Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Labda ilitakiwa Kagame mwenyewe ang'olewe uraisi huko Rwanda.Maana yeye vita ni burudani
 
Wenzao wapi hao?...bado Rwanda ina wakimbizi wengi mno wanaoishi uhamishoni, wengi wao wakiwa wakimbizi wa kisiasa.
Wale Wakimbizi waliokimbilia Benako Ngara walisharudi kwao hata wale waliokimbilia Goma wengi wamerudi kwenda kulijenga taifa lao la Rwanda.
 
..Rwanda inapaswa kufanya maridhiano na raia wake walioko DRC ili waweze kurudi nyumbani.

..DRC inapaswa kuyafanyia kazi madai ya uraia wa Banyamulenge na kuyapatia suluhisho la kudumu.

..M23 wanatakiwa kuweka silaha chini na kuwa chama cha siasa na kutafuta uongozi kupitia uchaguzi huru, wa haki, anaoaminika.
 
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.

Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Slim ajitokeze hadharani kutoa tamko
 
..Rwanda inapaswa kufanya maridhiano na raia wake walioko DRC ili waweze kurudi nyumbani.

..DRC inapaswa kuyafanyia kazi madai ya uraia wa Banyamulenge na kuyapatia suluhisho la kudumu.

..M23 wanatakiwa kuweka silaha chini na kuwa chama cha siasa na kutafuta uongozi kupitia uchaguzi huru, wa haki, anaoaminika.
M23 waliweka silaha chini kilichofuata Tshesekedi akawafanyia genocide, never again
 
Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.

Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.

Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.

Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Hilo la PK kushiriki Congo mbona lipo wazi hata mtoto aliyezaliwa jana anajua
 
M23 waliweka silaha chini kilichofuata Tshesekedi akawafanyia genocide, never again

..genocide ni madai mazito sana.

..kila upande unaoshiriki vita ya Drc unaulaumu upande mwingine kwa genocide.

..wananchi wa kawaida wanatumika ktk mauaji na uharibifu ili kutetea madaraka na utajiri wa magenge fulani.

..kama vita haijaleta matokeo mazuri, ya maana, tangu mwaka 1998/99, ni vizuri wananchi wa DRC wakatumia njia za amani kumaliza tofauti zao.
 
Genocide ni neno ambalo wanyarwanda wanafichama na kudekea Ili wahalalishe uhuni wao.
 
Back
Top Bottom