COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Hayo uliyoambiwa kuhusu Mungu kuwa "Ana uwezo wote, na Ana upendo wote na Ana uwezo wa kufanya chochote " umayaamini kwa ni ukweli ?
Kabla ya kuyatumia kuhukumu uwepo wa Mungu ?
Wewe MTU ambaye hutaki kuamini unataka KUJUA TU, iweje utumie jambo ambalo lisilo na ujuzi kufikia hitimisho ?
PLZ naomba leo jitahidi ujibu hoja then nawe weka hoja Kama unayo.
Ile kawaida yako ya kutojibu hoja kwa ujanja wa kujenga hoja mbadala ndio unaokufanya ushindwe kuzindua ufahamu na kuufahamu ukweli juu ya uwepo wa Mungu ambye ndiye aliyeumba Dunia na Vyote vilivyomo na ndiye Mwanzilishi wa uhai na hekima za kibinadamu

Hayo siyaamini kwamba ni kweli, kwa sababu mungu huyo hayupo, na kama hayupo hayawezi kuwa kweli, na najua kwamba mungu huyo hayupo kwa sababu hayo si kweli, yana contradiction.

Zaidi ya hapo, sitaki kuamini, nataka kujua.

Jambo lipi lisilo ujuzi? Unapoanika kuwa specific na detailed, usilete habari za jumlajumla zisizoweza kueleweka bila maswali zaidi.
 
Je,endapo sasa nitaithibitisha sifa moja katika hizo sifa zake kwa kuonesha kuwa hiyo sifa ni yake kweli je,itakuwaje au italeta maana gani kwako?

Kumbuka nazungumzia sifa zake zote kwa ujumla, ambazo unasema kuna nyengine zinapingana na haziwezi kuwa pamoja kwa wakati mmoja.

Ili mungu aweze kuwa mungu, sifa zake zote zinatakiwa zisiwe na mgogoro.

Sifa moja tu ikiingia mgogoro, kama kukinzana na nyingine, sifa nyingine zote zinaathirika.

Ni kama mpangilio wa namba katika hesabu.

Ukiweza kuonesha tu kwamba 1+1=2 na pia 1+1=3 kihesabu ( reconciing a contradiction) , basi utakuwa umeangusha mfumo mzima wa namba, kwa sababu kimsingi utakuwa umeonesha siyo tu kwamba 1+1=2 na 1+1=3, bali pia 2=3 (zote ni positive sums za 1+1) 0= 1 ( (1+1)- (1+1)) = 3-1) ad really any number equals any number.

Kwa hiyo, tunaona katika hesabu, ili mfumo mzima wa hesabu ufanye kazi, kanuni zote inabidi zisimame mara zote. Kanuni moja ya msingi ya hesabu ikiwa contradicted sehemu moja tu, mfumo mzima wa hesabu unaanguka.

Na idea ya mungu nayo ni hivyo hivyo. Ukionesha cotradictiin sehemu moja tu, idea nzima inaanguka.

Huwezi kusema tunatumia hesabu, namba zote ziko sawa, kasoro hizi za sehenu hii tu hapa 1+1 inatupa jibu la 2 na 3, lakini tusiliangalie hili sana tuangalie huku kwingine ambako kuko sawa.

Utakuwa unakosea kimsingi katika kufikiri.
 
Maana ya maelezo yako ni sawa na mfano wa Bill gate aseme yeye ni tajiri na ni bachelor mwenye mke,halafu wewe uje useme kwamba ni muongo kwa sababu haiwezekani bachelor halafu pia awe na mke,hivyo uje useme kwamba kwa sababu hawezi akawa bachelor mwenye mke basi pia na utajiri wake uufute.
 
Hayo siyaamini kwamba ni kweli, kwa sababu mungu huyo hayupo, na kama hayupo hayawezi kuwa kweli, na najua kwamba mungu huyo hayupo kwa sababu hayo si kweli, yana contradiction.

Zaidi ya hapo, sitaki kuamini, nataka kujua.

Jambo lipi lisilo ujuzi? Unapoanika kuwa specific na detailed, usilete habari za jumlajumla zisizoweza kueleweka bila maswali zaidi.

