Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Burundi na Drc wameruhisiwa na Drc kuendesha hizo operation, hata Rwanda ingetumia diplomasia huenda ingeruhusiwa kuliko njia iliyotumia ya kuunda na kufadhili uasi.Majeshi ya Uganda hata sasa hivi tunavyoongea yako Kongo ya Mashariki yakipigana na Waasi.
Sasa ni kwanini Kagame asiruhusiwe kwenda kuwapiga FLDR na kuwatokomezea kwenye mapori ya Kongo?
Mbona Burundi wako DRC wanapigana na Waasi.
Lakini akifanya Kagame inakuwa ni Nongwa.