Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Whether hakipo kwa sababu hakiwezekani kuwepo au kinawezekana kuwapo lakini hakipo tu, katika kujibu suala la hakipo, that is what is called a "difference without a distinction".
Kama natafuta viatu ili nivae nitoke nje, nikikuta viatu vyangu havipo ninapotegemea vipo, it wouldn't matter to me kama inawezekana au haiwezekani kwa viatu hivyo kuwapo hapo ninapotegemea viwepo. The fact will remain havipo.
Katika kuhoji uqepo wa mungu, I go a step further na kuonyesha kwamba mungu wenu hawezi kuwapo kwa sababu ya logical consistency. Kwamba huwezi kutafuta viatu vyako juu ya kakaa ya moto, kwa sababu vingekuwa hapo vingekwishaungua.
Idea ya mungu wenu inajichanganya. Upande mmoja ana uwezo, ujuzi na upendo wote, upande mwingine kaumba dunia ambayo maovu yanawezekana. Kwa nini?
Kwanza kabisa umeshindwa kueleza unajuaje visivyokuwepo.
Tuendelee..sawa ushasema kuwa Mungu hawezekani kuwepo kwa sababu ya hiyo inayoita contradiction. Sasa kinachotakiwa kufanyika ni kutoa ushahidi wa uwepo wake,hivyo ukipatikana ushahidi wa uwepo wake na hiyo contradiction pia itakuwa imeondoka kwa sababu hiyo ndiyo inayokufanya wewe useme haizekani kuwepo kwa Mungu au hakuna Mungu.
1.Je,Unayazungumziaje yaliyomo
kwenye vitabu vya dini ambavyo
ndiyo vilivyokuja kueleza masuala ya kuwepo kwa Mungu?
2.Je,una majibu gani ya msingi katika maswali yaliyokosa majibu yenye kutumika kama dalili za uwepo wa Mungu?