Kuna tatizo LA msingi ambalo Kama lisipotibiwa huu mjadala hautakuwa na mwisho.
Wewe unaye mungu uliyemtegeneza kichwani mwako then umempa Sifa na unatumia hizo Sifa za mungu wako kukana uwepo wa Mungu aliyeumba ulimwengu na kuanzisha uhai duniani.
Hutaki kuamini ni hoja ambayo inatolewa na binadam asiyefikiri vizuri, kwa binadamu anayefikiri Imani ndiyo msingi na chachu ya kupata ujuzi. Maana Kama huamini chochote huwezi tumia chochote kujifunza ama kugundua kitu. Ni budi uwe na Imani hata na utulivu na ukweli wa kile kidanywacho na ubongo wako na hata kile ambacho ubungo unakupa taarifa zake pasipo wewe kupanga.
Ujuzi huja baada ya kuamini kila utumiacho kuutafuta ujuzi husika.
Unaandika hapa JF ukiamini kuwa kile unachokiandika kitatokea kwenye mtandao ambao unaamini utafikisha kwa members na imani kuwa members wa JF watasoma na Unaamini kuwa wanaweza angalau kudecode lugha uliyotumia wakakuelewa na kukujibu. Hataka kuto taka Imani Bali ujuzi umetumia imani wala sio UJUZI.
Huna uwezo wa kujibu maswali hili Mimi nimejua kutokana na majadiliano nawe ya Mara nyingi.
Uliamini kuwa wewe ni smart na kudhani hoja zako hazijibiki na kwa "ulimbukeni" tu unakuwa hauko tayari kupokea changamoto za vitu vipya ambavyo viko kinyume na unavyoVIAMINI.
 
Mungu ninayemuamini ni yupi?

Na kwa nini unafikiri kusema sitaki kuamini kunapingana na falsafa ya kwamba imani ndiyo chachu ya ujuzi?

Unaelewa convergence ya kutoka kwenye imani na kwenda kwenye ujuzi ikoje?

Unaelewa kwamba bila kukataa kubaki kwenye imani na kukumbatia kuelekea kwenye ujuzi huwezi kuendelea kwenye ujuzi?

Wapi nimesema siamini chochote? Unajua tofauti kati ya kusema sitaki kuamini, nataka kujua na kusema siamini chochote? Naona kama unafanya assumption kwamba nikisema sitaki kuamini, nataka kujua ni sawa na nimesema siamini chochote. Assumption hii inatokana na kukosa kuelewa kwamba kuna vitu sina uwezo wa kuvijua (kwa mfano, sijui kama jua litachomoza kesho, linaweza kupata supenovae usiku wangu wa leo na kusiwe na kesho tukafa wote). Lakini logically speaking, the probability of this happening is miniscule. So I have no justification for postponing my meetings tomorrow because the sun might extinguish itself in a supernovae tonight .

Sasa kwa nini unione mtu kama mimi ambaye nitataka kujua exactly how much energy does the sun have left before it extinguishes itself in a supernovae, huku nikikubali kwa imani inayotathminiwa na mantiki kwamba jua litachomoza kesho kama mtu nisiyekubali kuamini katakata?

Kusema kwangu sitaki kuamini does not mean I will throw the baby with the bathwater. Ni kama mtu anayesema hataki nyumba chafu. Hilo halina maana ataichoma moto nyumba ili kusiwe na nyumba chafu. Akifanya hivyo atakosa pa kulala. Mtu mwenye reason ataisafisha nyumba chafu ili iwe safi. Na mimi vivyo hivyo, sitaki kubaki kwenye imani, nataka kujikwamua kutoka kwenye imani na ku converge kwenye ujuzi. Ukibweteka kwenye imani hata ujuzi huwezi kupata. Utapataje ujuzi wakati definition ya imani ni kukubali vitu bila uchunguzi? Ukishaanza uchunguzi unatoka kwenye imani na unaelekea kwenye ujuzi.

Unafanya assumption kubwa sana bila hata ya kuniuliza.

Kwa nini unaandikia mate na wino upo?

Ushafahamu tofauti ya kusema sitaki kuamini nataka kujua na kudhani kwamba mimi sikubaliani na ku entertain imani yoyote hata kwa sekunde moja?

Ukisema hutaki imani yoyote hata kwa sekunde moja, hata hesabu inayokuwa solved kwa kuanza na "let a = b" huwezi kui solve.

