Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Alikua anafanya nini na anopheles kadai wajeda wake hawapo huko?
Kagame anawasaka wabaya wake FLDR na hilo mpaka uwe mtoto ndio hutalielewa.

Mfano hivi Leo Waasi wanaotaka kuangusha Serikali ya Dar wakijikusanya Kajiado Kenya halafu wawe wanasaidiwa na Rutto Tanzania pia itafungua proxy yeke huko Kajiado ili kupambana na Waasi wao na their backers.

Kwahiyo acha kuumiza kichwa Grow up!
 
..kwanini haelewani na Fdlr?

..kwa maoni yangu angefanya maridhiano na Fdlr wale ambao hawakushiriki genocide.

..huwezi kumlaumu Tsishekedi kwa kutokuzungumza na m23, huku Rwanda haitaki kuzungumza na Fdlr.

..pia kuna wakati Rwanda waliruhusiwa kuingia DRC na kuwasaka Fdlr.
 
Kagame anawasaka wabaya wake FLDR na hilo mpaka uwe mtoto ndio hutalielewa.

Mfano hivi Leo Waasi wanaotaka kuangusha Serikali ya Dar wakijikusanya Kajiado Kenya halafu wawe wanasaidiwa na Rutto Tanzania pia itafungua proxy yeke huko Kajiado ili kupambana na Waasi wao na their backers.

Kwahiyo acha kuumiza kichwa Grow up!
Waliozaliwa 1985/2007 hawakushiriki Genocide, aongee nao warudi kwao Rwanda na imiwezekana awaingize jeshini.
 
Back
Top Bottom