Miaka zaidi ya 500 imewafanya kuwa ndugu tu...... kinachowatofautisha ni asili tu na muonekano.Watutsi ni watu wa ethiopia huko,wahutu wabantu,leo msukuma,mluguru na mmafia kuongea kiswahili hakuwafanyi kuwa kabila moja
Kama kweli wanatambua atrocities za genocide wangeshirikiana na DRC kulta amani ukanda huo. Wenyewe sasa wanafanya kinyume. Wengi wamekufa Congo kuliko waliokufa kwenye genocide yao...tusidharau machungu waliyoyapata, na wasiwasi walionao kuwa genocide inaweza kujirudia.
..vilevile tuwahimize wasiwe sehemu ya mauaji na mateso dhidi ya jamii nyingine, na majirani zao wa DRC.
Pk alivyoshindwa kuwaunganisha warwanda kuwa wamoja instead off akaendeleza ukabila,ipo siku fdrl wataikamata rwanda tuKweni FLDR ni Wahutu pekee wanaoishi Mashariki ya Kongo wengi walirudi sema hawa wao wanataka kurudi kwa nguvu.
Vita vya Katanga Shaba ni Wakongomani wengi waliopoteza maisha kwa risasi na njaa.
Huko msumbiji kaunda kundi la waasi kama anavyofanya Congo?Mobutu alikuwa hata kulipa mishahara kwa Wanajeshi na Watumishi wa umma alikuwa halipi anawaambia wachukue kwa wananchi Mobutu ndio aliyeliuwa Jeshi la Kongo halijaamka mpaka leo.
Kagame alipowasaidia baada akina Kabila snr wakamgeuka na kusaidia kuasisi fldr.
Kagame sasa hivi anasaidia Msumbiji dhidi ya Magaidi wa Kiislamu na Msumbiji sasa huwaambii kitu kuhusu Kagame.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hapana, huko anaisaidia serikali ya Msumbiji kuimarisha usalama na kulishinda kundi la Alshababu...Huko msumbiji kaunda kundi la waasi kama anavyofanya Congo?
DRC ZAIRE ndio iliyoanza Kagame akamalizia iliwatuma Wanajeshi wake kuja kupigana na RPF iliyokuwa ikiongozwa na Rwigyema ukiingilia mambo ya ndani ya Nchi nyingine na wewe utaingiliwa tu.Huko msumbiji kaunda kundi la waasi kama anavyofanya Congo?
Hakuna aliyewahesabu ni uongo tu wa Wazungu ambao ndio kiini cha matatizo wao ndio wameitengeneza Kongo ili liwe shamba la mfalme wao Leopold na kukata mipaka ya falme za Rwanda na Urundi.zaidi ya millioni 3,
Mimi ni Dereva wa Lory la mizigo huwa naenda Kigali Kamembe Bukavu Goma Gisenyi Bralirwa pale kwenye Mutzing.Pk alivyoshindwa kuwaunganisha warwanda kuwa wamoja instead off akaendeleza ukabila,ipo siku fdrl wataikamata rwanda tu
Ndipo utofauti ulipoMiaka zaidi ya 500 imewafanya kuwa ndugu tu...... kinachowatofautisha ni asili tu na muonekano.
Anyway....hili suala ni debatable....
Hakuna aliyewahesabu ni uongo tu wa Wazungu ambao ndio kiini cha matatizo wao ndio wameitengeneza Kongo ili liwe shamba la mfalme wao Leopold na kukata mipaka ya falme za Rwanda na Urundi.
Kabla hawajaja kuigawana Afrika tulikuwa hatuna migogoro tulikuwa wamoja hata hakukuwa na Genocide bali walianza wao huko Namibia na kuua Waherero na Wanama kwa mauaji ya kimbari ya kwanza Afrika.
RDF imeiteka Goma kwa gharama kubwa tu.Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.
Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.
Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Usiyaamini sana hayo mashirika ni mara ngapi yanakutwa yakisafirisha silaha kama ile scandal ya msf...waliotoa hizo data ni mashirika yenye wataalamu wenye uzoefu wa kuchunguza mauaji wakati wa vita.
Takwimu mara walikuwa wanasema 800000 na wengine wanasema ni millioni moja ukweli ni kwamba idadi kamili huenda hata ni zaidi.mashirika hayo hayo unayopinga data zake ndio yaliyotoa takwimu za genocide ya Rwanda na hatukuzibishia.
💯 %genocide au mauaji yoyote yale yanapaswa kulaaniwa.
..tunalaani genocide ya Watutsi ambayo ilisababisha watu wanaokadiriwa millioni 1 kuuwawa.
..tulaani mauaji ya Wacongomani zaidi ya millioni 6 ambao wameuwawa tangu mwaka 1998 vita vilipoanza.
..Waafrika tufike mahali tukatae unyama na aibu hii.
Takwimu mara walikuwa wanasema 800000 na wengine wanasema ni millioni moja ukweli ni kwamba idadi kamili huenda hata ni zaidi.
Sio Kongo hata mauaji ya Kimbari Viongozi wote wa Kiafrika walikuwa kimya bila Kagame kupambana huenda hata hao Watutsi kidogo wa Rwanda waliopona mauaji wangeuwawa wote...sasa hebu fikiria idadi tunayoambiwa wamekufa DRC uhalisia unaweza kuwa ni zaidi ya kinachoripotiwa.
..fikiria watu wote wa jiji la Dsm wauwawe, halafu Waafrika tuko kimya, viongozi wanaingia wanatoka.
Sio Kongo hata mauaji ya Kimbari Viongozi wote wa Kiafrika walikuwa kimya bila Kagame kupambana huenda hata hao Watutsi kidogo wa Rwanda waliopona mauaji wangeuwawa wote.
Na Mobutu alituma hadi majeshi kuingilia mgogoro wa Rwanda badala ya kuwa msuluhishi.
Nyerere pia hakusikilizwa ndio maana alipokwenda Kigali alilia sana wakati wa mazishi ya wahanga wa Genocide.
Nyerere pia alisema Watutsi wa Kongo no Wakongomani...Nyerere angekuwa hai asingekaa kimya huku Wacongomani wakiuwawa kinyama.
..kama Nyerere alilia kwasababu ya genocide ya Watutsi millioni 1 nadhani angelia zaidi na kulaani vikali vifo vya Wacongomani millioni 6.
Nyerere pia alisema Watutsi wa Kongo no Wakongomani.