Because that involves a leap of faith.

Matatizo yangu si na imani per se, bali kwanza ni imani mbovu ambayo inakubali contradiction, halafu kubweteka katika imani.

Kati yangu niliyetoa hoja ambazo mpaka sasa hujazijibu na wewe unayefanya assumption ya kutokana na kufikiri nafikiri nisivyofikiri, bila hata kuniuliza, nani ni limbukeni hapa?

Wewe ni limbukeni kwa sababu una nafasi ya kuniuliza kama nina entertain imani in any format, lakini umekurupuka na assumption bila hata kuniuliza.

Ungekuwa unanisoma ungeshaona nilishawahi kuandika hapa haiwezekani binadamu asiwe na imani kabisa, kwani hata kitendo cha kuamka kutoka kitandani asubuhi kinahitaji imani kwamba sakafu haitapasuka na kukumeza mzima mzima.

Sasa utaandikaje kuhusu mimi kama mtu ambaye si entertain imani 100%? Kwa kuwa nimesema sitaki imani nataka kujua?

Mtu akisema hataki maginjwa, anataka afya, ni sawa na kusema hajawahi na hatawahi kuumwa hata mafua?

Unajua tofauti ya kusema sitaki imani nataka kujua na kusema sina chembe ya imani?

Inaonekana unachanganya mawili haya ambayo ni tofauti kabisa.

Limbukeni nani sasa hapa?
 
Maana ya maelezo yako ni sawa na mfano wa Bill gate aseme yeye ni tajiri na ni bachelor mwenye mke,halafu wewe uje useme kwamba ni muongo kwa sababu haiwezekani bachelor halafu pia awe na mke,hivyo uje useme kwamba kwa sababu hawezi akawa bachelor mwenye mke basi pia na utajiri wake uufute.

Hapana,

U bachelor wa Bill Gates hauhusiani na utahiri wake.

Bill Gates anaweza kusema kwamba ni bachelor mwenye mke akawa kakosea katika hilo, lakini hilo halimaanishi kwamba kukosea kwake huko kunaathiri utajiri wake.

Mungu wenu central characteristics zake ambazo zinahusiana moja kwa moja na uwepo wake ni kwamba ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote. Kisha tunaambiwa kwamba kaumba ulimwengu huu. Kuna contradiction hapo. Mungu huyo hayupo kama vile ambavyo Bill Gates anbaye ni bachelor na hapo hapo ana mke ambavyo hayupo.

Tukubaliane hilo kwanza.

Bill Gates ambaye ni bachelor na ana mke hayupo, kwa sababu bachelor kuwa na mke ni contradiction.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa kaumba ulimwengu huu unaoruhusu maovu, kwa sababu hiyo ni contradiction.

Na kwa kuwa ulimwengu huu unaoruhusu maovu upo, mu gu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
 
Ndiyo maana uliulizwa kama unaziamini hizo sifa unazojengea hoja,kwa sababu "kuumba" nayo ni moja ya sifa ktk sifa za Mungu. Na yeye mungu ndiyo anasema kaumba huu ulimwengu.

Sasa mimi nataka tutoke huko kwenye kubishana tu sijui "kwanini mungu kaumba ulimwengu una maovu wakati anasema ana upendo,uwezo wote na ujuzi wote?" Na tuangalie mfano labda je,ni kweli mungu ndiye aliyeumba huu ulimwengu?

Kwa sababu unachokisema wewe hapa ni kwamba hizo sifa zinapingana(haziwezi kufanya kazi zote kwa pamoja) hivyo hizo sifa zote si za kweli kwahiyo hakuna mungu.
 
Huwezi kusema mungu kaumba ulimwengu kabla ya litatua contradiction inayohoji lama mungu yupo at all.

Kama huwezi kuthibitisha mungu yupo, kwa sababu hujatatua contradiction, mungu huyo ambaye huwezi kuthibitisha kwamba yupo atawezaje kuumba kama hayupo?

Unataka vipo tuache kibishana kitu wakati hujaweza kukijibu? Kwa nini wewe unafikiri ndiye mwenye mamlaka ya kisema tubishane kipi na kipi tusibishane?

