Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Kagame anawasaka wabaya wake FLDR na hilo mpaka uwe mtoto ndio hutalielewa.

Mfano hivi Leo Waasi wanaotaka kuangusha Serikali ya Dar wakijikusanya Kajiado Kenya halafu wawe wanasaidiwa na Rutto Tanzania pia itafungua proxy yeke huko Kajiado ili kupambana na Waasi wao na their backers.

Kwahiyo acha kuumiza kichwa Grow up!
Fdlr wanataka kurudi kwao, kagame hataki,tangu 1994 huwafuata huko na kuwaua, waliokua askari 1994 aidha wamekufa au wazee,hawa waliopo huko wengi hata hawajui genocide,halafu si alisema jeshi lake halipo drc!!!
 
Special gani wakati FLDR bado wana Idiolojia ya Hutu Power
Hiyo ideology ya hutu power ilianzishwa na glory kayibanda miaka ya 60s baada ya hao ndugu zako watusi kudekezwa tangu enzi ya mbelgiji na kujiona wao special people mbele ya wenzao wahutu,, kifupi watusi nyie wadwanzi tu.,, kongo kuna makabila si chini ya mia nne, makabila mengine hayajawahi kushika wadhifa hata wa mjumbe wa nyumba kumi na poa tu,, iweje nyie ndo mjione mnastahili kushika madaraka,, wadwanzi tu nyie
 
Screenshot_20250206-142320_Chrome.jpg
Screenshot_20250206-142320_Chrome.jpg
 
Hiyo ideology ya hutu power ilianzishwa na glory kayibanda miaka ya 60s baada ya hao ndugu watusi kudekezwa tangu enzi ya mbelgiji
Watutsi walikuwa ni Kings na Queens wa hilo eneo historical Rulers wa Rwanda Urundi nani kawadekeza?! Mzungu ndio kaja kuleta fitina na kuwachonganisha Waafrika.
 
Ndani yao bado kuna Interahamwe wanaotaka kumalizia kazi waiyoianza mwaka 94 Kagame hawezi kuongea na Interahamwe.
FDLR wengi ni watoto wa wakimbizi wa kihutu waliozaliwa huko Drc baada ya genocide hivyo hawafahamu lolote kuhusu hilo
 
Ndani yao bado kuna Interahamwe wanaotaka kumalizia kazi waiyoianza mwaka 94 Kagame hawezi kuongea na Interahamwe.

..Kayumba Nyamwasa anasema Rwanda imewahi kuendesha operation kadhaa za kuwauwa Fdlr ndani ya Congo. Serikali ya DRC ndiyo iliyowapa Rwanda ruhusu ya kufanya hivyo.

..Pia Kayumba Nyamwasa amedai kuna baadhi ya Fdlr ambao wamerudi nyumbani na kuandikishwa katika jeshi la Rwanda.

..Mpaka hapo utaona kwamba ni vizuri Rwanda wakashirikiana na mamlaka za DRC kuwahakikishia usalama wao.

..Vita vya DRC vimeuwa watu wengi kuliko Genocide ya Rwanda. Tufike mahali tuseme imetosha kwa wananchi wa Congo kuuwawa.
 
Likija suala la Rwanda huwa unamahaba sana, kwamba hao ambao hawajui chochote kuhusu genocide nao in interahamwe. warudishen ndugu zenu Rwanda mjenge nchi yenu.
Watutsi waliishi Ukimbizini kwa miongo mingi Uganda Tanzania nk. Na walikuwa wakiomba kurudi Rwanda lakini walikuwa wakikataliwa kata kata hadi walipoamua kumsaidia Museveni hata baada ya hapo waliendea kumbembeleza Habyarimana ili awaruhusu kurejea nyumbani ikashindkana ndipo wakaamua kurudi kwa nguvu.

Hapa JF ukiongea ukweli unaambiwa una mahaba na Watutsi lakini sijawahi kusema fulani ana mahaba na Wahutu.
 
Hao FDLR waliozaliwa Drc baada ya genocide na ambao hawakuhusika na genocide wana haki ya kurejea kwao Rwanda.
 
Watutsi waliishi Ukimbizini kwa miongo mingi Uganda Tanzania nk. Na walikuwa wakiomba kurudi Rwanda lakini walikuwa wakikataliwa kata kata hadi walipoamua kumsaidia Museveni hata baada ya hapo waliendea kumbembeleza Habyarimana ili awaruhusu kurejea nyumbani ikashindkana ndipo wakaamua kurudi kwa nguvu.

Hapa JF ukiongea ukweli unaambiwa una mahaba na Watutsi lakini sijawahi kusema fulani ana mahaba na Wahutu.
Nimekuelewa vizuri, kwahio nawahutu wakikaa ukimbizini miongo kadhaa sio vibaya hata kama hawakuhusika kwenye genocide. Na wao kama wataamua kurudi basi warudi kama watusi walivyorudi kwa njia ya mtutu, lakini sio kukaa nao kwenye meza ya mazungumzo.
 
Kuna uwezekano kuwa wapiga mishale maalum au amekabiliana na mapigano ya hand to hand inaonesha akachomwa singe na kupigwa ngumi nzito akakata moto
 
Back
Top Bottom