapi?

Mtu anajua kila kitu, anaweza kila kitu, ukali unatokea wapi?

Mie navyojua baba anaweza kuwa mkali watoto wakivunja sahani.

Kwanza anaangalia watoto watajikata na sahani zilizovunjika.

Pili anaangalia sahani kanunua bei mbaya.

Tatu anaona watoto wanakuwa na tabia ya kutokuwa waangalifu.

Nne anashtushwa na kelele za ghafla za sahani kuvunjika...etc

Tuchukue mfano huu huu kwa mungu.

Huyu mungu ambaye anajua yote kabla hayajatokea, anaweza kufanya chochote anachotaka na ana upendo wote ataanzaje kuwa mkali?

Hawezi kuogopa watoto wake kujikata na sahani zilizovunjika kwa sababu akitaka anaweza kubadili sheria za fizikia ziwe haziruhusu watoto (viumbe) wake wajikate na sahani.

Hawezi kiwa mkali kwa sababu sahani bei mbaya kwa sababu anaweza kiumba hata sayari ya almasi, nini sahani.

Hawezi kuwa mkali kwa sababu viumbe wake wanakosa uangalifu, kwa sababu akitaka anawao gezea umakini kwenye genes tu.

Hawezi kushtushwa ghafla na kuvunjika kwa sahani kwa sababu alishaona sahani itavunjika kabla hajaumba ulimwengu.

Sasa atakuwa mkali kwa sababu gani?
 
Mi nilikuwa nakuangalia tu na mielezo yako mirefu yenye hoja ya kitoto kabisa.

Huwezi kuja na hoja ya kwamba et Mungu kajipinga kwa kuchagua baadhi ya sifa na kuacha baadhi ya sifa. Halafu kichekesho zaidi ni hapo uliposema et sifa ya ukali yake ya ukali ni kujipinga.

Unapotaka kumjadili Mungu basi uzikubali sifa zake zote alizozitaja,na ndiyo maana maelezo yangu ya mwanzo ulishindwa kuyaelewa.
 
Hoja ambazo umeahindwa kuzipangua huwezi kuziita za kitoto, ukisema hivyo wewe utakuwa unakejeli usichokiweza kukifumbua.

Hujajibu inakuwaje mungu mjuzi was yote na mwenye rehema zote na upendo wote anaweza kuwa mkali. Hujanijibu hiki swali.

Mungu wako akiwa na sifa zilizo consistent 99%, ikatokea sifa moja tu imeondoa consistency hiyo, mungu huyo kashapata swali kuhusu uungu wake. Kwa kuwa si mkamilifu.

Utasemaje "huyu mungu ana sifa kibao nzuri mbona wewe umeona hii tu ambayo haiko consistent?"

Kama mungu wako no mkamilifu, kwa nini unanizuia nisichague baadhi ya sifa za kumjadili?

Mungu mkamilifu anatakiwa asiwe na upungufu latika sifa yake yoyote nitakayoamua kuichagua.

Kwa nini unataka kunifunga nisiweze kuchagua sifa yoyote ya mungu wako?

Sababu hasa inayokufanya unilazimishe nisichague sifa za mungu wako ninazotaka kuzijadili ili kuonyesha udhaifu wa idea ya huyo mungu ni ipi?

Hujanipa hii sababu.

Unakuwa kama mtu unayeniambia kwamba "kioo changu hiki ni madhubuti, kinahimili kishindo chochote, hata cha risasi" (mungu ana uwezo wote, ujuzi wote ana ukuu wa ajabu usiopinguka) halafu mimi nikaja nikanza kusema mimi nina nyundo yangu (logic) nishaona sehemu kwenye kona hapo ( your god's logical inconsistency) naweza kukivunja kioo chako na kuonyesha kwamba si madhubuti kama unavyofukiri wewe ( I can show how your god is a contradiction).

Halafu wewe uje useme "hapana, usioige hapo kwenye kona, wewe jaribu kupiha sehemu hizi nyingine, lakini si hapo kwenye kona".

Hicho kioo chako kitakuwa gakina sifa ya kutoweza kucunjika kama unavyodai. Maana kama naweza kukipiga kwa nyundo sehemu moja kikavunjika, sehemu moja tu (kama sifa moja tu ya mungu inaleta contradiction) then hicho kioo chote hakina sifa ya kutovunjika (then huyo mungu wako si unimpeachable kama unavyosema).

Kioo kisichovunjika kitakuwa hakipo katika uhalisi. Kitakuwapo mawazoni mwako tu.

Kama huyo mungu unayemkubali kwamba yupo, yupo mawazoni mwako tu.
 
Kubali kuzitambua sifa zake zote kwanza alizozitaja. Maana kuna vitu unataka kuvichanganya,kwa sababu huwezi kuja kusema baadhi ya sifa za Mungu zinapingana na sifa zengine za Mungu hali ya kuwa hizo sifa zote ni zake. Unapokuja kuhoji kwanini Mungu awe na sifa za ukali? Ndipo nami nitakuuliza kwanini Mungu awe na sifa ya upendo?

Maana unachotaka kukifanya ni sawa unaambiawa Tz mbongo ni mwanajeshi na ni mpole halafu et ulete utata kwamba kwanini awe mwanajeshi wakati yeye ni mpole,hivyo ukatae uanajeshi wake kwa sababu ya upole wake.

Nisimamie hapo kwanza hadi tuelewane kuhusu sifa za Mungu kabla hata ya kuzungumzia huu uumbaji.
 
Ukiniambia wewe tajiri, mkarimu, una hekima, huna hasira, msafi, imetembea dunia nzima..

Nikikuomba hela kwa sababu wewe ni tajiri na mkarimu sijatambua sifa zako nyingine?

Far from kitotambua sifa zake nyingine, nazitambua sifa hizo.

Tatizo hata sifa mbili tu zikipingana, mungu wenu kashapata contradiction no matter hizo sifa nyingine zinasema nini.

Tukiambiwa mungu wenu ni mpenda haki upande mmoja, halafu upande mwingine tukaambiwa anahukumu watoto na vitukuu kwa makosa ya mababu zao, hapo tayari huyu mungu kashajipinga mwenye?

Which is which?

Ni mungu moenda haki au hajali haki anahukumu watoto, wajukuu na vitukuu kwa makisa ya mababu zao?

Nikikuuliza swali hili huwezi kumtetea mungu kwa kusema ana sifa nyingine nzuri, sifa nyingine nzuri zinaondoaje hii contradiction?

Mfano wako wa TzMbongo kiwa mwanajeshi na mpole haukidhi kanuni ya kulinganisha vinavyolingana. Hakuna contradiction kati ya mtu kuwa mpole na mwanajeshi, kina contradiction katika mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Huwezi kulinganisha kisicho na contradiction na kilicho na contradiction.

Siga zinazohusika hapa ni, kwa upande mmoja, mungu kuwa mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote na kwa upande mwingine, mungu kuwa muumba wa ulimwengu huu.

Hizi ndizo sifa "material" to my argument.

Kama mungu anazungumza na Putin kwa simu maalum kila Jumanne jioni, sihutaji kuizungumzia sifa hiyo kwenye argument yangu kwa sababu ni immaterial to my argument.

Hizo sifa material to my argument unazikubali?

Unakubali kwamba mungu ni mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wa yote na pia kaumba huu ulimwengu?
 
Back
Top Bottom