Unataka tuache kubishana hilo la contradi tion ya mungu au umekubali kwamba huwezi kulijibu na unatafuta exit strategy?

Mungu mwenye uwezo wote, unuzi wote na upendo wote hawezi juwa ameumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana. That is a contradiction you have not solved.

Unasema shilingi yako inaweza kurushwa juu halafu ikaangukia pande zote mbili zikiwa zinaangalia chini, nakwambia hilo haliwezekani, na shilingi hiyo haipo.

Unasema tutoke huko, tuangalie mfano, shilingi hiyo ni kweli imerushwa na kuangukia pande mbili kwa pamoja.

Swali lako linarudia kuuliza kuhusu mungu yule yule, kwa kutojibu contradiction ile ile.

Nijibu swali langu moja.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya wakati ana kila ujuzi, uwezo na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Mungu ni Muumba wa ulimwengu na yeye ndiye aliyetoa busara ya ujuzi wa mema na mabaya kwa wanadamu , Hana mwanzo wala mwisho ni wa milele.
Sasa huyu Mungu wa Wakristo ndiye ajadiliwe na sio huyo Mungu uliyemuumba wewe.
Kwanini unaogopa kujadili Mungu huyu wa Wakristo unataka ujadili yule wako uliyemwekea mipaka na mkanganyiko usiokuwepo ?
 
Kama mungu kaumba ulimwengu, na yeye ndiye aliyetoa busara na ujuzi, na kuna siku ya hukumu atawahukumu watu, atawahukumu kwa nini wakati kama wamefanya mema, wamefanya hivyo kwa kupewa hekima naye huyu mungu, na kama wamefanya mabaya, wamefanya mabaya kwa kutopewa hekima na yeye huyuhuyu mungu?

Kisha, unaposema huyu mungu wa wakristo naogopa kumjadili unapata wapi habari hizo? Hiyu ninayemjadili no yupi? Na kwa nini ufikiri hivyo?
 
Tatizo ukipewa hoja badala ya kujadili hoja uliyopewa unatiririka na kila kilichopo kichwani Mwako.
Huwezi hitimisha kumpa Mungu namna ya kumua juu ya viumbe wake pasipo ujuzi wa namna mahusiano yalivyo baina ya Mungu na viumbe wake.
Sijazungumzia kuhukumu kwa busara. Namna ya kuamua kutumia busara ni uamuzi wa kiumbe na sio Mungu.
Jadili hoja unayopewa na kuweka hoja yako baada ya kujibu hoja.
Wewe unatiririka tu na kila ulichonacho kichwani...
 
Umesema namuogopa mungu wa wakristo kumjadili. Nimekuuliza kinachokufanya ufikiri hivyo ni kipi? Hujajibu.

Nani akipewa hoja badala ya kujadili anatiririka kilicho kichwani?

Hoja ipi nimepewa sijaijadili?

Mimi nimekupa hoja kwamba mungu wenu ana contradiction, hujaweza kuondoa contradiction hiyo.

Nimekupa hoja kwamba mungu hawezi kuwa yeye ndiye mwenye kutoa hekima na busara, halafu hapo hapo awahukumu waliokosa hekima na busara (kwa sababu yeye hajawapa hekima na busara) hujanijibu.

Ujuzi wa mahusiano ya mungu na viumbe wake utaupata vipi ikiwa hata huwezi kuthibitisha kwamba mungu yupo kweli na si hadithi tu?

Narudia. Kama mungu ndiye anatoa busara ya kumjua. Wengine kawapa, wengine kawanyima. Aliowanyima hawakumjua. Kwa sababu kawanyima busara ya kumjua, mungu atakuwa na haki gani ya kuwahukumu watu ambao hawakumjua kwa sababu yeye mwenyewe kawanyima busara?
 
Unajadili Mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako na Kumuwekea mipaka ya kibinadam huku ukimleta ajadiliwe hapa.

Wewe ukipewa Sifa kuntu za Mungu wangu ninaye mwamini unatiririka na kila kilichopo kichwani mwako

Nimeandika Mungu ndiye aliyefanya na kuweka busara kwa binadamu.
Wewe umetiririka kuhusu binadam kukosa hekima na busara !!! Sijazungumzia kuwepo kwa binadamu waliokosa hekima na busara, Mungu wangu alipomuumba binadam na kupitia Adam kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya binadam aliyeumbwa na Mungu amepewa ujuzi wa kujua lililojema na Baya...hivyo kutenda baya sio matokeo ya kukosa hekima Bali ni maamuzi ya hiari ya MTU.

