Kuuliwa si issue, bali sababu.Amani wakati mtu kauliwa,Acha basii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuliwa si issue, bali sababu.Amani wakati mtu kauliwa,Acha basii
Eti slim shade 😂😂😂 we utakuwa muhenga mfatiliaji wa hit za USA kipindi hichooo 😅😅Anguko la slim shade liko mlangoni kwake uyu babylon puppet
🙏🏼Na
Natambua.
Vipi kuhusu hao waliopo huko Drc, Msumbiji, Zimbabwe, Africa kusini na nchi zingine za ulaya magharibi wao hawana haki ya kurejea kwao Rwanda?Wale Wakimbizi waliokimbilia Benako Ngara walisharudi kwao hata wale waliokimbilia Goma wengi wamerudi kwenda kulijenga taifa lao la Rwanda.
Hawa jamaa kinachowafanya kuwa wa makabila tofauti nini?......
Lugha moja....mfumo wa utawala toka zama mmoja....dini za tamaduni moja....tofauti tu muonekano na mmoja mfugaji mwingine mkulima.
Huyu atauwawa kama paster bizimungu wewe subiri utaonaWangemuua col nanga
Kwa nini Kagame hataki kukaa na hao FLDR meza moja waasi ila anataka Congo ndo ikae na waasi meza moja?Kagame anawasaka wabaya wake FLDR na hilo mpaka uwe mtoto ndio hutalielewa.
Mfano hivi Leo Waasi wanaotaka kuangusha Serikali ya Dar wakijikusanya Kajiado Kenya halafu wawe wanasaidiwa na Rutto Tanzania pia itafungua proxy yeke huko Kajiado ili kupambana na Waasi wao na their backers.
Kwahiyo acha kuumiza kichwa Grow up!
Wengine walihusika kwenye Genocide sasa wanajiona na hatia na wengine nimewakuta huko Zambia na Malawi wanamaisha mazuri sana na wanasema hawataki kurudi mpaka Jamii yao itakapotwaa madaraka.Vipi kuhusu hao waliopo huko Drc, Msumbiji, Zimbabwe, Africa kusini na nchi zingine za ulaya magharibi wao hawana haki ya kurejea kwao Rwanda?
Hili swali nimeulizwa mara 40 hebu soma comment zangu.Kwa nini Kagame hataki kukaa na hao FLDR meza moja waasi ila anataka Congo ndo ikae na waasi meza moja?
Vipi wale wengine ambao hawakuhusika na genocide ila wapo uhamishoni kwa sababu za kisiasa?Wengine walihusika kwenye Genocide sasa wanajiona na hatia na wengine nimewakuta huko Zambia na Malawi wanamaisha mazuri sana na wanasema hawataki kurudi mpaka Jamii yao itakapotwaa madaraka.
Wengine tuko nao hapa Tanzania hawataki hata kuisikia Rwanda na ndio maana kwa sasa Waha na Wahangaza ni makabila yanayokuwa kwa kasi,hata Kenya.
Hao kila Nchi za Kiafrika wapo mfano mzuri ni akina Lissu na wenzake mpaka Wazungu walipotishia kukata misaada ndio lakini Magufuli angelikuwepo mpaka leo wangelikuwa nje ya Nji.Vipi wale wengine ambao hawakuhusika na genocide ila wapo uhamishoni kwa sababu za kisiasa?
Genocide ni neno ambalo wanyarwanda wanafichama na kudekea Ili wahalalishe uhuni wao.
UpuusiHabari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.
Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.
Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Hao kila Nchi za Kiafrika wapo mfano mzuri ni akina Lissu na wenzake mpaka Wazungu walipotishia kukata misaada ndio lakini Magufuli angelikuwepo mpaka leo wangelikuwa nje ya Nji.
Kagame anawaua hata wakiwa huko ukimbizini.Hao kila Nchi za Kiafrika wapo mfano mzuri ni akina Lissu na wenzake mpaka Wazungu walipotishia kukata misaada ndio lakini Magufuli angelikuwepo mpaka leo wangelikuwa nje ya Nji.
Huyu jamaa ni Willy Ngoma msemaji wa M23..Vipi kuhusu huyu mwamba aliyekuwa anawapiga mabanzi wazungu pori, bado yupo...?
View attachment 3227233
View attachment 3227231
Kabisa mkuu, raia waliokufa Drc ni wengi karibia mara 5 ya waliokufa kwenye genocide ya Rwanda mwaka 1994...Kagame asiposuluhishwa na wapinzani wake walioko DRC kila siku atakuwa anatafuta kisingizio cha kuivamia nchi hiyo.
..pia tusisahau kwamba Kagame aliuwa wakimbizi wengi wa Kihutu kwa tuhuma za kuhusika na genocide wakati wa kumuondosha Mobutu, na wakati walipomvamia Kabila Snr.
..Zaidi kuna operation za RPF kuwafuatilia Fdlr zimefanyika ndani ya DRC wakati Kabila Jnr alipokuwa madarakani.
..Vita katika ardhi ya DRC imesababisha vifo kwa mamilioni, mateso, na uharibifu wa kila aina. Ni wakati sasa mahasimu katika vita hiyo wakaweka silaha zao chini, na kuridhiana kupitia mazungumzo ya amani.
Majeshi ya Uganda hata sasa hivi tunavyoongea yako Kongo ya Mashariki yakipigana na Waasi.Kagame asiposuluhishwa na wapinzani wake walioko DRC kila siku atakuwa anatafuta kisingizio cha kuivamia nchi hiyo.
Hizi operation zimefanyika mara nyingi mno toka mwaka 1996 hata watu kama kina Bosco Ntaganda, Laurent Nkunda walipewa kazi hii na Rwanda ya kuwawinda FDLR lakini bado FDLR wameendelea kuwepo.......Zaidi kuna operation za RPF kuwafuatilia Fdlr zimefanyika ndani ya DRC wakati Kabila Jnr alipokuwa madarakani.