Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.

Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.

Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.

Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
R.i.p kamanda karegire Kwa kuwapambania wa banyamulenge
 
This is how it should be done. You kill as many Rwandese as possible and send them back home in a mountain of body bags, to a point their plausible deniability becomes an illusion.

And Kagame will be left with fewer options. Either cave in and cower with a tail between his legs, or Invade with a full scale force which will be the most dumbest decision he'll ever make.

 
Mjue hatari ya FLDR na nani? Hatari yao hao kwenu ninyi watusi kwa kuwa mnajiona special person na mmeshindwa kukaa nao vizuri wanyarwanda wenzenu hao,, sisi wabongo wana hatari gani kwetu?
Special gani wakati FLDR bado wana Idiolojia ya Hutu Power
 
Back
Top Bottom