Contradiction zipo kwa mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako na sio Mungu Muumba wa ulimwengu.mungu wako ndiye mwenye matatizo unayoweka kwa kuwa umemuuumba wewe ambaye uwezo wako umekomea kwenye, nyakati,nafasi , akili na nguvu. Yeye Muumba wa ulimwengu hana ukomo na tulio wake tunajua hata alipotuumba alituumba sio kuwa tuwe na Furaha dunia kama ndilo jambo kuu Bali alituumba ili tumtumainie yeye na kumwabudu. Hata namna ya kuyakabili mabaya hekima yake haijatupungukia sawa na walioamua kuwa kinyume na mpango wake Kama ninyi.

Mengine unayotiririka ni pumba tu kwa kadri ya mpango mkubwa na mkakati wa Mungu wetu kumuumba binadam na kumuweka katika ulimwengu huu.
 
Mungu ndiye anatoa busara au mwanadamu anaweza kupata busara bila kumhitaji mungu?
 
MWANZO 2:8-9
"BWANA Mungu"...na mti wa ujuzi wa mema na mabaya".
Hivyo binadam kwa maana ya mzao wa Adam moja kwa moja anarithi vinasaba vya Adam juu ya ujuzi wa mema na mabaya.
 
Kwa hiyo ultimately mungu ndiye anayetoa busara?

Mbona unataka kukwepa kutoa a straight answer?
 
Kwa hiyo mungu ndiye anayetoa busara?

Mbona unataka kukwepa kutoa a straight answer?

Nimekupa asili ya busara kwa binadamu kwamba ni tendo la Adamu kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Zaidi ya hapo sijui nikupe msaada gani ! Sio kwamba kila MTU anapozaliwa Mungu anatoa chanjo ya busara.
 
Kwa nini mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote kaumba ulimwengu ambao wengine wanaweza kupata busara na wengine wanashindwa wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hakuna anayeshindwa kupata busara?
 
Blah blah miiiingi lakini hakuna chochote kinaonesha Mungu yupo

Hapa ndipo ibilisi alipofanikiwa kwa kutumia somo lake la kishetani philosophy.
Pole sana! Lakini utashangaa unaamini uchawi wakati hujawai kujona ulivyo wala unavofanya kazi.
Mungu akuhurumie
 
Unajadili Mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako na Kumuwekea mipaka ya kibinadam huku ukimleta ajadiliwe hapa.

Wewe ukipewa Sifa kuntu za Mungu wangu ninaye mwamini unatiririka na kila kilichopo kichwani mwako

Nimeandika Mungu ndiye aliyefanya na kuweka busara kwa binadamu.
Wewe umetiririka kuhusu binadam kukosa hekima na busara !!! Sijazungumzia kuwepo kwa binadamu waliokosa hekima na busara, Mungu wangu alipomuumba binadam na kupitia Adam kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya binadam aliyeumbwa na Mungu amepewa ujuzi wa kujua lililojema na Baya...hivyo kutenda baya sio matokeo ya kukosa hekima Bali ni maamuzi ya hiari ya MTU.

Contradiction zipo kwa mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako na sio Mungu Muumba wa ulimwengu.mungu wako ndiye mwenye matatizo unayoweka kwa kuwa umemuuumba wewe ambaye uwezo wako umekomea kwenye, nyakati,nafasi , akili na nguvu. Yeye Muumba wa ulimwengu hana ukomo na tulio wake tunajua hata alipotuumba alituumba sio kuwa tuwe na Furaha dunia kama ndilo jambo kuu Bali alituumba ili tumtumainie yeye na kumwabudu. Hata namna ya kuyakabili mabaya hekima yake haijatupungukia sawa na walioamua kuwa kinyume na mpango wake Kama ninyi.

Mengine unayotiririka ni pumba tu kwa kadri ya mpango mkubwa na mkakati wa Mungu wetu kumuumba binadam na kumuweka katika ulimwengu huu.

Yuda alipewa hiyari ya kuchagua?
 
Back
Top Bottom